The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,946
Nenda facebookMkuu wapinzani wanapima upepo wa siasa hapa jf ni kituko.
Hapa jf wapo wabunge wote wa chadema na viongozi wote waandamizi kila mmoja wao ana account 7 I'd tofali ndio maana jf haina jipya members ni walewale ukisoma tu thread unajua kabisa kabla hujaifungua fulani atasema hivi fulani atacoment hivi hakuna jipya
Mara 100 Facebook wachangiaji ni maelfu mawazo yapo tofauti na si rahisi kukuta kila Habari kuna wachangiaji wanaofanana hapa jf hawazidi members 1000 tena hapo kila mmoja ana I'd 5, chadema wakiona wanaungwa mkono hapa a wanadhani mpaka huko mtaani mambo ni hivyo kumbe ni tofauti.
Ndio maana walivyopigwa 42 kwa moja hawakuamini da mange keshawalemaza