Tumuenzi Kikwete Historia isije Ikamsahau

unataka aenziwe akishakufa? hebu acha wivu wa kike..
mkjj, how dare u forget airport mpya ya bagamoyo, nyumbani kwao! na kwa vile mtm amesuggest olympic team iitwe ridhiwan kikwete, basi walau mama salma aenziwe kwenye hii ya bagamoyo kwa uthubutu na umahiri wake wa kum-support baba mdogo wa taifa hili changa.
kwa sababu dr jk aliahidi na kutimiza ahadi yake ya bajaj kwa ajili ya wamama wajawazito, pengine zinaweza kuitwa saint kikwete ambulance (mbona kuna st john's?)

Mkuu hapo kwenye bajaji kwa wajawazito imenikumbusha nimepita shinyanga mwezi wa saba nikapata habari ya pikipiki bajaji iliyokuwa inampeleka mgonjwa kupinduka na dereva kupata majeraha, kwenda bugando nikamkuta driver nursing his wounds surgical ward.
 
Mwanakijiji,

You never know, hopeful, sooner rather than later people may put your suggestions into action - let wait and see....
 
Haya aliyoyasema Mwanakijiji mtaona yanaanza kujitokeza muda siyo mrefu. Bravo Mwanakijiji tuko wote. Kanyaga twende.
 
Mie sijaona alichofanya jk toka aingie madarakani mpaka apewe yote hayo na historia itamuhukumu siyo kwa kupigiwa debe
Bora umesema hujaona, kutokuona kwako ni tatizo la vision yako, sie tunaoona vitu alivyofanya ndo tunachangia hii mada!!! labda ulimaanisha unaona hakuna kitu alichofanya
 
:flypig:
MMM you mean this to be............"The Palliative Substance That We All Need When Inflicted In One Way Or Another!"

Nina wasiwasi huo!!!!!!!!!!!

Ningependekeza pia shirika letu la ndege likifufuka na likawa na ndege, ndege zote zinazokwenda nje ya nchi ziandikwe kwa maandishi makubwa ambayo hata ikiwa angani sisi ardhini tutayasoma na yasomeke "Jakaya Kikwete Airlines" ili kuenzi na kuutambua umaarufu wake wa kupaa angani na kusafiri nje ya nchi

Shirika la ndege kuitwa 'Jakaya Kikwete Airlines' tutakuwa tumemuenzi kwa umakini zaidi

MMKIJIJI hii ukuiona nini?
 
Napendekeza Uwanja wa Jamhuri pale Dodoma ambapo kwa mara ya kwanza Raisi wetu mpendwa alitangaza azima ya chama cha mapinduzi kujivua gamba kwa heshima uitwe "J.K. Mapinduzi sahihi ya Fikra Stadium"
 
Sema wewe hujamuelewa, usiseme wengi Mpwa unakosea! Mie nimemwelewa na hata walio comment earlier wamemwelewa hata MWITA25 nae amemwelewa ndio maana comment zake ziko vile!
Tumekaa kona tofauti, tunawezaje kuona na kuelewa picha tunayoiona katika pembe tofauti kwa pamoja na sawa sawa?Lazima tutofautiane maana tunatazama katika pembe tofauti. Na hilo linatupatia nafasi ya kumuenzi raisi wetu kipenzi kwa uvumilivu wake mkubwa wa kutuvumilia hata sisi ambaye huwa tunashindwa kuziona juhudi zake kubwa za kuleta maisha bora kwa kila mtanzania. Hivyo basi napendekeza jimbo la uchaguzi la Igunga liitwe "Maisha bora Kwa Kila Mtanzania."
 
