Tumia hekima na busara kwenye makosa ya wenzio

mimi sasa nimeamua kubadilika nimeona haya maisha ni changamoto tu!! kwakweli moyo wa ujasiri ndo sikuwa nao na sasa namshukuru Tajiri mtata Dr Shika kunifanya niwe humble asee kila kitu kinawezekana ukiamua!!
 
Katika maisha yangu nimejiapiza kunyanyua mkono wangu kumpiga mwanamke {mke wangu}, ila kama akifurutu ada basi nitampiga ile ki ada au kama kutoa nadhiri tu na sio kumpiga ili kumuumiza.
Mke wangu akiunguza mboga mi huwa siku nyingine naingia jikoni mwenyewe, sipendi shida

Msichana wangu wa kazi naishi nae kama ndugu, sijawahi kumfokea wala nini, akikosea namwelewesha, akivunja vyombo namwambia katupe vigae jalalani, mke wangu nikimkuta anamfokea mdada wa kazi namkataza na kumuambia muache, hayupo kwa ajili ya kufokewa na masimango
 
Hongera sana kaka kama ndio uko hivyo.

Ila nasubiri wifi yangu apite pande hizi anihakikishie hilo la kuingia mwenyewe jikoni sababu kuna kiemoj kimenipa mashaka.
 
Ni very true, ukija kwangu mdada wa kazi anaishi fresh na anajiskia amani muda wote, hata akiharibu kitu namwambia sio kosa lake, basi utakuta anaishi vizuri na hadi watoto anawapenda.
Nahofia sana kumkorofisha, anaweza kuwatenda vibaya watoto.
 
Nzuri sana hiyo kaka na ukishakuwa na mawazo hayo jumlisha Ubinadamu ni ngumu sana kuwafanyia mambo ya kinyama hao wasaidizi.

Hongera sana kaka ake.
 
mimi sasa nimeamua kubadilika nimeona haya maisha ni changamoto tu!! kwakweli moyo wa ujasiri ndo sikuwa nao na sasa namshukuru Tajiri mtata Dr Shika kunifanya niwe humble asee kila kitu kinawezekana ukiamua!!
hongera kwa dr shika..
 
Katika maisha yangu nimejiapiza kunyanyua mkono wangu kumpiga mwanamke {mke wangu}, ila kama akifurutu ada basi nitampiga ile ki ada au kama kutoa nadhiri tu na sio kumpiga ili kumuumiza.
Mke wangu akiunguza mboga mi huwa siku nyingine naingia jikoni mwenyewe, sipendi shida

Msichana wangu wa kazi naishi nae kama ndugu, sijawahi kumfokea wala nini, akikosea namwelewesha, akivunja vyombo namwambia katupe vigae jalalani, mke wangu nikimkuta anamfokea mdada wa kazi namkataza na kumuambia muache, hayupo kwa ajili ya kufokewa na masimango
bangi kumbe zinasaidia ali
 
Nimesema hivi ukiishi kwa kujielewa kila mtu atakuelewa na akifanya kosa juu yako atakuja kwa kujielewa lkn kipigo hakikwepeki sana
 
fanya kosa kili yaishe, sipendi mtu afanye kosa (alafu wewe unaufahamu ukweli) unamwambia anaanza janja janja nyingi huwa ni kumuacha kimya kimya (bora hao wanao wazibua yakaisha )

wakati mwingine ukinikosea naondoka kimya sipendi hata nikuone maana kupiga mtu siwezi, tunapo kosea tuwe wakweli janja janja haisaidii
 
Back
Top Bottom