Tumjibu Askofu Gwajima Kisayansi na si Kisiasa, tuache kumshambulia na kumtishia. No research no right to speak

Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
4,331
2,000
Pole kwa kupitia athari za kuambukizwa na kuugua UVIKO-19.

Maelezo yako ya kupona, baadhi ya athari za ambukizo, baada ya kupata chanjo yanazua maswali mengine ya kisayansi.
︎ kwamba ukiambukizwa ugonjwa wa kirusi ukapona unakuwa na kinga ya huo ugonjwa, je, iweje kuwe na ulazima wa chanjo?
︎ hizo athari za ambukizo baada ya kupona (homa, mafua makavu, nk) yaonekana ni baadhi ya madhara ya ugonjwa, je, wataalamu wa afya walikushauri nini kabla ya kupata chanjo?

Kwamba So what am I trying to say COVID 19 bado wanasayansi wanajifunza madhara yake, however vaccine helps asikwambie mtu inazua maswali anayouliza Gwajiboy. Isije kuwa chanjo kwako imekupa nafuu ya athari za kuambukizwa kuliko ambaye hajaugua kabisa?

Kwamba Tatizo la huyu Gwajima sio kupinga with merit na uongo juu anawatungia wahusika to justify his position, now that is just stupid ni maoni yako binafsi lakini kwangu maswali yake yamenisaidia kufanya maaumuzi sahihi kuhusu kuchanjwa au la.

Msimamo wangu uko palepale kuwa waliochanjwa, hasa viongozi walioonesha mfano wa kuchanjwa, akiwemo Rais SSH, wafanyiwe vipimo kuthibitisha kuwa miili yao imetengeneza kinga. Kinyume chake nami nitaendelea kuamini walichanjwa "placebo"

VIONGOZI watupe majibu ya kisayansi kuhusu ubora na usalama wa chanjo ili watu kama Gwajiboy wapuuzwe

Ndio maana wanaita ugonjwa mpya tatizo kubwa ninaloliona kwetu ni information gap kutoka kwa wataalamu kwenda kwa wananchi, kuhusu evolution ya huu ugonjwa based on new information.

COVID aimpigi kila mtu sawa, kwa mfano kwa watoto wadogo wa chekechea yaani wao ata wakipata hakuna inachofanya na ipo ivyo kwa watoto wengi ndio maana unaona kwa mabeberu shule za msingi na chekechea zilikuwa zinafunguliwa haraka.

Kundi linalofuata ni vijana waliowengi (sio wote) kuanzia miaka 18 mpaka 30’s (na baadhi ya watu wengine wenye kinga nzuri mpaka in their 60’s) wanapata lakini wanakuwa na minor symptoms tu za ugonjwa ata homa awapati.

Kundi la tatu ndio akina mie sijafikia umri atarishi yaani 55+ lakini afya yangu kwa kweli sikuitunza vizuri; wale ambao ilitakiwa isitusumbue ila imetupiga na homa ya week kadhaa, kila utakaeongea nae katika hawa ana story yake COVID ilimuachia side effects zipi.

Kundi la nne hawa ndio wale COVID kawapiga mpaka imebidi waende hospitali kwa uangalizi wa karibu na wengine kuhitaji oxygen (wengi wao wakiwa 60+, but not restricted to that age) kundi ili ulaya wengi waliopata COVID ilipoanza na kupona ndio hawa hawa iliwarudia na baadhi yao walikufa kipindi cha second wave. Na wale ambao aijawarudia watakwambia they feel kuna long term damage wameachiwa na COVID.

So yes kuna watu wanapata immune baada ya kuugua, kuna watu COVID anatulia tu kipindi cha joto anaibuka tena kwenye baridi.

Ni kitu ambacho bado wao wenyewe wanajifunza how COVID impacts different human beings. Kuhusu wataalamu kukushauri labda sasa hivi ambapo pressure mahospitaloni imepungua. Kijiji ninachoishi mimi yaani watu pekee waliokuwa wanapewa medical attention ni hilo group la nne, wengine wote mnaambiwa usipige ata simu kama unaweza kupumua jitibie huko huko nyumbani kwako we meza paracetamol utapona.

Ila chanjo works, ni kupitia chanjo rate ya maambukizi imepungua kwa age groups ambazo washachanja.
 

chezo

Senior Member
Oct 19, 2012
191
500
tumeamua ku brand Corona! hatuzungumzi tena madaraja, miradi mipya, angekuwepo JPM sasahivi yupo busy anazindua miradi na kubuni miradi mipya!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom