Tumpe hongera ay kwa jitihada zake;amejaribu na amedhirisha anaweza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumpe hongera ay kwa jitihada zake;amejaribu na amedhirisha anaweza

Discussion in 'Entertainment' started by NEW NOEL, Oct 20, 2011.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Leo nilikuwa naangalia Television station ya Trace nikaona Video ya wimbo wake wa 'speak with your body ' hakika nimefurahi kuona jitihada zake. Ni kijana mwenzetu ambaye kwa muda mrefu amekuwa anaonekana kuhangahika kutafuta mafanikio kwa nguvu.
  Na ndio maana nadhani hata kipindi fulani msanii wa USA aliulizwa msanii wa Afrika anayempenda na alisema ni AY.
   
 2. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  wewe ndie ay mwenywe ,au demu wake. au ndugu yake, ,au mshkaji wake. na *una masrahi nae kwa namnamoja au nyingine. kwani wt is ay bwana hujawaona wengine
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,816
  Likes Received: 1,060
  Trophy Points: 280
  ni kweli mzee huwa nafurahi sana nikimuona kule channel o
   
Loading...