Tumsikilize nani kati ya Wizara ya Afya na Paulo Makonda?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,312
Screenshot_20200523-203136_Chrome.jpg
 
Wewe kwa akili yako na msimamo wenu wa kichadema wa kujilockdown si huwa unamsikiliza Mbowe au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Mbowe anasema wavae barakoa kwanini wasimsikilize , Maana wewe unamsikiliza mtu anayesema barakoa za nini tambua kuna siku atasema condom za nini. Na wewe ulivyo mjinga utasema kweli.

Kumsikiliza mtu sio tatizo, tatizo ni kufata Ujinga wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanze na elimu zao kwanza..wewe kati ya proffessor na degree/diploma holder yupi unaweza kufata maelekezo yake kitaalamu?
 
Back
Top Bottom