Tumpongeze Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatupa matumaini

Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .Sasa Mimi nafikiri ameamua kukumbushia maoni yake pengine kwa sababu Rais ni mpya huenda akalifanyia kazi hilo suala.
Kwa upande wangu naona spika ndugai yeye sio katika wale kundi la wanafiki sababu amesimamia alichokiamini tangu enzi za mpendwa wetu.
Mimi kwa mtazamo wangu kuhusu bandari mkataba uwekwe wazi halafu tuangalie Kama haufai ufanyiwe marekebisho dosari zake.
Worst speaker.... Hana msimamo na ni bendera fuata upepo. Kipindi chake bunge limeyumbishwa vibaya sana na kuwa sehemu ya serikali badala ya kuisimamia serikali....
 
Mama yenu alivyokuwa Tanga mbona aliwapa salamu za mh na akasema rais anawasalimia mchape kazi,ila yeye hamtaki kumtaja katika hilo.Mumemshupalia Majaliwa Kana kwamba yeye ndiye pekee aliyetoa taarifa ya Magufuli wakati anaumwa.
Alisema uwongo ndani ya nyumba ya ibada....dhambi hii utaikuta kwa Mola na ataadhibiwa kwayo bila kujali mahaba yako kwake, kumbuka kila mtu siku ya malipo atabeba mzigo wake wa madhambi, nyie CHAWA pia ni hivyo hivyo.
 
Kassimu Majaliwa hafai hana ubunifu wala maamuzi ni mjinga na mfata upepo tu afadhali hata Pinda. Aondolewe January aingie PM
 
Majaliwa na January ni walewale….wanaunganishwa na ajenda moja….
 
Majaliwa tokea adanganye umma wa Watanzania kuwa Magufuli ni mzima wa Afya na anachapa kazi, hana credibility tena kwa uma wa Watanzania.He is hopeless liar!
 
Unahakika gani kuwa alidanganya?
Na je taarifa ya kuwa Magufuli alikuwa mzima aliitoa peke yake?
Tatizo letu watanzania wengi tunapenda kufata mkumbo.
 
Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .

Sasa Mimi nafikiri ameamua kukumbushia maoni yake pengine kwa sababu Rais ni mpya huenda akalifanyia kazi hilo suala.

Kwa upande wangu naona spika ndugai yeye sio katika wale kundi la wanafiki sababu amesimamia alichokiamini tangu enzi za mpendwa wetu.

Mimi kwa mtazamo wangu kuhusu bandari mkataba uwekwe wazi halafu tuangalie Kama haufai ufanyiwe marekebisho dosari zake.
Siyo mnafiki siyo?
 
Unahakika gani kuwa alidanganya?
Na je taarifa ya kuwa Magufuli alikuwa mzima aliitoa peke yake?
Tatizo letu watanzania wengi tunapenda kufata mkumbo.
Taarifa ya kuwa Magufuli ni mzima hata kama hakuitoa yeye peke yake inamfanya suala la yeye kudanganya umma kuwa siyo kosa?
 
Yeye alitamka tarehe ngapi?na Magufuli kafa tarehe ngapi?na Mama yenu Kule Tanga alitamka tarehe ngapi?nafikiri tuanzie hapo.
 
Matumaini ya kununua tena midege kwa Cash na CAG kashasema ni mradi wa hovyo balaa sana hii nchi
 
Ndugai emetoa msimamo wake na Kama una kumbukumbu nzuri aliwahi kusema hata kabla mpendwa wetu hajafa na ndio alipewa majibu na sababu za mSingi zilizopelekea mradi kusitishwa .

Sasa Mimi nafikiri ameamua kukumbushia maoni yake pengine kwa sababu Rais ni mpya huenda akalifanyia kazi hilo suala.

Kwa upande wangu naona spika ndugai yeye sio katika wale kundi la wanafiki sababu amesimamia alichokiamini tangu enzi za mpendwa wetu.

Mimi kwa mtazamo wangu kuhusu bandari mkataba uwekwe wazi halafu tuangalie Kama haufai ufanyiwe marekebisho dosari zake.

Hatutaki mambo ya bandar ya mchina tatizo ww hutembei hasa hiz nchi za kiafrica ungetambua kwmb mradi huo ni kandamiz kwa vizaz na vizaz
 
Back
Top Bottom