Tumshukuruni sana MUNGU kwa tulichopata kutoka bodi ya mikopo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumshukuruni sana MUNGU kwa tulichopata kutoka bodi ya mikopo!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Excel, Sep 19, 2012.

 1. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Salam wana jamvi wenzangu,
  kwanza kabisa naombeni tumshukuruni BWANA MUNGU kwa wale ambao tumepata mikopo. Jamani mimi binafsi sikutegemea kabisa kupata mkopo kwa sababu nilichagua course ambazo ni non priority!
  Jamani nimepigwa na bumbuwazi pale niliposoma jina langu kutoka NIT likiwa na sh3,409,500! Sijaamini kabisa!
  Jamani hongereni na wenzangu mliopata mikopo!
   
 2. s

  sasha sarah Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ama kweli mungu ni mkubwa..nasifa tunamrudishia i was non prioroty but nimepata loan;;;;thkz god
   
 3. kandukamo1

  kandukamo1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 938
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 60
  He! Na nyie ni great thinkers? Ww kusoma BURE ni kudra za Mungu au ni jukumu la Serikali kwa7bu unatozwa kodi?
   
 4. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  daah kwel nimeamin mungu c athuman
   
 5. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  mkubwa mbona unakuwa kama si mwelewa?
  Ina maana hata kama ni jukumu la serikali kutoa mikopo,
  tukimshukuru MUNGU wetu ni makosa?
  Au we hauna dini?!
   
 6. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  na kumbuka utarudisha kwa style iyoiyo
   
Loading...