Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Kwa watumiaji wa android, kwakuwa Play store imeshaingiliwa, huwezi download chochote hata hiyo VPN. Ila bado hujashindwa.

Fungua hii link nakupa. Download kisha Install. Ukishamaliza Fungua na bonyeza Connect.

Hakikisha kwenye simu yako juu kuna alama ya Ufunguo. Ukiuona ufunguo jua uneshakuwa Vpn family. Mia

Waungwana mnaofatilia mambo ya uchaguzi nataka kujua bila VPN mnatoboa? hasa wale wa chama tawala mliosema haizimwi vipi kwenu mlipewa connection ipi? maana sisi wengine mpaka vpn ndo mambo yanajipa
 
Kwa watumiaji wa android, kwakuwa Play store imeshaingiliwa, huwezi download chochote hata hiyo VPN. Ila bado hujashindwa.

Fungua hii link nakupa. Download kisha Install. Ukishamaliza Fungua na bonyeza Connect...
Mkuu huku kwetu Star TV ya Mwanza inakata matangazo ya BBC Zuhura Yunus anaelezea madhila ya Zanzibar watu kuuwawa naomba maelekezo ya UFO VPN kwa Desktop Android kwenye Plat Store wamenigomea
sasa kabla ya JF kubanwa okoa jahazi, naulizwa Nchi, sijui nijaze kipi kwanza.

1603822633312.png
 
Kwa watumiaji wa android, kwakuwa Play store imeshaingiliwa, huwezi download chochote hata hiyo VPN. Ila bado hujashindwa.

Fungua hii link nakupa. Download kisha Install. Ukishamaliza Fungua na bonyeza Connect.

Hakikisha kwenye simu yako juu kuna alama ya Ufunguo. Ukiuona ufunguo jua uneshakuwa Vpn family. Mia

naomba maelekezo ya UFO VPN kwa Desktop Android kwenye Play Store wamenigomea
sasa kabla ya JF kubanwa okoa jahazi, naulizwa Nchi, sijui nijaze kipi kwanza
View attachment 1613959
 
Mkuu huku kwetu Star TV ya Mwanza inakata matangazo ya BBC Zuhura Yunus anaelezea madhila ya Zanzibar watu kuuwawa naomba maelekezo ya UFO VPN kwa Desktop Android kwenye Plat Store wamenigomea
sasa kabla ya JF kubanwa okoa jahazi, naulizwa Nchi, sijui nijaze kipi kwanza
View attachment 1613959
Mkuu Play store umeenda kufanya nini? Nmekupa link. Ibonyeze, download hiyo apk. Install, fungua. Simple.
 
Nenda Google search EXPRESS VPN, kisha itakuja Kama inavyoonekana kwenye picha hapo, ukishadownload install, Kisha chagua try free trial , weka email yako Kisha utakua umebakiza setting chache rahisi kuendelea kuperuzi mitandao ya kijamii, free trial ikiisha muda wake uninstall uinstall upya then endelea na free trial tena . Hapo utakua umeizunguka serikali dhalimu. Mwambie na mwenzio wote turudi online.

Screenshot_20201027-232554.png
 
Back
Top Bottom