Sir R
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 2,175
- 298
Zitto anahitaji kushauriwa kuwa kama anapenda kuwa mwana CDM kwa dhati, afanye mambo yafuatayo:
Mengine mnaweza kuongeza.
- Awaheshimu viongozi wake.
- Akemee wana CCM wanaotamani CDM kusambaratika.
- Aheshimu chama chake kama ambavyo kina Mwigulu wanavyokuwa watiifu kwa CCM yao.
- Awe makini na wanaomsifia hasa vyombo vya CCM na serikali
- Awaambie watanzania kuwa yeye si zaidi ya chama;
Mengine mnaweza kuongeza.