Tumkumbushe Mchungaji mtume Mwingira

Alichofanya ni kuwaambia waumini wake maono aliyopewa. Kosa liko wapi hapo?

Lissu angeenda pale kisha akaanza kujinadi hapo ingekuwa kosa, lkn mbali na hapo unatupigia kelele tuu.

Mbona jeipiemu kapanda madhabahuni miaka 5 kujinadi lkn hukuona tatizo? Ama ndio mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?
Huyu hajijui. Anajaribu kuimpress lakini sidhani maana ujengaji wake wa hoja ni wa kitoto mno. Halafu eti anaweka na namba ya simu. Anatafuta usajili Lumumba Bk7. Napo sioni akipata usajili.
 
Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA..
2015 alipokuwa.anatabiriwa na.makanisa mbona mlikuwa mnashangilia, when the coin is flipped.....you are crying foul.
 
Kwa hiyo Mwingira anataka abaki na waumini wafuasi wa chadema tu ? Wa CCM hawataki?

Wana CCM mnaosali kwa Mwingira mwachieni kanisa lake katafuteni Makanisa mengine waachieni Chadema
Kwahiyo unamuamuru na mama yako anayesali hapo kwake aache kwenda?
 
M
Alichofanya ni kuwaambia waumini wake maono aliyopewa. Kosa liko wapi hapo?

Lissu angeenda pale kisha akaanza kujinadi hapo ingekuwa kosa, lkn mbali na hapo unatupigia kelele tuu.

Mbona jeipiemu kapanda madhabahuni miaka 5 kujinadi lkn hukuona tatizo? Ama ndio mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?
Maono kama ya lema?
Alipowekwa gerezani maono yakafa.
 
Ukiona umeandika makala ndefuuu, ikapita saa ya kwanza, pili, tatu, nne hadi tano hujapata like hata nusu ujue ni sawa na umeharisha hadharani. Ujengaji wako wa hoja, hata mtoto wangu aliyeko darasa la saba humkaribii. Katika hoja yako unalinganisha na hoja ya Wasira kuwa kupigwa risasi siyo sifa ya kuwa mgombea urais halafu ukakiri hapo hapo kuwa wapo wengi waliopigwa risasi lakini wala hawakutamani kuomba kugombea urais. Sasa kwa akili yako unamlinganishaje aliyeomba na ambaye hakugombea? Je wangegombea unajuaje kama wasingeng'ara kama anavyong'ara Lissu?

JF imekuwa kama kokoro, inakusanya magugu maji, samaki na hata hunasa kobe pia. Mwingira sasa mnasema mnajua hata maovu yake ambayo hamkuyasema hadi leo alipowatia kidole. Huo ni unafiki na uzandiki wa hali ya juu sana. Mtumishi wa Mungu hawezi kuona upuuzi akaunyamazia. Lazima aseme, na akisema wamuache. Je angekuwa amemsifia Magufuli ungeleta unafiki wako hapa? Namba ya simu umeweka ili iweje? Watu wengine mnajichoresha sana. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu atakuteua wewe.
Hata siku moja, kupigwa risasi haijawahi kuwa sofa ya kugombea uraisi Tanzania. Nimepitia sifa zote hii haimo. Kwahiyo mwacheni Lissu aonyeshe uwezo wa Mungu.
 
Ndg Elius Ndabila, Elewa kwamba Tundu Lissu hajagombea uraisi Eti kwa sababu tu alipigwa risasi, Hapana! Hata asingepigwa
Asingepigwa Risasi Lisu angebakia kwenye ubunge tu,

Hiyo nafasi yake ni kwa hisani ya Risasi.
 
NIMKUMBUSHE MCHUNGAJI MWINGIRA.

Na Elius Ndabila
0768239284

Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji MWINGIRA (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lisu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA.

Kabla sijamkumbusha mambo mengi Baba Mchungaji MWINGIRA, ninaomba nikiri kuwa mimi ni msomaji mzuri wa Vitabu alivyoviandika MTUME MWINGIRA. Vitabu vyake ambavyo nimebahatika kusoma ambavyo vimeandikwa kwa ustadi mkubwa ni TABIA YA KUTEMBEA NA MUNGU UVUNE, MTEMBEO WA MUNGU KWA HAO ALIOWARIDHIA NA MOYO WA KIONGOZI. Ninaomba nikiri pia kuwa ni mmoja ya watu tunaofuatilia magundisho yake na mara nyingi nimebarikiwa nayo sana. Lakini leo ninataka kumkumbusha mambo machache ili kukazia maarifa yake.

Baba Mchungaji(Mtume) MWINGIRA kwenye video yake kwa ufupi amesema Lisu anafaa kuwa Rais kwa kuwa pamoja na kupigwa Risasi nyingi lakini bado anaishi. MWINGIRA anasema kitendo cha Lisu kuendelea kuishi pamoja na risasi alizopigwa ni kusudi la Mungu kuwa anatosha kuwa kiongozi mkubwa wa nchi. Anaendelea kukazia hoja zake kwa kusema Lusu hajajenga Fly Over Kama wengine, lakini bado watu wanamfuata.

Wakati nikiwa ninamsikiliza Mchungaji MWINGIRA rafiki yangu mmoja amenitumia video ya mzee Wasira(Vijana wanamwiti Mwenyekiti wa waliokatwa kwenye mchakato) akisema kuwa kama sifa ya kuwa Rais ni kupigwa risasi, basi watu wengi watatamani wapigwe risasi ili wawe Marais. Hoja ya Mzee Wasira inanipa nguvu na inaongeza wigo wa kufikiria. Kwa mkutadha huo nimkumbushe Mchungaji MWINGIRA kuwa Lisu si mtu wa kwanza kupigwa Risasi nyingi na kuendelea kuishi. Wapo watu wengi ambao Dunia walishapigwa Risasi lakini hawakupata huruma ya kuwa Marais wala hawakuwahi kutamani kuomba hizo nafasi. Hawakuomba hizo nafasi kwa kuwa walijua fika kuwa sifa ya kuwa Rais si kupigwa risasi bali ni uwezo, uzalendo, ushujaa na uhodari katika kukabiliana na majukumu ya nafasi hiyo. Waliowahi kupigwa risasi na hawakupa nafasi za uongozi ni:- Rapper 50 Cent alipigwa risasi zaidi ya tisa mwaka 2000 hakuomba Urais ila baada ya hapo alitoa albamu tatu. Mwaka 2006 Joseph Guzman alipigwa risasi 19 hakufa na hakuomba nafasi ya Urais. Pia mwaka 1995 kuna mtu kutoka North Carolina alipigwa vibaya na risasi zaidi 20 hakuomba wala hakuwa Rais. Ninamkumbusha mtume MWINGIRA kwa kuwa ninajua huenda alikuwa hajui na kudhani Lisu ni mtu wa kwanza kupigwa.Hivyo nimtahadharishe Mchungaji kuwa Urais si hisani bali wapiga kura pamoja na kusikiliza sera wanazo haki za kuwapima wagombea na vyama vyao.

Hata hivyo Mchungaji MWINGIRA anafanya makosa, labda kama tu ni shetani ameamua kumtumia Mpakwa mafuta huyu kufikisha matamanio yake. Kanisani si mahali pa kufanyia siasa, ninatamani MWINGIRA atoke kanisani kama walivyotoka akina Bagoza, Gwajima n.ksi mahali pa kufanyia siasa, ninatamani MWINGIRA atoke kanisani kama walivyotoka akina Bagoza, Gwajima kupanda majukwaani. Kanisani ibaki ni sehemu ya kuabudia isiwe sehemu ya kufanyia kampeni.

Neno la Mungu ndilo chakula cha roho ambacho mtumishi wa Mungu anapaswa kuwapa watu kwa wakati wake. Ili uweze kulisha watu ipasavyo ni lazima kuelewa mahitaji yao na wakati sahihi unaofaa kuwalisha.

Mahubiri sahihi ni yale ambayo Yesu Kristo ni sehemu ya mahubiri hayo kwa lengo la kuokoa roho za watu, ndivyo walivyo hubiri mitume wote kwenye Biblia Takatifu. Lakini anapotokea Mchungaji anahubiri siasa ambazo si sehemu ya maandiko matakatifu ni kulifanya hekalu la Bwana kuwa pango la SHETANI.

Lakini hata hivyo si dhambi kwa wapakwa mafuta wa Mungu kufanya siasa, lakini ni DHAMBI kubwa kutumia nyumba ya Ibada kufanya siasa. Kuwa na aina hii ya watumishi wanaoweza kutumia nyumba za Ibada ni sawa na kugeuza hekalu la Mungu kuwa kijiwe cha wahuni.

Makanisa na misikiti toka zamani hayakuwa na milengo ya kisiasa, lakni kadri siku zinavyozidi kwenda ninaona tunaanza kuingiza siasa. Kwa kauli ya Mtume MWINGIRA watu wasio na mlengo wa kumchagua Lisu hawapaswi kuwa waumini wa kanisa hilo. Ushauri wangu ni kuwa MWINGIRA apande Majukwaani kumunadi Tundu badala ya kutumia eneo takatifu kufanya kampeni.
mwingira, bagona hawana tofuti na nabii titto
 
Na hawa je maono yao yako sahihi
IMG_20200926_165402.jpeg
IMG_20200926_165253.jpeg
 
Alichofanya ni kuwaambia waumini wake maono aliyopewa. Kosa liko wapi hapo?

Lissu angeenda pale kisha akaanza kujinadi hapo ingekuwa kosa, lkn mbali na hapo unatupigia kelele tuu.

Mbona jeipiemu kapanda madhabahuni miaka 5 kujinadi lkn hukuona tatizo? Ama ndio mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?
Mwambie huyu yuko sahihi?

Wee kweli mataga unawaza teuzi tu wapi mwingira kasema lissu anafaa kua raisi kabla ya kutumwa kuja kuchafua watu muwe mnapitia kwanza
 
Ulizotoa si hoja ni vioja. Ukiwa na akili timamu huwezi kusema sijui 50 cent alipigwa risasi na hakugombea urais, hangetakaje urais wakati destination yake kubwa ni muziki?. Mlimpiga lisasi Lissu ili kuikabili nguvu zake za hoja katika siasa na sio muziki kama unaemtaja 50 cent.

Record zinaonyesha Lissu alishaanza kuwanyanyasa kina Kikwete, Makinda, Mkapa kabla hata hamjamdunga Risasi kama ambavyo Leo tunavyoshuhudia Magufuli anavyodhalilishwa.
Unaakili ndogo kama za Mbuni wewe! Unamfahamu professor J? Unamfahamu pia Mr two sugu?

Acha utoto, uwe unafikiri zaidi ndipo unaandika, la sivyo, wewe haukustahili kujiunga katika jukwaa hili
 
Alichofanya ni kuwaambia waumini wake maono aliyopewa. Kosa liko wapi hapo?

Lissu angeenda pale kisha akaanza kujinadi hapo ingekuwa kosa, lkn mbali na hapo unatupigia kelele tuu.

Mbona jeipiemu kapanda madhabahuni miaka 5 kujinadi lkn hukuona tatizo? Ama ndio mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?
Mwingira ni Muhuni kama wahuni wengine apuuzwee
 
NIMKUMBUSHE MCHUNGAJI MWINGIRA.

Na Elius Ndabila
0768239284

Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji Mwingira (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lissu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA.

Kabla sijamkumbusha mambo mengi Baba Mchungaji MWINGIRA, ninaomba nikiri kuwa mimi ni msomaji mzuri wa Vitabu alivyoviandika MTUME MWINGIRA. Vitabu vyake ambavyo nimebahatika kusoma ambavyo vimeandikwa kwa ustadi mkubwa ni TABIA YA KUTEMBEA NA MUNGU UVUNE, MTEMBEO WA MUNGU KWA HAO ALIOWARIDHIA NA MOYO WA KIONGOZI. Ninaomba nikiri pia kuwa ni mmoja ya watu tunaofuatilia magundisho yake na mara nyingi nimebarikiwa nayo sana. Lakini leo ninataka kumkumbusha mambo machache ili kukazia maarifa yake.

Baba Mchungaji (Mtume) MWINGIRA kwenye video yake kwa ufupi amesema Lisu anafaa kuwa Rais kwa kuwa pamoja na kupigwa Risasi nyingi lakini bado anaishi. MWINGIRA anasema kitendo cha Lisu kuendelea kuishi pamoja na risasi alizopigwa ni kusudi la Mungu kuwa anatosha kuwa kiongozi mkubwa wa nchi. Anaendelea kukazia hoja zake kwa kusema Lusu hajajenga Fly Over Kama wengine, lakini bado watu wanamfuata.

Wakati nikiwa ninamsikiliza Mchungaji MWINGIRA rafiki yangu mmoja amenitumia video ya mzee Wasira(Vijana wanamwiti Mwenyekiti wa waliokatwa kwenye mchakato) akisema kuwa kama sifa ya kuwa Rais ni kupigwa risasi, basi watu wengi watatamani wapigwe risasi ili wawe Marais. Hoja ya Mzee Wasira inanipa nguvu na inaongeza wigo wa kufikiria. Kwa mkutadha huo nimkumbushe Mchungaji MWINGIRA kuwa Lisu si mtu wa kwanza kupigwa Risasi nyingi na kuendelea kuishi. Wapo watu wengi ambao Dunia walishapigwa Risasi lakini hawakupata huruma ya kuwa Marais wala hawakuwahi kutamani kuomba hizo nafasi.

Hawakuomba hizo nafasi kwa kuwa walijua fika kuwa sifa ya kuwa Rais si kupigwa risasi bali ni uwezo, uzalendo, ushujaa na uhodari katika kukabiliana na majukumu ya nafasi hiyo. Waliowahi kupigwa risasi na hawakupa nafasi za uongozi ni:- Rapper 50 Cent alipigwa risasi zaidi ya tisa mwaka 2000 hakuomba Urais ila baada ya hapo alitoa albamu tatu.

Mwaka 2006 Joseph Guzman alipigwa risasi 19 hakufa na hakuomba nafasi ya Urais. Pia mwaka 1995 kuna mtu kutoka North Carolina alipigwa vibaya na risasi zaidi 20 hakuomba wala hakuwa Rais. Ninamkumbusha mtume MWINGIRA kwa kuwa ninajua huenda alikuwa hajui na kudhani Lisu ni mtu wa kwanza kupigwa.Hivyo nimtahadharishe Mchungaji kuwa Urais si hisani bali wapiga kura pamoja na kusikiliza sera wanazo haki za kuwapima wagombea na vyama vyao.

Hata hivyo Mchungaji MWINGIRA anafanya makosa, labda kama tu ni shetani ameamua kumtumia Mpakwa mafuta huyu kufikisha matamanio yake. Kanisani si mahali pa kufanyia siasa, ninatamani MWINGIRA atoke kanisani kama walivyotoka akina Bagoza, Gwajima n.ksi mahali pa kufanyia siasa, ninatamani MWINGIRA atoke kanisani kama walivyotoka akina Bagoza, Gwajima kupanda majukwaani. Kanisani ibaki ni sehemu ya kuabudia isiwe sehemu ya kufanyia kampeni.

Neno la Mungu ndilo chakula cha roho ambacho mtumishi wa Mungu anapaswa kuwapa watu kwa wakati wake. Ili uweze kulisha watu ipasavyo ni lazima kuelewa mahitaji yao na wakati sahihi unaofaa kuwalisha.

Mahubiri sahihi ni yale ambayo Yesu Kristo ni sehemu ya mahubiri hayo kwa lengo la kuokoa roho za watu, ndivyo walivyo hubiri mitume wote kwenye Biblia Takatifu. Lakini anapotokea Mchungaji anahubiri siasa ambazo si sehemu ya maandiko matakatifu ni kulifanya hekalu la Bwana kuwa pango la SHETANI.

Lakini hata hivyo si dhambi kwa wapakwa mafuta wa Mungu kufanya siasa, lakini ni DHAMBI kubwa kutumia nyumba ya Ibada kufanya siasa. Kuwa na aina hii ya watumishi wanaoweza kutumia nyumba za Ibada ni sawa na kugeuza hekalu la Mungu kuwa kijiwe cha wahuni.

Makanisa na misikiti toka zamani hayakuwa na milengo ya kisiasa, lakni kadri siku zinavyozidi kwenda ninaona tunaanza kuingiza siasa. Kwa kauli ya Mtume MWINGIRA watu wasio na mlengo wa kumchagua Lisu hawapaswi kuwa waumini wa kanisa hilo. Ushauri wangu ni kuwa MWINGIRA apande Majukwaani kumunadi Tundu badala ya kutumia eneo takatifu kufanya kampeni.
Utakua umekula uharo na ndio mana unaongea uharo tu,hivi ccm lini mtakua na akili gwajima,lusekelo etc wakisifia ccm ni halali...tuliza kijambio kila mtu anahuru wake
IMG_20200926_152400.jpeg
 
Kwa hiyo Mwingira anataka abaki na waumini wafuasi wa chadema tu ? Wa CCM hawataki?

Wana CCM mnaosali kwa Mwingira mwachieni kanisa lake katafuteni Makanisa mengine waachieni Chadema
Wanaccm wanasali kwa gwajima ambae hajawahi kujenga kanisa,ila uwezo wa kulipia wanakawe ticket za kwenda usa anao
IMG_20200926_152400.jpeg
 
Sawa kabisa usemayo. Kwenye madhabahu si mahali pa kuzungumzia siasa kwa sababu waumini wanatoka pande tofauti za kisiasa ingawa kiimani wako pamoja. Mchungaji ana uhuru wa kumpenda mgombea fulani na ni haki yake ampigie kura mtu huyo. Lakini asimshabikie kwenye madhabahu kwa kuwa waumini wengine wanatofautiana naye kisiasa.

Hili ndilo kosa analofanya pia Askofu Bangoza. Mtu chagua kuwa mwanasiasa au kuwa mchungaji. Ukichagua siasa, hapo ndiyo una haki ya kumpigia debe unayempenda.

Lakini kama unachagua uchungaji, mapenzi yako kwa mgombea fulani yabakie moyoni mwako tu na si kuwashawishi wengine. Siku ya kura utatekeleza mapenzi yako bila watu wengine kufahamu umempigia nani.
Huyu yeye hafanyi kosa?mwaka huu upepo utawatoka kwenye matundu yote ya mwili
IMG_20200926_152400.jpeg
 
NIMKUMBUSHE MCHUNGAJI MWINGIRA.

Na Elius Ndabila
0768239284

Wiki hii kumekuwa na video ambayo inazunguka ikimuonyesha Mchungaji Mwingira (mpakwa mafuta) akiwa kanisani akihubiri Waumini wake. Kipande nilichofanikiwa kukiona ni kile ambacho Baba Mchungaji MWINGIRA anahusishanisha upigwaji wa Risasi Lissu na mchakato tunaouendea wa Uchaguzi. "Lisu hajajenga flyover lakini watu wanamfuata" Pastor MWINGIRA.

Kabla sijamkumbusha mambo mengi Baba Mchungaji MWINGIRA, ninaomba nikiri kuwa mimi ni msomaji mzuri wa Vitabu alivyoviandika MTUME MWINGIRA. Vitabu vyake ambavyo nimebahatika kusoma ambavyo vimeandikwa kwa ustadi mkubwa ni TABIA YA KUTEMBEA NA MUNGU UVUNE, MTEMBEO WA MUNGU KWA HAO ALIOWARIDHIA NA MOYO WA KIONGOZI. Ninaomba nikiri pia kuwa ni mmoja ya watu tunaofuatilia magundisho yake na mara nyingi nimebarikiwa nayo sana. Lakini leo ninataka kumkumbusha mambo machache ili kukazia maarifa yake.

Baba Mchungaji (Mtume) MWINGIRA kwenye video yake kwa ufupi amesema Lisu anafaa kuwa Rais kwa kuwa pamoja na kupigwa Risasi nyingi lakini bado anaishi. MWINGIRA anasema kitendo cha Lisu kuendelea kuishi pamoja na risasi alizopigwa ni kusudi la Mungu kuwa anatosha kuwa kiongozi mkubwa wa nchi. Anaendelea kukazia hoja zake kwa kusema Lusu hajajenga Fly Over Kama wengine, lakini bado watu wanamfuata.

