Tumsaidieni huyu mtoto wanaJF kuokoa maisha yake

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Kwa Upendo Wa Mungu Mwenye Kujalia Uhai Na Kifo Pia Tuna Imani Atamsaidia Kiumbe Huyu Tabasamu Na Maisha Mapya

Mhe MoDewj Ameguswa Na Kumtibia Kwa 100%
Lkn Na sisi Tusiishie Hapa Tuchangie Kwa Wingi Angalau Chcht Sisi Kama Wana Jf Uzuri Mawasiliano Yapo Hapo Chini Kwa Pic

NISIONGEE sana Kutoa Ni Moyo Na Ukiguswa Fanya Kitu Alam-sikki
FB_IMG_1582147522967.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtoto hawezi kupona kabakiza muda mfupi atafarki. Hii ni saratani aliyozaliwa nayo ipo katika vinasaba vyake. Hata hospitali hawawezi kumtibu. Hizo pesa za michango wanataka wale bure.
 
Huyu mtoto hawezi kupona kabakiza muda mfupi atafarki. Hii ni saratani aliyozaliwa nayo ipo katika vinasaba vyake. Hata hospitali hawawezi kumtibu. Hizo pesa za michango wanataka wale bure.
Mkuu hebu tupe elimu kwa hiki ulichokiandika,tatizo la huyo mtoto ni lipi hasa? na saratani yake ni stage ipi? Natanguliza shukran Mkuu.
 
Mkuu watu wenye uhitaji bado wapo wengi sanaa, kama Bwana Mo kasema atamtibia 100% hamna haja ya michango, labda kama pesa inayochangwa nyingine itaelekezwa kwa wenye mahitaji mengine.
 
Huyu mtoto hawezi kupona kabakiza muda mfupi atafarki. Hii ni saratani aliyozaliwa nayo ipo katika vinasaba vyake. Hata hospitali hawawezi kumtibu. Hizo pesa za michango wanataka wale bure.
Hakuna tofauti kati yako na shetani,wewe ni nani mwenye uwezo huo wa kuhukumu kuwa huyu motto atakufa tu?siku yakiwa mlangoni kwako tuone kama utakuja na kauli za kinyama kama hizi,sio lazima kila hoja ujibie ukiona huna mchango positive potezea
 
Back
Top Bottom