Tumsamehe bule Nyimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumsamehe bule Nyimbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mvaa Tai, Oct 6, 2010.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Baaaasi, Jamani kuna mtu amenifumbua macho kumbe tumsamehe bure nyimbo nayeye analinda sembe ya wanawe. Kwa mujibu wa katiba ya nchi Amiri Jeshi mkuu anaweza kuagiza itangazwe hali ya hatari na jeshi litafanya hivyo haraka kama amri. Ni kwamba hapa Jk kama amili jeshi mkuu anaetuaga baada ya kuona kuna hali ya hatali katika maisha ya Chama, atakuwa amemuamuru Jeshi lifanye hivyo haraka iwezekanavyo, lakini kutokana na kuona huko ni kujidhalilisha Mkuu wa majesho akaona amuagize Nyimbo( Wakala wa power tillers) atangaze fasta, nayeye kutojua nini anafanya akafanya hivyo.

  Tumsamehe bure huyu mzabuni:rain:.
   
 2. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mh?
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,838
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Tuhakikishie kama uko sawa na hilo jina au umekosea.wahi tafadhali mada inaanze kuchefua hasa jina la mhusika
   
 4. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu unamaanisha Abdulahamani Shimbo ama Nyibo wa Chadema
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  kumsamehe kunatosha?........unafikiri amri waliyopewa na kikwete kuwatisha watz hawataitekeleza?..thubutu nyimbo pamoja na kuiomba sana lkn hapa ameimba pambio isiyomhusu na kwa kweli yeye na jeshi lake ndiyo ametangaza vita kwani kikwete sasa atakuwa tayari kuvunja kila sheria kwani atakaegomea matokeo atakiona..........sisi tunasema hatuko tayari kutishwa kwa namna yoyote ile ila jeshi lihakikishe haki inatendeka badala ya kukaa na kuangalia haki /uchaguzi hauendi sawa wanasubiri watwange watu risasi baada ya matokeo...
   
 6. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
   
 7. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Du!tuwe serious na tunachokiandika!Hivi wewe unaongelea Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo au Thomas nyimbo wa Njombe?
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  SOOOOOORY!!!!!!!!!!!! ni Shimbo
   
 9. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Kwanza wewe mtoa mada hii hapo juu tafadhali jina kamili la huyu Mku wa jeshi anaitwa LUTENI JENERALI Abdulrahman SHIMBO! Mimi simfahamu Luteni Jenerali Shimbo na wala sidhani kumjua yeye binafsi. Mimi nina shida na matumizi ya nafasi yake kuwatisha watanzania wanaojiandaa kutuma haki yao ya msingi kupiga kura ili kudumisha uongozi uliopo au kuundoa na kuuweka mwingine. Kazi ya kulinda raia na kutunza amani ya ndani ya nnchi ni kazi ya polisi na vitengo vyake. Kitendo alichokifanya Luteni Shimbo ni kuvuruga amani na ingestahili IGP Saidi Mwema amkamate na kumweka ndani kwa kuvuruga amani na kuchochea maasi ndani ya nnchi. Ikumbukwe kwa jeshi haliko juu ya sheria, kwa kitendo alichofanya Shimbo sasa tumejua kwanini askari wanapenda kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga raia wasio na hatia.:A S 13:
   
Loading...