karugila
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 1,275
- 683
Jamani nimecheka saana usiku huuhebu jiangalie. saa tisa za usiku unaandika upumbavu. au wewe ni watch man
Jamani nimecheka saana usiku huuhebu jiangalie. saa tisa za usiku unaandika upumbavu. au wewe ni watch man
una modem gani? hio njia haifanyi kazi kwa modem mpyaKaka kudownload nokia pc suit naweza kutumia simu yangu then hiyo application nikaipeleka kwenye kompyuta?
Nina modem ya airteluna modem gani? hio njia haifanyi kazi kwa modem mpya
zipo modem nyingi za airtelNina modem ya airtel
Kaka imeandikwa HSUPA MODEL MF 190.ZTEzipo modem nyingi za airtel
nenda hapaKaka imeandikwa HSUPA MODEL MF 190.ZTE
hii njia bado inafanya kazi na huawei wingle moderm tunaunlock vipi?hey brothers and sisters nataka tushee hii trick of mine kutumia line yoyote ya mtandao wowote kwenye modem yoyote unayoitaka wewe bila ku unlock,(tigo, voda na airtel)
Fata hizi step
Chomeka modem na line isiokua ya mtandao sawa na modem then itakwambia invalid sim, ignore hio msg then close software ya modem
Open nokia pc suite (vizuri uwe na latest version) halafu click pale pa kukonektia na internet (one touch access) utaona tab itapop up then click configure halafu select modem yako mfano (huawei 153) click ok
Now connect na internet bila ku unlock modem, enjoooy
Kama utakua na tatizo u may ask
modem nyingi za kisasa haikubali. model ya hio wingle ni ipi?hii njia bado inafanya kazi na huawei wingle moderm tunaunlock vipi?
ni E8231Smodem nyingi za kisasa haikubali. model ya hio wingle ni ipi?
ukiweka line nyengine inadai unlock code? kama ndio jaribu kutembelea hapani E8231S