tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

Chief-Mkwawa, weee ni Mkali!!! Thanks Bro! Modem yangu ya Airtel imekubali line ya Voda!!
 
Mkuu natumia moderm ya airtel model no 153u-2 but nikiweka line ya airtel na nikitumia pc suite inakubaqli but nikiweka line nyingine(voda) na nikijaribu ku conect inakataa na inatoa msg hii FAILED TO CONECT NETWORK
 
Kama ulifata hizo process ikakataa jaribu ku update pc suite yako
 
Kama ulifata hizo process ikakataa jaribu ku update pc suite yako

Natumia pc suite versn yake ni 7.1.180.46..but nimejaribu sana na imekataa nashindwa kuelewa ni nini nakosea bt moderm yangu ni ya airtel...huawei E153-u2,kama kuna mtu yoyote amejaribu kwa kutumia moderm ya namna hii basi naomba anielekeze amefanyaje!:shock:
 
kaka nimeshadownload hiyo software it seems it is going to be working bt tuambie hata procedure basi tusije kuharibu modem plz
kaka pole sana kaka, nimepitia experience kama hiyo ya kwako, ila angalia kama umechomeka vizuri line kewnye modem maana baada ya kulijua hilo, kwangu sasa hivi ipo ok
 
naomba msaada, nimejaribu kwa kutunia modem ya airtel ikiwa na line ya voda , lakini imekataa kukonect napata message "failed to establish network connection" naomba msaada kwa hilo
 
[h=2]Re: tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock[/h]Hapo poa kaka ninapata net kwa kutumia laini zote sasa
 
hey brothers and sisters nataka tushee hii trick of mine kutumia line yoyote ya mtandao wowote kwenye modem yoyote unayoitaka wewe bila ku unlock,(tigo, voda na airtel)

Fata hizi step

Chomeka modem na line isiokua ya mtandao sawa na modem then itakwambia invalid sim, ignore hio msg then close software ya modem

Open nokia pc suite (vizuri uwe na latest version) halafu click pale pa kukonektia na internet (one touch access) utaona tab itapop up then click configure halafu select modem yako mfano (huawei 153) click ok

Now connect na internet bila ku unlock modem, enjoooy

Kama utakua na tatizo u may ask

Great one! Ar u Tukae?
 
Nimefuata procedure zoto ila inataka access point., user name, password na additional initialization commands
 
ndugu zang mbona kwngu inakaataa inaleta sms ya failed to establish connection..., natumia nokia pc vision 7-0-8-2 nisaidie tafadhali na usongo nayoo..
 
mimi natumia ubuntu je hayo yatawezekanaje maana hio nokia pc suit haiwezekani kuinstall kwenye ubuntu tusaidiane hapo wadau kwa mwenye tecknolojia zaid yangu
 
Mkuu big up saana. Nimefuata maelekezo yako, kitu kimekubali thanks. Nimejaribu kutumia Airtel Modem e153, ndani kukiwa na line ya tigo. Hii ina maana ile software ya kufanya temporary unlock itakua imepata competitor(NOKIA PC SUITE).

kiongozi hongera saaaana,
 
Back
Top Bottom