tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumia line yoyote kwa modem yoyote bila ku unlock

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Jan 24, 2012.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  hey brothers and sisters nataka tushee hii trick of mine kutumia line yoyote ya mtandao wowote kwenye modem yoyote unayoitaka wewe bila ku unlock,(tigo, voda na airtel)

  Fata hizi step

  Chomeka modem na line isiokua ya mtandao sawa na modem then itakwambia invalid sim, ignore hio msg then close software ya modem

  Open nokia pc suite (vizuri uwe na latest version) halafu click pale pa kukonektia na internet (one touch access) utaona tab itapop up then click configure halafu select modem yako mfano (huawei 153) click ok

  Now connect na internet bila ku unlock modem, enjoooy

  Kama utakua na tatizo u may ask
   
 2. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu big up saana. Nimefuata maelekezo yako, kitu kimekubali thanks. Nimejaribu kutumia Airtel Modem e153, ndani kukiwa na line ya tigo. Hii ina maana ile software ya kufanya temporary unlock itakua imepata competitor(NOKIA PC SUITE).
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ngoja nifanye mambo faster tuone.Big up mkuuuuuuuuu.
   
 4. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Ngoja nijaribu. Nitarudi
   
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu nokia ni zaidi ya zote! Asante kitu mwake mwake
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  tupo pamoja wakuu
   
 7. Mnyamwezi wa Urambo

  Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ubarikiwe chief mkwawa kwa kutupa maujanja!!
   
 8. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  poa let me try nitakupa feedback
  thanx in advance
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nimeweka line ya voda kwenye modem ya ttcl naona hainipi majibu!...au mimi kichwa ngumu?...hehehee
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  Dah apo chacha sina modem ya ttcl labda atakuja mtu kukusaidia umefata step correctly?
   
 11. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya ttcl sijui ina mashetani gani! Lazima akwame tu.
   
 12. f

  fuundiumeme Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hongera kwa maujanja!Ungekuwa mnyimi usingesema chochote.Nami sasa naenda kununua modem!Ya zantel inakubali hayo maujanja?
   
 13. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  natumia moddem ya tigo na nimeweka line ya airtel .nimefuta procedure zote bt baada ya kuconfigure yenyewe imedetect modem automaticaly ya 3G sijspata option ya kuinster my modem number i.e. 153 -\u-1 akafu chini yakke kuna kuconfigure mannualy bt nimeingia pia hamna option hiyo sasana inaniuliza remote srver wangu nichague kuna nchi mnalimbali bt tz hamna so nifanye plz im suffering for thisthanx in advance
   
 14. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  natumia modem ya tigo na nimeweka line ya airtel .nimefuata procedure zote bt baada ya kuconfigure yenyewe imedetect modem automaticaly ya 3G sijaspata option ya kuinsert my modem number i.e. 153 u-1 alafu chini yakke kuna kuconfigure mannualy bt nimeingia pia hamna option hiyo sanasana inaniuliza remote server wangu nichague kuna nchi mnalimbali bt tz hamna so nifanye nini plz im suffering for this thanx in advance
   
 15. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi sijafanya chochote zaidi ya hiyo kuchagua automatic configuration na kuchagua nchi ya kwanza kwenye list, then nilipo-click connect kitu kikakubali.
   
 16. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  dah basi mimi nia bahati mbaya cz still badi inaniizingua nimechagua na mimi hiyo nchi ya kwanza ambayo ni 3 austrtalia bt bado inafeli inasema failed to establish network connection more help plz kam inawezekana if u dont mind plz im in need of this much much more
  thanx in advance
   
 17. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nyie wababa, mie kidogo mshamba kwenye haya mambo. Hiyo Nokia PC suti nitaipata wapi? Tafadhali
   
 18. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hii ni safi sana. Hongera in advance, mie nitaijaribu later.

  Kwa wenye Ttcl moderm ni ngumu kwakuwa inatumia teknolojia tofauti ya CDMA, labda kama utatumia line za CDMA ambazo si makampuni yote yanazo.
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  Kaka ukiclick configure itatokea aina ya modem yaani jina lake (huandiki ni automatic yaja)
   
 20. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #20
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  ttcl,sasatel na zantel modem zao nyingi ni CDMA na tigo, voda na airtel wanatumia GSM. kiufupi ni tekinolojia tofauti hivyo kwa hoja ya mwanzisha mada ni vyema kutumia modem za tigo, airtel au voda.
   
Loading...