Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,075
- 3,413
Huyu hajijui. Anajaribu kuimpress lakini sidhani maana ujengaji wake wa hoja ni wa kitoto mno. Halafu eti anaweka na namba ya simu. Anatafuta usajili Lumumba Bk7. Napo sioni akipata usajili.Alichofanya ni kuwaambia waumini wake maono aliyopewa. Kosa liko wapi hapo?
Lissu angeenda pale kisha akaanza kujinadi hapo ingekuwa kosa, lkn mbali na hapo unatupigia kelele tuu.
Mbona jeipiemu kapanda madhabahuni miaka 5 kujinadi lkn hukuona tatizo? Ama ndio mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu?