Tumpeni shukurani Mh.Lwakatare kwa kuruhusu pikipiki kutambulika kibiashara

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,789
44,875
Assalam alykum....wote

Niende moja kwa moja kwenye Point..

Kwa wale wafuhatiliaji wa siasa naamini mtakuwa mnamfahamu Mbunge wa Bukoba Mjini.... Ndugu: Lwakatare...(Chadema)..

Lwakatare alianza kujipatia umaarufu mnamo miaka ya elfu mbili (2000).

uwo umaarufu wake ulitokana na kuleta hoja binafsi Bungeni yakutaka Pikipiki ..Ambayo kwa jina maarufu kama/bodaboda/ kuweza kuruhusiwa kufanya biashara, na kutambulika kama chombo rasmi cha kubeba Abiria...

Nakukumbuka wabunge wengi wa CCM walimbeza mpaka kumuona kama mtu ambaye kaanza kuchanganikiwa mpaka kufika hatua yakumuita Jina la bodaboda kila alipokuwa akisimama red carpet kuchangia hoja...

Hivyo basi mwisho wa siku Bunge liliweza kujadili hoja yake hiyo nakuweza
Kuipitisha na kuitungia sheria.

Mpaka sasa bodaboda ndo imekuwa ajira kubwa mjini pamoja na vijijini kwa vijana ambao ni wasomi na amabao si wasomi.

Kutokana na hilo Lwakatare anapaswa kuheshimika sana na sio mtu wa kubezwa hata punje ...

Na Lwakatare ndo Mbunge bora kuwahi kutokea Tanzania..

[HASHTAG]#HayaLand[/HASHTAG]..
.
 
kuhusu kwamba ndio mbunge namba moja my head is stil loading...... ila kama kweli alishiriki kulera hoja ya matumizi ya boda boda tumheshimu sana
 
Kwa kweli kaleta ajira nyingi sana ila boda boda ata kuiona sitaki imeniulia marafiki zangu watu ninao wajua ni wengi sana
 
Back
Top Bottom