Tumuite Kingunge atuambie kama HAPA KAZI TU ina pumzi tena

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,261
7,195
Huna namkumbuka sana mzee Kingunge aliposema CCM imeishiwa Pumzi.CCM wakatoka na HAPA KAZI TUU.Sasa Hapa kazi tuu,tayari mitaani ,hata watetezi wana mashaka. Sijui mzee yupo wapi tupate KINGUNGE METER.tuechke ktk wese ya bulldozer ipo tena.
 
Yupo kwenye Bajaj kwa sasa subiri afike mwisho wa safari yake atakujibu.
 
Yeye ndo pumzi imekata, haonekani yuko kwenye oxygen tank.
Haha..nae shamba lake wamelikimbilia? La sumaye lilipigiwa maktaimu wewee, sijui la mwekezaji,sijui nini,baadae hamu ikawazidi na chuki yao km kawaida wakakimbilia kujaza matamanio yao.
 
Daaah Kingunge yule Mzee wa kupoteza kumbumbu na msahaulifu aliyekuzwa Na tanu badae ccm halafu akawakana wote kuwa hawafai Na hawajamfanyia chochote katika maisha Yake japo ndo wamemfikisha hapo alipo anapoonekana kuwa sehemu ya waheshimiwa.

Amakweli shukrani ya punda mateke.
 
Mkuu ukilelewa na mama ALIYEKUWA MALAYA (Kwake ni kwamba aliufanya kwa kutojua uharamu wake)kesho akiulaani utamwambia haya?
 
Huna namkumbuka sana mzee Kingunge aliposema CCM imeishiwa Pumzi.CCM wakatoka na HAPA KAZI TUU.Sasa Hapa kazi tuu,tayari mitaani ,hata watetezi wana mashaka. Sijui mzee yupo wapi tupate KINGUNGE METER.tuechke ktk wese ya bulldozer ipo tena.
Kiswahili ni lugha yetu ya taifa inakuwaje kinakushinda ata kuandika sawa garasa wewe.
 
Umenikumbusha Na Mr. Zero. Daaaah Na mamnvi. Hovyo kabsaaa.
Sasa km wewe unamwona zero wakati kagundua Biashara ya gongo,ufisadi na uharamia ktk ccm ni mbaya.Sijui nyie ambao hamjaona mtakuwa NEGATIVE?
 
Mimi namshauri kingunge arudi kuomba msamaha halafu serikari imjari kwa maana amelitumikia taifa kwa kiwango cha hali ya juu.
Sasa km ameitumia kwa kiwango cha juu na hawajamsikia wala kumheshimu.Nani wa kuomba msamaha?Hizi akili bhana, ndio CCM wanadhani wastaafu waliostafu kwa mujibu wa sheria hawawezi pewa stahiki zao bila kuipigia ccm magoti.CCM haiachi jiaibihs abila kukicha jinsi inavyoendesha mchi bila kujua inafanya nini?
 
Kingunge walimfungia mradi wake wa maji safi sijui kama walishauachia, kipindi kile akakimbia na kwake kabisa. Pia ana dili nyingi sana yeye na Edo na RA hasa kwenye kampuni za ujenzi. Bora aendelee kukaa kimya amalizie uzee wake, kushindana na watoto usawa huu sio kabisa
 
Kingunge walimfungia mradi wake wa maji safi sijui kama walishauachia, kipindi kile akakimbiana kwake kabisa. Pia ana dili nyingi sana yeye na Edo na RA hasa kwenye kampuni za ujenzi. Bora aendelee kukaa kimya amalizie uzee wake, kushindana na watoto usawa huu sio kabisa
Haha.Hizo ndio akili za CCM hujuma tuu hawawezi fanya kazi halali. Ndio maana hawawezi fanya dili mezani wasipigwe au waibe kibabe.
 
CCM hatimaye waamua ,pita nyuma ya lema na sio mbele ya Lema.Waamua honga pikipiki , pita nyumba za ibada kuomba PM asipate upweke ,bodaboda wasiokwenda leo polisi wanao mitaani, haya ni mahaba tuu yanatafutwa.
 
Katika kujifundisha gari nadhani toka zije gari za automatic imekuwa rahisi mno lakini ugumu umebakia pale pale kurudisha nyuma reverse) na kuiparking gari ukimujuwa humo ndio mwanzo wa wepesi kuifahamu gari nadhani wasomi wamenifahamu vizuuri
 
Haha...
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom