Tumpongeze issa michuzi kwa birthday ya blog yake happy birthday!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumpongeze issa michuzi kwa birthday ya blog yake happy birthday!!!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Japhari Shabani (RIP), Sep 8, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika ya kua Blog ya Issa Michuzi ni moja ya blog iliotoa mchango mkubwa katika kuhabarisha ,kuburudisha,kuelimisha n.k tumpongeze ndugu yetu kwa blog yake kutimiza miaka HAPPY BIRTHDAY!! Ankal!!
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Nadhani jibu umeshalipata umepost huu upupu toka jana na hakuna wa kuchangia.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Happy birthday kamanda Michuzi, tupo pamoja
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Pamoko sana Muhidin Issa Michuzi, Tuko pamoja.
  Aluta continua.
  Happy birthday...
   
 5. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Matola, kwanini unaiita hii thread upupu. Michuzi ni mfano wa kuigwa.
  Tujenga tabia ya kupeana moyo watanzania.
   
 6. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,327
  Trophy Points: 280
  Big up michuzi,..but yuko bias sana, anawapa coverage kubwa magamba..
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Kama JF inavyowapa coverage kubwa Magwanda.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Sep 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  ............Ni mfano wakuigwa na wajinga wenzake.
   
 9. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #9
  Sep 9, 2011
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hakuna shaka, ndio uzuri wa kuwa watanzania; tunavumilia mawazo mbalimbali.
  Ila Michuzi ni shujaa na anasahili kupongezwa.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Sep 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Labda neno "SHUJAA" limepewa tafsiri mpya, yaani Bloger nae anaingizwa kwenye kundi la mashujaa!! u must be joking!...........
   
 11. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #11
  Sep 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Kwe!! Kwe!! Kwe!! Aisee sasa bloger kuwa shujaaaaaaa sasa kweli tumethubutu aisiiiiiii!!!!!!
   
 12. m

  mankind Senior Member

  #12
  Sep 10, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  nice reply.
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,506
  Trophy Points: 280
  i
  Naungana na wanao mpongeza Michuzi. Wana JF wenzangu naomba tufike mahali tuukubali ukweli na kuutawala utofauti wetu (managing divesity).

  Blog ya Michuzi ndio blog kiongozi kwa habari motomoto kuwahabarisha na kuwaunganisha Watanzania wa nyumbani na ulimwenguni kote kwenye taarifa za shida na raha, lazima tukubali Michuzi anafanya kazi nzuri na anakubalika sana, tukubali, tukatae!.

  Lakini pia lazima tumkubali Michuzi for who he is katika maamuzi yake na mrengo wa blog yake. Kama ameona mrengo huo ndio unalipa, mwacheni andelee hivyo hivyo hivyo kwani katika kutimiza malengo, ni jamii ndio inafaiidika hata kama katika kinu chake pumba ni nyingi kuliko mchele, tuuchukue tuu huo mchele ndio tuumeze na pumba zake tumuachie haswa kwa kuzingatia wapo pia walaji wengi wa pumba hizo.

  Zamani mpunga ukipepetwa punga ziliachwa na kutupwa, siku hizi pumba nazo hutumika, ndio malighafi ya chakula cha viumbe wengine ambao huzitegemea ili nao waishi.

  Hivyo hongera Michuzi Blog asante kwa kutupatia mpunga ambao hutusagia, hutupepetea na hatimaye kutulisha mchele wakati mwingine ni mchele safi na wakati mwingine ni mchele na pumba zake. Asante kwa yote!.
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  hapo umetoa bonge la advice.
   
Loading...