rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,478
- 41,879
Hutaamini.... Kwani uwaziri mkuu unahitaji vyeti??? Hata kama vyeti ni kwa wengine sio kwa mwana wa Mfalme...kwa vyeti gani... fa fa fa fa fafaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaamini.... Kwani uwaziri mkuu unahitaji vyeti??? Hata kama vyeti ni kwa wengine sio kwa mwana wa Mfalme...kwa vyeti gani... fa fa fa fa fafaa!!!
Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.
Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.
Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo yapi unayasemea wewe?Hv kama mtu anaweza kuleta maendeleo kwa u-rc kwakuwa ana nafasi zaidi ya kiutawala na maamuzi kwanini tena adogoshwe kwenye level ya ubunge ambapo hana mamlaka kama RC na hata jiografia yake ni ndogo zaidi??
Dar-es-salaam ina wenyewe na wenyewe ndio sisi Kinondoni wazaramo wa bagamoyo bado wapo Temeke wandengereko bado wapo na Temeke yao Ilala ndio asijaribu kbs mfano hai mrisho gambo mwaka 2015 kilichompata anajua vzuri Zungu Bado yupo Imara na km amechoka Saku Kitwana Kondo yupo Benchi...Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.
Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.
Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar-es-salaam ina wenyewe na wenyewe ndio sisi Kinondoni wazaramo wa bagamoyo bado wapo Temeke wandengereko bado wapo na Temeke yao Ilala ndio asijaribu kbs mfano hai mrisho gambo mwaka 2015 kilichompata anajua vzuri Zungu Bado yupo Imara na km amechoka Saku Kitwana Kondo yupo Benchi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijawahi kuandika mahali ila ukweli ndio huoPaskali yeye alienda mbali zaidi akatuambia:Baada ya Magufuli tumpe Makonda urais. Nikacheka. Sidhani kama nilikosea kucheka kwa dharau?
Wewe ni mtanzania?Mimi sijawahi kuandika mahali ila ukweli ndio huo
Nimeshawahi kuwaza hichi kitu na ukitathmini ndivyo itakavyokuwa
Ama katiba ibadilishwe rais agombee tena baada ya 2025 au makonda achukue nafasi hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka ingekua mikononi kwa jiwe angeshampa majimbo yote hapa tzMakonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.
Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.
Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.
Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.
Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Anawatuma kama watoto wadogo ahaaaa mwambieni aende Kolomije lipo wazi tena kwaoMakonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.
Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.
Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio iliyomfundisha chama jinsi ya kupiga lile shutiKamati ya ushindi imeipeleka TZ Afcon19.. mbona unatetema mkuu!
Kulonga goya mkulu labda abwere KolomijeDar-es-salaam ina wenyewe na wenyewe ndio sisi Kinondoni wazaramo wa bagamoyo bado wapo Temeke wandengereko bado wapo na Temeke yao Ilala ndio asijaribu kbs mfano hai mrisho gambo mwaka 2015 kilichompata anajua vzuri Zungu Bado yupo Imara na km amechoka Saku Kitwana Kondo yupo Benchi...
Sent using Jamii Forums mobile app