laurent Msembeyu
Senior Member
- Oct 5, 2015
- 121
- 101
Anatoka India, Yuko Mtwara , alikuja mwaka 2009 akaomba kibali mali ya asili cha kukamata nyoka aina zote,akapewa kibali mali ya asili akamate manyoka idadi yoyote anayotaka maeneo ya kijiji cha Imekuwa na vijiji vya jilani muda kidogo tu alijaza mzigo akaondoka.
Kaja tena kakuta mambo yamebadilika maafisa mali ya asili wanamwogopa hata kuzungumza nae wanamwambia afuate taratibu zilizopo, taratibu hizo hazijui.
Anasema kwao India hakuna nyoka anayezubaa kila nyoka ni mwa mtu labda wale wa national park.
Wanawatumia nyoka hao kutengeneza dawa mbali mbali kwenye viwanda vya dawa.
Safari hii anatafuta zaidi Koboko, anasema koboko na ukali wake anamkamata kama vile anachuma mchicha, tatizo ni kibali tu.
Mytake.
Sasa ivi tukataza mtu asichukue manyoka tutayafanyia nini? Hao mali ya asili wanaomkwepe mhindi kawaomba kibali wao manyoka watayafanyia kazi gani?
Tumsaidieje mhindi huyu atupunguzie manyoka hasa makoboko ya sikonge Tabora?