Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,309
- 92,420
Mkuu wa mkoa bora ni Anthony Mtaka wa Simiyu.Makonda ndiye RC wa kwanza mwenye ushawishi mkubwa lakini mpenda maendeleo kwa wakazi wake.Anajitoa kwa namna yoyote ile ilimradi tu atimize azma yake kwa yale anayotaka kuona yanatendeka kupitia nyanja mbalimbali.Naamini ikitokea leo akagombea Ubunge Jimbo lolote mkoani Dar es salaam basi anauhakika wa kupata kura zaidi ya 95%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unampenda sana Bashite hamieni naye Dodoma mkampe ubunge huko kwa washamba wenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app