Kwani watz mna maana???
nikikumbuka mlivyokuwa mnamshangilia nyerere na kumkashifu Mwinyi kipindi cha utawala wa awamu ya pili!!! na nikikumbuka jinsi mlivyokuwa mnamshangilia MWINY na kumtukana MKAPA kipindi cha utawala awamu ya tatu na mnavyoMSHANGILIA MKAPA na kumkashifu KIKWETWE kwenye awamu hii ya nne. napata uhakika mmoja tuu.
nao ni huu:-------------
1. watanzania hawajui wanataka na wanahitaji nini
2. hawajui nani mzuri kwao na nani ni msanii na adui kwao
3.wako tayari na watakubali kutawaliwa hata na mwendawazimu kama tu atakuwa na maneno na ahadi tamutamu
4. hawatumii vichwa vyao kufikiria bali mioyo yao(mapenzi yao kwa mtu ndo hupelekea kumkubali na kumuamini)
5 ni wadini- very sensitive on this
6. ni waroho, wala rushwa, sio wazalendo,waongo, wapumbavu, wanaedekeza ushabiki
Na cha kusikitisha zaidi....... hata MZEE MWANAKIJIJI NI Mmoja kati ya MAZUZU.
UKITAKA KUJUA WENGI WENU NI MAZUZU,,, SUBIRI TAREHE 17/10/2011 hukumu yakesi ya GODBLESS LEMA pale arusha mjini ndio utakapojua ukombozi bado uko mbali na hauwezi kuletwa na kundi dogo la CRUSADERS and pathetc tribal hardcore. if you dont wana be gratefull to himnyamaza tuu kaka kuliko kutumia nguvu nyingi.
.

Napendekeza Kigoma ambayo si muda mrefu itakuwa kama Dubai iitwe The Dr. Kikwete City of Wonders.
 
unajua jamani mada nyingine kama hujaelewa usijitie kimbelembele kuchangia kuna mapimbi ambao uwezo wao kuelewa mdogo lakini anajaza tu page kuhusu hii mada nimeikubali asilimia mia na moja kuanzia kwenye moyo mpaka kwenye mishipa yake, NAWAKILISHA MKUU
 
Kwani watz mna maana???
nikikumbuka mlivyokuwa mnamshangilia nyerere na kumkashifu Mwinyi kipindi cha utawala wa awamu ya pili!!! na nikikumbuka jinsi mlivyokuwa mnamshangilia MWINY na kumtukana MKAPA kipindi cha utawala awamu ya tatu na mnavyoMSHANGILIA MKAPA na kumkashifu KIKWETWE kwenye awamu hii ya nne. napata uhakika mmoja tuu.
nao ni huu:-------------
1. watanzania hawajui wanataka na wanahitaji nini
2. hawajui nani mzuri kwao na nani ni msanii na adui kwao
3.wako tayari na watakubali kutawaliwa hata na mwendawazimu kama tu atakuwa na maneno na ahadi tamutamu
4. hawatumii vichwa vyao kufikiria bali mioyo yao(mapenzi yao kwa mtu ndo hupelekea kumkubali na kumuamini)
5 ni wadini- very sensitive on this
6. ni waroho, wala rushwa, sio wazalendo,waongo, wapumbavu, wanaedekeza ushabiki
Na cha kusikitisha zaidi....... hata MZEE MWANAKIJIJI NI Mmoja kati ya MAZUZU.
UKITAKA KUJUA WENGI WENU NI MAZUZU,,, SUBIRI TAREHE 17/10/2011 hukumu yakesi ya GODBLESS LEMA pale arusha mjini ndio utakapojua ukombozi bado uko mbali na hauwezi kuletwa na kundi dogo la CRUSADERS and pathetc tribal hardcore. if you dont wana be gratefull to himnyamaza tuu kaka kuliko kutumia nguvu nyingi.
.
Ama Kweli watanzania huwapendi kwa kuwa hawataki kufuata matakwa yako na tabaka lako. Lakini unatakiwa kukumbuka au kufahamu kwamba watanzania sio 'homogenious'.
 
Inaonekana wazo la picha zake kupamba mitaa yetu kutukumbusha mapenzi yetu kwake halijachangamkiwa sana. Mtu anaweza kujitolea kuweka picha kubwa pale kwenye kona ya Airport na Barabara ya Nyerere; ili kufanya ionekane vizuri inaweza ikawekwa moja upande wa kulia kwa wale wanaotaka kwenda Kisarawe huko na nyingine ikawekwa kuelekea mjini.
 
Dr. Jakaya Auction and Consolidation Inc. Nadhani hii wangeliweka plae Magogoni, ni kiongozi pekee ambaye tumempata asiye na uchungu na rasimali zetu.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kwenye zile barabara za juu(fly overs) zitakazojengwa Dar es Salaam kuwekwe picha kubwa sana za raisi wetu mpendwa au kama kutawekwa taa za barabarani basi wasanii wafinyanzi wasanifu sanamu ya raisi itakayoshikilia taa hizo.
 
Na tuwasiliane na wall street waweke ile siku aliyopiga nyundo iitwe JK day, pia lile dina la dicota iwe siku ya mapumziko kitaifa - yaani public holiday, called JK-Dicota memorial
 
Back
Top Bottom