Tumia Flash Disk, Mouse, Keyboard, Power External Hard Disk directly kwenye simu yako

Mnandi

Senior Member
Aug 30, 2011
165
225
Habari zenu wakuu.
Zipo cable za kisasa zinazowezesha simu yako (Samsung S1, S2, S3 S4 etc, Nokia, HTC, Sony, Moto etc, au Gadget yoyote inayotumia Micro USB port kusoma Flash Disk, Mouse, Keyboard, au external hard disk zenye power adapter etc. OTG Cables zinafanya kazi on the basis of 'Plug and Play' unachomeka na kuanza kutumia papohapo. Bei ni 10,000/= per piece, 8,000/= wholesale price (5 or more)!! Contacts: 0783-115545,,

 

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Nokia X2-01 inakubali?

hzo series za X2-01 zimetoka 2010 kwahyo wamezisahau kidogo hawa wenzetu wa uko juu,
na sasa android ina spread like cholera.
Kwahyo X2-01 haisupport vi2 kama hv!
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,829
2,000
hzo series za X2-01 zimetoka 2010 kwahyo wamezisahau kidogo hawa wenzetu wa uko juu,
na sasa android ina spread like cholera.
Kwahyo X2-01 haisupport vi2 kama hv!

ishu ni kwamba ni feature phone sio smartphone maana symbian ^3 zinasuport otg fresh tu japo ni za zamani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom