Tumpongeze Rais Magufuli kwa ushauri wake kwa Benki ya Dunia na IMF. Viongozi wengine Afrika wamuunge mkono

Ukiachana na mengine ambayo yametrend kama ya kujifukiza ambayo wapinzani wamechukua kama theme nzima ya hotuba ya Rais.

Ombi la msamaha wa madeni toka kwa taasisi za kifedha ni muhimu sana na jambo jema ambalo Rais kaliona.

Msamaha wa hayo madeni katika kipindi hiki utatufanya tuweze kujimudu vyema kifedha kwa kutegemea vyanzo vyetu kuliko kwa wao kutupa fursa tena ya kukopa ili tuzidi kujididimiza.

Hapo ndipo utaona malengo halisi za taasisi za aina hiyo.
Hata kama unaona alikuwa na point hapo, jee platform aliyotumia ni sahihi? Maana ni sawa na kusoma Liturgia bar
 
Kuomba msamaha wa madeni mbona mnachekesha ninyi watu
Kwani hamkusoma masamaha yalishatolewa kwa 25 countries kwa Africa Tz haimo
Ingekuwa awamu ya Mkapa na JK tungekuwa tumepewa kitaaaambo kwa awamu hii hata muite mizimu ya mababu zenu hakuna pesa itakuja
Endeleeni ni bongo movie zenu mtakuja kujua hamjui

Tz ni lost case period!
 
Napenda nizungumzie kipengele kimoja muhimu sana katika Hotuba ya Rais Magufuli jana alipokua akiongea na vyombo vya ulinzi na usalama ,halikadhalika akiongea na taifa kuhusiana na ugonjwa wa corona unaosababishwa na virus COVID-19.

Siwezi rudia yote aliyozungumza kwani yako wazi kabisa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kwa ujumla.

Rais Magufuli aliombwa na baadhi ya wadau mitandaoni aongee na Taifa wengi wakisema kajificha katelekeza nafasi yake anatakiwa atoke hadharani aseme neno, na jana kasema kama baadhi yetu walivyotaka iwe.

Bahati nzuri au mbaya kumbe wanaotaka aseme neno huwa wanataka aseme kile kinachowapendeza wao, na kwa kujua hilo Rais kashambuliwa na walewale waliotaka aseme neno kwa Taifa.

Napenda kwa upande wangu niongelee kipengele kimoja ambacho ni muhimu sana baadhi yetu tunakipotezea na kuangalia upande ambao utafaa kumshambulia.

Nakumbuka alizungumzia jinsi ya kujikomboa kiuchumi kutokana na gonjwa la Corona.

Rais Magufuli kaziomba taasisi za fedha za kimataifa (WB na IMF) kuangalia namna ya kuzisaidia nchi za Afrika, kwa aidha kuzifutia madeni au kuangalia namna ya kupitia upya riba za madeni hayo, kwa maana ya kuzipunguza badala ya kuruhusu nchi hizo kukopeshwa tena,(japo ni jambo jema) ikiwa na maana ya kurundikiwa madeni tena wakati hakuna shughuli za uzalishaji mali (kiuchumi)kama ilivyokua kabla ugonjwa huu.

Nafikiri ni kiongozi wa kwanza barani Afrika kutamka maneno haya yenye mantiki sana ispokuwa hayapewi kipaumbele.

Kauli hii ilinipendeza sana kwani Rais alilenga fedha hizo tulipazo madeni zitumike kama sehemu ya tafiti vifaa kinga na tiba kwa mataifa haya maskini. Ni jambo la kupongezwa sana kwa rais.

Imani yangu ujumbe huu usambae Afrika nzima na upigiwe chapuo na viongozi mbalimbali wa bara hili la Afrika kwani umoja ni nguvu.

Na kwa bahati nzuri leo ni kama nimesikia counselor wa ujerumani bibi Angel Markel kaungana na kauli hii ya muheshimiwa rais,kasema iko haja ya kufanya hivyo.

Nitoe wito kwa watanzania, Rais Magufuli ana nia njema kabisa na Taifa hili kadhalika Afrika kwa ujumla tumtunze tumuenzi, ni viongozi wachache sana Afrika wenye maono kama yake ya kutaka nchi au Afrika kwa ujumla iache utegemezi kama sio kuacha basi ipunguze kwa kiwango kikubwa utegemezi na hapo ndio uhuru kamili unapopatikana .

Ni mimi kapera mlima matikiti Lyangoko Makande,
Kwa maoni tuwasiliane kwa namba hii

0737 169 611
Alikuwa akimwambia nani kuwa wasamehewe deni? Kama kukaa na viongozi wa usalama halafu unabwabwaja tu ujinga wa kusamehewa kunasaidia basi tuone hao Benki ya Dunia kama watafanya lolote? Alipe hilo deni....kwani hizo pesa zilienda kwenye kukabili CORONA? Magufuli anachezea fedha za mikopo. Lazima mfahamu zile fedha ni fedha za watu na nchi tajiri na zimewekezwa ili wapate faida ni kama ilivyo kwa Benki za CRDB na NMB.
Tanzania ilishasamehewa madeni mengi tangu ilipopata uhuru hadi leo lakini bado viongozi wana matumizi ya ovyo sana, sasa mnataka msamehewe? Viongozi wenyewe na baadhi ya wananchi KAMA WEWE mpo arrogant mnawatukana wafadhili wenu kuwa ni MABEBERU, Mnatukana mamba kabla hamjavuka mto?...HAMNA SHUKRANI. Lipeni madeni yenu!!!
 
..na bila tweet ya mtu anayejiita Tundu Lissu kumwambia ajitokeze upo uwezekano angenyuti kimya muda wote.

..mimi naomba msamaha wa mkopo uwe na masharti makali kuhusu utawala wa sheria, haki za binadamu, utawala bora, uhuru wa vyama vya siasa, na tume huru ya uchaguzi.
Mkuu utalifanya zee la watu lijiharishie linavyoogopa tume huru ya uchaguzi!
 
Nakumbuka alizungumzia jinsi ya kujikomboa kiuchumi kutokana na gonjwa la Corona.

Rais Magufuli kaziomba taasisi za fedha za kimataifa (WB na IMF) kuangalia namna ya kuzisaidia nchi za Afrika, kwa aidha kuzifutia madeni au kuangalia namna ya kupitia upya riba za madeni hayo, kwa maana ya kuzipunguza badala ya kuruhusu nchi hizo kukopeshwa tena,(japo ni jambo jema) ikiwa na maana ya kurundikiwa madeni tena wakati hakuna shughuli za uzalishaji mali (kiuchumi)kama ilivyokua kabla ugonjwa huu.

Nafikiri ni kiongozi wa kwanza barani Afrika kutamka maneno haya yenye mantiki sana ispokuwa hayapewi kipaumbele.
You Guys are very funny... pamoja na mambo mengine, you're completely less informed!!

Ngoja nikukumbushe jambo moja... unakumbuka pale Lumumba walipoanza kusambaza habari za uongo kwamba Magufuli amepongezwa na World Bank, na siku chache baadae WB wakakanusha?!

Sasa ilikuwa hivi: Kabla ya uzushi ule wiki moja kabla WB ilikuwa imetoa ripoti yao kuhusu Sub-saharan Africa, huku wakizungumzia suala la coronavirus na uwezekano mkubwa wa kuharibika uchumi.

Kwenye ripoti ile, Chief Economist for Africa kutoka WB ananukuliwa akisema:-
Africa alone will not be able to contain the disease and its impacts on its own; there is urgent need for temporary official bilateral debt relief to help combat the pandemic while preserving macroeconomic stability in the region.
Pamoja na mambo mengine, wakazungumzia umuhimu wa "emergency economic stimulus of $100 billion—including an estimated $44 billion waiver for interest payments in 2020."

