tumia moderm moja kusambaza internet kwa wenzako walio karibu nawae (wireless windowsa 7 OS) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumia moderm moja kusambaza internet kwa wenzako walio karibu nawae (wireless windowsa 7 OS)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by networker, Aug 7, 2011.

 1. networker

  networker JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  kwa wanavyuo au hata marafiki nunueni baundle kubwa kwa kuchangia then hakuna haja ya kununua moderm mbili kama wote mna tumia windows 7 cha kufanya mmoja wenu anaweza ku unga moderm kwenye laptop au desktop yenye wireless aikisha connect
  nenda control panel -network and sharing chagua
  1- set up a new connection or network
  2- tafuta set up wireless ad-hoc(computer-to computer )network select press next
  3-utaona vicomputer viwili press next
  4-weka jina unalopenda kwny network name
  5- chagua wpa-2(personal)
  6-pasword weka yoyote maneno 8 usi sahau coz mwenzako ndio atatumia kuget acess
  7-isubiri itake action afu chagua share my internet
  8- then press next subiri imalize kutengeneza connection then close

  mwenzako
  9-kwa mwenzio sasa anatakiwa awashe wireless yake a search jina ka wireless uliyo tengeneza bofya connect weka password connect .

  wote mtakuwa mna tumia internet from the same moderm.the speed is normal for both users
   
 2. e

  erickmalz Senior Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  thank u sana,ntajarbu hyo ki2.
   
 3. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 990
  Likes Received: 1,025
  Trophy Points: 180
  Tnx soo much...!
   
 4. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,464
  Likes Received: 1,401
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa naitumia through UBUNTU, ngoja nijaribu na hii, ila kiukweli haina faida kubwa
   
 5. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Wabeja sana, mkuu.
   
 6. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tatizo ya hii kitu ipo kwenye windows 7 pekee xp hamna kitu kama hicho.
   
 7. Emmado

  Emmado Senior Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  jaribu kudownload connectify application....... Unakua umekata mzizi wa fitina!
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,720
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ili utumie kwenye windows gani?
   
 9. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kwa mwendo huu wa ugunduzi ndio maana makampuni ya simu kila siku yanakuja promosheni ilikutengeneza pesa zaidi,
   
 10. jbjb

  jbjb Member

  #10
  Feb 28, 2016
  Joined: Dec 27, 2015
  Messages: 72
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  K
   
 11. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #11
  Feb 28, 2016
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Njia fupi ni hii hapa achana na mambo ya kutumia moderm.
  Njia rahisi ni kuwa na simu (android modal) Nenda kwenye setting click. Nenda kwenye mobile network, click kwenye neno more nenda kwenye Tethering and portable hotspot nenda kwenye configure wi-fi hotspot weka password yako then save rudi kwenye portable wi-fi hotspot weka on. Baada ya hapo tazama chini ya laptop yako kwenye minala ya internet itaonyesha AdroidAP kwenye kila computer bila kuchagua unatumia window 7, 8 au 10 baada hapo unaconnect ur device na utaingiza hizo password ulizoset kwenye simu yako hapo awali.
   
 12. Aurthur

  Aurthur JF-Expert Member

  #12
  Feb 28, 2016
  Joined: Feb 1, 2016
  Messages: 2,592
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu ayo sio matumizi sahihi ya simu utaifanya ilipuke
   
 13. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #13
  Feb 29, 2016
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kulipuka na nini ndiyo maana wakaweka hiyo application kwenye simu.
   
Loading...