Wakati nikiwa ninamsikiliza Mchungaji MWINGIRA rafiki yangu mmoja amenitumia video ya mzee Wasira(Vijana wanamwiti Mwenyekiti wa waliokatwa kwenye mchakato) akisema kuwa kama sifa ya kuwa Rais ni kupigwa risasi, basi watu wengi watatamani wapigwe risasi ili wawe Marais. Hoja ya Mzee Wasira inanipa nguvu na inaongeza wigo wa kufikiria. Kwa mkutadha huo nimkumbushe Mchungaji MWINGIRA kuwa Lisu si mtu wa kwanza kupigwa Risasi nyingi na kuendelea kuishi. Wapo watu wengi ambao Dunia walishapigwa Risasi lakini hawakupata huruma ya kuwa Marais wala hawakuwahi kutamani kuomba hizo nafasi.

Hawakuomba hizo nafasi kwa kuwa walijua fika kuwa sifa ya kuwa Rais si kupigwa risasi bali ni uwezo, uzalendo, ushujaa na uhodari katika kukabiliana na majukumu ya nafasi hiyo. Waliowahi kupigwa risasi na hawakupa nafasi za uongozi ni:- Rapper 50 Cent alipigwa risasi zaidi ya tisa mwaka 2000 hakuomba Urais ila baada ya hapo alitoa albamu tatu.

Mwaka 2006 Joseph Guzman alipigwa risasi 19 hakufa na hakuomba nafasi ya Urais. Pia mwaka 1995 kuna mtu kutoka North Carolina alipigwa vibaya na risasi zaidi 20 hakuomba wala hakuwa Rais. Ninamkumbusha mtume MWINGIRA kwa kuwa ninajua huenda alikuwa hajui na kudhani Lisu ni mtu wa kwanza kupigwa.Hivyo nimtahadharishe Mchungaji kuwa Urais si hisani bali wapiga kura pamoja na kusikiliza sera wanazo haki za kuwapima wagombea na vyama vyao.

Hata hivyo Mchungaji MWINGIRA anafanya makosa, labda kama tu ni shetani ameamua kumtumia Mpakwa mafuta huyu kufikisha matamanio yake. Kanisani si mahali pa kufanyia siasa, ninatamani MWINGIRA atoke kanisani kama walivyotoka akina Bagoza, Gwajima n.ksi mahali pa kufanyia siasa, ninatamani MWINGIRA atoke kanisani kama walivyotoka akina Bagoza, Gwajima kupanda majukwaani. Kanisani ibaki ni sehemu ya kuabudia isiwe sehemu ya kufanyia kampeni.

Neno la Mungu ndilo chakula cha roho ambacho mtumishi wa Mungu anapaswa kuwapa watu kwa wakati wake. Ili uweze kulisha watu ipasavyo ni lazima kuelewa mahitaji yao na wakati sahihi unaofaa kuwalisha.

Mahubiri sahihi ni yale ambayo Yesu Kristo ni sehemu ya mahubiri hayo kwa lengo la kuokoa roho za watu, ndivyo walivyo hubiri mitume wote kwenye Biblia Takatifu. Lakini anapotokea Mchungaji anahubiri siasa ambazo si sehemu ya maandiko matakatifu ni kulifanya hekalu la Bwana kuwa pango la SHETANI.

Lakini hata hivyo si dhambi kwa wapakwa mafuta wa Mungu kufanya siasa, lakini ni DHAMBI kubwa kutumia nyumba ya Ibada kufanya siasa. Kuwa na aina hii ya watumishi wanaoweza kutumia nyumba za Ibada ni sawa na kugeuza hekalu la Mungu kuwa kijiwe cha wahuni.

Makanisa na misikiti toka zamani hayakuwa na milengo ya kisiasa, lakni kadri siku zinavyozidi kwenda ninaona tunaanza kuingiza siasa. Kwa kauli ya Mtume MWINGIRA watu wasio na mlengo wa kumchagua Lisu hawapaswi kuwa waumini wa kanisa hilo. Ushauri wangu ni kuwa MWINGIRA apande Majukwaani kumunadi Tundu badala ya kutumia eneo takatifu kufanya kampeni.
Huna jipya
 
Back
Top Bottom