Kwahiyo hoja yako kwamba Chancela wa Ujerumani, Angela Merkel ameungana na Magufuli ni kituko kwa sababu alichosema Magufuli ni kitu ambacho kipo public na kimependekezwa na WB wenyewe!!

Anyway, Magufuli ndie kiongozi wa kwanza Africa kuongelea hilo suala?!

Habari iliyotolewa March 23,2020 na United Nations Economic Commission for Africa inaanza kwa kusema:-
African Finance Ministers met on 19 March in a virtual conference to exchange ideas on the efforts of their respective governments in dealing with the social and economic impacts of COVID-19. They noted that even before the COVID-19 pandemic, Africa was already experiencing a huge financing gap in funding measures and programmes aimed at realizing SDGs and Agenda 2063 targets and goals.
Kisha wanaendelea:-
Africa needs an immediate emergency economic stimulus to the tune of US$100 billion. As such, the waiver of all interest payments, estimated at US$44 billion for 2020, and the possible extension of the waiver to the medium term, would provide immediate fiscal space and liquidity to the Governments, in their efforts to respond to the COVID-19 pandemic.
Ukiangalia hizo figures hapo juu utaona zinaendana na figures za ripoti ya WB nilipo-highlight hapo juu... kuonesha kwamba Finance Ministers waliongelea hiyo issue almost one month kabla Magu hajaongelea hilo suala!!

So, hapo tumeweka kumbukumbu sawa manake kesho na kesho kutwa WB wakifanya chochote kuhusiana na hilo, nyie jamaa hamkawagi kusema "Benki ya Dunia Waufanyika Kazi Ushauri wa Magufuli"!!

That's one but two, kwa kuangalia kauli ya Magufuli ameonesha wazi kwamba yupo nyuma sana kwenye masuala ya uchumi!! Katika kipindi hiki kigumu wenzake hawazungumzii suala la kufutiwa madeni per se bali wanazungumzia economic policy issues zitakazofanya nchi zao kukabiliana na COVID-19 bila kuacha damage kubwa kwenye uchumi!!

Kwa mfano: Kutokana na COVID-19, sekta binafsi imeathirika vipi na sio kuzungumzia Dar es salaam na ukusanyaji kodi.

Kama watu wamekata mitaji kutokana na sababu mbalimbali, je serikali inaandaa au ku-implement any monetary and fiscal instrument ili kusaidia eneo hilo?! Je, riba za mabenki zimeangaliwa upya wafanyabiashara waweze kukopa kwa riba ndogo? Je, serikali ina mpango wa kutengeneza any stimulus package kuhakikisha sekta binafsi haizami?! Je, serikali ina mpango wa kutoa tax relief kwenye baadhi ya sectors?! Je, serikali imejaribu kushawishi private banks kutoa grace period kwa wateja wao waliochukua mikopo kwa kuzingatia biashara ni ngumu?!

Hayo, na mambo mengine kama hayo ndiyo JPM alitakiwa kuyazungumzia na kuyafanyia kazi badala ya kuwaza kufutiwa madini huku bado akiwa na uchu ule ule wa kukusanya kodi, possibly kutoka kwa Wafanyabiashara ambao wengine watakuwa wameathirika zaidi!!

That being said, World Bank wataangalia sana hayo mambo katika kutoa debt relief au stimulus package lakini sio kutoa tu hizo relief simply mlikumbwa na coronavirus!!
 
Napenda nizungumzie kipengele kimoja muhimu sana katika Hotuba ya Rais Magufuli jana alipokua akiongea na vyombo vya ulinzi na usalama ,halikadhalika akiongea na taifa kuhusiana na ugonjwa wa corona unaosababishwa na virus COVID-19.

Siwezi rudia yote aliyozungumza kwani yako wazi kabisa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kwa ujumla.

Rais Magufuli aliombwa na baadhi ya wadau mitandaoni aongee na Taifa wengi wakisema kajificha katelekeza nafasi yake anatakiwa atoke hadharani aseme neno, na jana kasema kama baadhi yetu walivyotaka iwe.

Bahati nzuri au mbaya kumbe wanaotaka aseme neno huwa wanataka aseme kile kinachowapendeza wao, na kwa kujua hilo Rais kashambuliwa na walewale waliotaka aseme neno kwa Taifa.

Napenda kwa upande wangu niongelee kipengele kimoja ambacho ni muhimu sana baadhi yetu tunakipotezea na kuangalia upande ambao utafaa kumshambulia.

Nakumbuka alizungumzia jinsi ya kujikomboa kiuchumi kutokana na gonjwa la Corona.

Rais Magufuli kaziomba taasisi za fedha za kimataifa (WB na IMF) kuangalia namna ya kuzisaidia nchi za Afrika, kwa aidha kuzifutia madeni au kuangalia namna ya kupitia upya riba za madeni hayo, kwa maana ya kuzipunguza badala ya kuruhusu nchi hizo kukopeshwa tena,(japo ni jambo jema) ikiwa na maana ya kurundikiwa madeni tena wakati hakuna shughuli za uzalishaji mali (kiuchumi)kama ilivyokua kabla ugonjwa huu.

Nafikiri ni kiongozi wa kwanza barani Afrika kutamka maneno haya yenye mantiki sana ispokuwa hayapewi kipaumbele.

Kauli hii ilinipendeza sana kwani Rais alilenga fedha hizo tulipazo madeni zitumike kama sehemu ya tafiti vifaa kinga na tiba kwa mataifa haya maskini. Ni jambo la kupongezwa sana kwa rais.

Imani yangu ujumbe huu usambae Afrika nzima na upigiwe chapuo na viongozi mbalimbali wa bara hili la Afrika kwani umoja ni nguvu.

Na kwa bahati nzuri leo ni kama nimesikia counselor wa ujerumani bibi Angel Markel kaungana na kauli hii ya muheshimiwa rais,kasema iko haja ya kufanya hivyo.

Nitoe wito kwa watanzania, Rais Magufuli ana nia njema kabisa na Taifa hili kadhalika Afrika kwa ujumla tumtunze tumuenzi, ni viongozi wachache sana Afrika wenye maono kama yake ya kutaka nchi au Afrika kwa ujumla iache utegemezi kama sio kuacha basi ipunguze kwa kiwango kikubwa utegemezi na hapo ndio uhuru kamili unapopatikana .

Ni mimi kapera mlima matikiti Lyangoko Makande,
Kwa maoni tuwasiliane kwa namba hii

0737 169 611
Umefanya vema kuandika namba watakupigia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi unahotuba ya Maalim Seif?

Napenda nizungumzie kipengele kimoja muhimu sana katika Hotuba ya Rais Magufuli jana alipokua akiongea na vyombo vya ulinzi na usalama ,halikadhalika akiongea na taifa kuhusiana na ugonjwa wa corona unaosababishwa na virus COVID-19.

Siwezi rudia yote aliyozungumza kwani yako wazi kabisa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kwa ujumla.

Rais Magufuli aliombwa na baadhi ya wadau mitandaoni aongee na Taifa wengi wakisema kajificha katelekeza nafasi yake anatakiwa atoke hadharani aseme neno, na jana kasema kama baadhi yetu walivyotaka iwe.

Bahati nzuri au mbaya kumbe wanaotaka aseme neno huwa wanataka aseme kile kinachowapendeza wao, na kwa kujua hilo Rais kashambuliwa na walewale waliotaka aseme neno kwa Taifa.

Napenda kwa upande wangu niongelee kipengele kimoja ambacho ni muhimu sana baadhi yetu tunakipotezea na kuangalia upande ambao utafaa kumshambulia.

Nakumbuka alizungumzia jinsi ya kujikomboa kiuchumi kutokana na gonjwa la Corona.

Rais Magufuli kaziomba taasisi za fedha za kimataifa (WB na IMF) kuangalia namna ya kuzisaidia nchi za Afrika, kwa aidha kuzifutia madeni au kuangalia namna ya kupitia upya riba za madeni hayo, kwa maana ya kuzipunguza badala ya kuruhusu nchi hizo kukopeshwa tena,(japo ni jambo jema) ikiwa na maana ya kurundikiwa madeni tena wakati hakuna shughuli za uzalishaji mali (kiuchumi)kama ilivyokua kabla ugonjwa huu.

