Tumpigie kura mtanzania mwenzetu Nandy

Francis Mawere

JF-Expert Member
Nov 17, 2015
958
830
Nande-Charles-Mfinanga.png
Mtanzania mwenzetu huyo katika shindano la Tecno own stage plz Gonga HAPA
 
Toa maelezo ya ziada tafadhali, hayo mashindano si wote tunayafahamu na namna ya kupiga hizo kura
 
Toa maelezo ya ziada tafadhali, hayo mashindano si wote tunayafahamu na namna ya kupiga hizo kura
Hili ni shindano la kuimba ambalo linashirikisha vijana wenye vipaji vya kuimba ni kama ilivyo BONGO STAR SEARCH ila hii kunakua na screen ambazo zinakua zina display lyrics za nyimbo unayokua unaiimba yaa kiufupi tunaaitaga
 
Tunawapigia kura kwa Bundle zetu,Tunakatwa fedha kwenye SMS wakishinda sisi washabiki wanatuona M@¥|.
 
Back
Top Bottom