Tumtaje Na Kupiga Lele Mpaka Serikali Imrejeshe Balali

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,452
Jamani Wana Jf Mbona Naona Kama Kuna Kausingizi Kidogo Kanataka Kutupitia Kuhusu Huyu Balali? Tusipochochea Moto Serikali Itakaa Kimya Milele. Au Isijekuwa Kuna Wenzetu Wanatugeuka! Maana Ule Moto Tuliokuwa Nao Kuhusu Balali Naona Umeanza Kufifia Na Hii Ni Dalili Mbaya Ya Mafanikio Yetu Jamani Tuungane Kwa Pamoja Mpaka Tumtoe Huyu Nyoka Pangoni
 
Back
Top Bottom