Nafikiri ni kiongozi wa kwanza barani Afrika kutamka maneno haya yenye mantiki sana ispokuwa hayapewi kipaumbele.

Kauli hii ilinipendeza sana kwani Rais alilenga fedha hizo tulipazo madeni zitumike kama sehemu ya tafiti vifaa kinga na tiba kwa mataifa haya maskini. Ni jambo la kupongezwa sana kwa rais.

Imani yangu ujumbe huu usambae Afrika nzima na upigiwe chapuo na viongozi mbalimbali wa bara hili la Afrika kwani umoja ni nguvu.

Na kwa bahati nzuri leo ni kama nimesikia counselor wa ujerumani bibi Angel Markel kaungana na kauli hii ya muheshimiwa rais,kasema iko haja ya kufanya hivyo.

Nitoe wito kwa watanzania, Rais Magufuli ana nia njema kabisa na Taifa hili kadhalika Afrika kwa ujumla tumtunze tumuenzi, ni viongozi wachache sana Afrika wenye maono kama yake ya kutaka nchi au Afrika kwa ujumla iache utegemezi kama sio kuacha basi ipunguze kwa kiwango kikubwa utegemezi na hapo ndio uhuru kamili unapopatikana .

Ni mimi kapera mlima matikiti Lyangoko Makande,
Kwa maoni tuwasiliane kwa namba hii

0737 169 611
 
You Guys are very funny... pamoja na mambo mengine, you're completely less informed!!

Ngoja nikukumbushe jambo moja... unakumbuka pale Lumumba walipoanza kusambaza habari za uongo kwamba Magufuli amepongezwa na World Bank, na siku chache baadae WB wakakanusha?!

Sasa ilikuwa hivi: Kabla ya uzushi ule wiki moja kabla WB ilikuwa imetoa ripoti yao kuhusu Sub-saharan Africa, huku wakizungumzia suala la coronavirus na uwezekano mkubwa wa kuharibika uchumi.

Kwenye ripoti ile, Chief Economist for Africa kutoka WB ananukuliwa akisema:pamoja na mambo mengine, wakazungumzia umuhimu wa "emergency economic stimulus of $100 billion—including an estimated $44 billion waiver for interest payments in 2020."

Kwahiyo hoja yako kwamba Chancela wa Ujerumani, Angela Merkel ameungana na Magufuli ni kituko kwa sababu alichosema Magufuli ni kitu ambacho kipo public na kimependekezwa na WB wenyewe!!

Anyway, Magufuli ndie kiongozi wa kwanza Africa kuongelea hilo suala?!

Habari iliyotolewa March 23,2020 na United Nations Economic Commission for Africa inaanza kwa kusema:-Kisha wanaendelea:-Ukiangalia hizo figures hapo juu utaona zinaendana na figures za ripoti ya WB nilipo-highlight hapo juu... kuonesha kwamba Finance Ministers waliongelea hiyo issue almost one month kabla Magu hajaongelea hilo suala!!

Tatizo tulilo nalo hapa JF, baadhi hawataki kutumia akili zao, hawataki kujielimisha wala kuutafuta ukweli. Wao kila siku wanafikiria watamshabikia Rais Magufuli kwa namna gani. Na sijui kama Rais anawapenda watu wa namna hiyo!

Kuwa na shabiki mjinga, mara nyingi ni kutengenezewa aibu. Watu werevu hujitenga na watu wanafiki na mashabiki wajinga, mashabiki wenye upeo mdogo wa uelewa.

Umefafanua vizuri sana. Lakini kwa sababu kuna watu wamekumbatia ujinga na wana hamu ya kuendelea kuishi katika ujinga, wanaweza wasiambulie chochote katika maelezo yako.

Asante. Umetimiza wajibu wako wa kuwaondoa ujinga lakini ushabiki wa kijinga hauondolewi hata utoe elimu ya kiwango gani.

We mataga, IMF na WB walishatoa wito kwa lenders kusimamisha kwa muda repayments muda mrefu kabla ya mungu wenu jiwe kusema hayo.

IMF, World Bank call for suspending debt payments by poorest nations
 
Tatizo tulilo nalo hapa JF, baadhi hawataki kutumia akili zao, hawataki kujielimisha wala kuutafuta ukweli. Wao kila siku wanafikiria watamshabikia Rais Magufuli kwa namna gani. Na sijui kama Rais anawapenda watu wa namna hiyo!

Kuwa na shabiki mjinga, mara nyingi ni kutengenezewa aibu. Watu werevu hujitenga na watu wanafiki na mashabiki wajinga, mashabiki wenye upeo mdogo wa uelewa.

Umefafanua vizuri sana. Lakini kwa sababu kuna watu wamekumbatia ujinga na wana hamu ya kuendelea kuishi katika ujinga, wanaweza wasiambulie chochote katika maelezo yako.

Asante. Umetimiza wajibu wako wa kuwaondoa ujinga lakini ushabiki wa kijinga hauondolewi hata utoe elimu ya kiwango gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Man, yaani ulipoongea suala la "Na sijui kama Rais anawapenda watu wa namna hiyo!" nikajisikia kaubaridi fulani!
Umenikumbusha wakati nafanya kazi kwenye ofisi moja pale city center... kulikuwa na hawa washikaji wawili! Kuna mmoja, nikiongea mambo 10 basi angalau 7 lazima anipinge tu!

Huyu mwingine sasa... nikiongea mambo 10 yote lazima aniunge mkono na mengine mawili anayaongezea!

Trust me... ingawaje na mwenyewe nilikuwa namaani nachoongea ni sahihi bila kujali kwa wengine pia ni sahihi, lakini huyu aliyekuwa ananiunga mkono kila kitu alikuwa ananiboa kupita maelezo!!

Yule mpinzani wangu akiwa likizo au asipokuja kazini nilikuwa naona na-miss kitu kikubwa sana... CHALLENGE!!

What about Magufuli?!

Kuna siku hapa niliwahi kusema ningekuwa Magufuli ningekerwa sana na aina ya wafuasi wake ambao wapo tayari kuunga mkono kila kitu!! Na kariba ya Magufuli, sina shaka hata chembe hawa ndio aina ya wafuasi anaowapenda!!!

Kumbuka siku anakabidhiwa Uenyekiti alipomuambia JK wazi wazi kwamba "wale waliokuwa wanaimba wanamtaka bwana fulani ningekuwa ndo mimi, wangepotea" na kweli wangepotea... kivipi, anajua mwenyewe!

Hiyo inaonesha wazi hataki wafuasi wanaoweza kum-challenge bali anawataka wale wanaounga mkono kila kitu!
 
Umeelewa mantiki ya rais?,analisemea bara la Afrikaans kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
NANI ALIMCHAGUA HUYU MAGUFULI AWE MSEMAJI WA AFRICA. WASEMAJI WA AFRICA WAPO ADDIS ABABA WAKITAKA KUISEMEA AFRICA WANAONGEA NA HAO
You Guys are very funny... pamoja na mambo mengine, you're completely less informed!!

Ngoja nikukumbushe jambo moja... unakumbuka pale Lumumba walipoanza kusambaza habari za uongo kwamba Magufuli amepongezwa na World Bank, na siku chache baadae WB wakakanusha?!

Sasa ilikuwa hivi: Kabla ya uzushi ule wiki moja kabla WB ilikuwa imetoa ripoti yao kuhusu Sub-saharan Africa, huku wakizungumzia suala la coronavirus na uwezekano mkubwa wa kuharibika uchumi.

Kwenye ripoti ile, Chief Economist for Africa kutoka WB ananukuliwa akisema:pamoja na mambo mengine, wakazungumzia umuhimu wa "emergency economic stimulus of $100 billion—including an estimated $44 billion waiver for interest payments in 2020."

Kwahiyo hoja yako kwamba Chancela wa Ujerumani, Angela Merkel ameungana na Magufuli ni kituko kwa sababu alichosema Magufuli ni kitu ambacho kipo public na kimependekezwa na WB wenyewe!!

Anyway, Magufuli ndie kiongozi wa kwanza Africa kuongelea hilo suala?!

Habari iliyotolewa March 23,2020 na United Nations Economic Commission for Africa inaanza kwa kusema:-Kisha wanaendelea:-Ukiangalia hizo figures hapo juu utaona zinaendana na figures za ripoti ya WB nilipo-highlight hapo juu... kuonesha kwamba Finance Ministers waliongelea hiyo issue almost one month kabla Magu hajaongelea hilo suala!!

So, hapo tumeweka kumbukumbu sawa manake kesho na kesho kutwa WB wakifanya chochote kuhusiana na hilo, nyie jamaa hamkawagi kusema "Benki ya Dunia Waufanyika Kazi Ushauri wa Magufuli"!!

That's one but two, kwa kuangalia kauli ya Magufuli ameonesha wazi kwamba yupo nyuma sana kwenye masuala ya uchumi!! Katika kipindi hiki kigumu wenzake hawazungumzii suala la kufutiwa madeni per se bali wanazungumzia economic policy issues zitakazofanya nchi zao kukabiliana na COVID-19 bila kuacha damage kubwa kwenye uchumi!!

Kwa mfano: Kutokana na COVID-19, sekta binafsi imeathirika vipi na sio kuzungumzia Dar es salaam na ukusanyaji kodi.

Kama watu wamekata mitaji kutokana na sababu mbalimbali, je serikali inaandaa au ku-implement any monetary and fiscal instrument ili kusaidia eneo hilo?! Je, riba za mabenki zimeangaliwa upya wafanyabiashara waweze kukopa kwa riba ndogo? Je, serikali ina mpango wa kutengeneza any stimulus package kuhakikisha sekta binafsi haizami?! Je, serikali ina mpango wa kutoa tax relief kwenye baadhi ya sectors?! Je, serikali imejaribu kushawishi private banks kutoa grace period kwa wateja wao waliochukua mikopo kwa kuzingatia biashara ni ngumu?!

Hayo, na mambo mengine kama hayo ndiyo JPM alitakiwa kuyazungumzia na kuyafanyia kazi badala ya kuwaza kufutiwa madini huku bado akiwa na uchu ule ule wa kukusanya kodi, possibly kutoka kwa Wafanyabiashara ambao wengine watakuwa wameathirika zaidi!!

That being said, World Bank wataangalia sana hayo mambo katika kutoa debt relief au stimulus package lakini sio kutoa tu hizo relief simply mlikumbwa na coronavirus!!
Well said and great analysis
 
Mabeberu hawajawahi kuwa Wazuri hata siku moja. Kwasababu waliisha jimilikisha uchumi wa Dunia
Uchumi gani walijimilikishia? Wao wanahangaika na nchi zao, wewe na jiwe mmekaa mnategemea "handouts" kwani mlikatazwa na ninyi kujimilikisha uchumi wa dunia. Jitahidi nawe basi umilikishwe uchumi wa dunia kama utaweza. Nchi hata kutengeneza sukari ya kunywa chai ni shida itaweza uchumi gani....ACHENI PROPAGANDA ZA CCM. Kwanza uchumi wa dunia unamilikishwa vipi?
 
Ushauri wa Mu -7 ndiyo wa maana so far kwa viongozi wote wa Africa kuhusu COVID-19.
 
Mtoa mada kumbuka kilichoombwa na Magufuli kuhusu unafuu wa mikopo kwa nchi masikini zilizokumbwa na covid tayari kilishaombwa na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Magufuli amekopi tu. Kwanini hukumpongeza Seif?
 
Back
Top Bottom