tumia android ufaid ulimwengu wa smart phones kwa yafuatayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumia android ufaid ulimwengu wa smart phones kwa yafuatayo

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by elmagnifico, Aug 19, 2011.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,464
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Tangu google watoe os yao ya android, wameweza kuyapiku makampuni mengi yanayo tengeneza os za cm za 3rd part os kama microsoft windows mobile na symbian. Kwan makampuni mengi ya simu yamegeukia os ya android na watengenezaji wengi wa application za simu wameacha kutengeneza application za os nyingne na wameamia katka kutengeneza application za android. Na jambo la busara walilolifanya ni kuanzisha android market ambapo dvelopers wa application za android wanaweza kuuza application zao kama ztafkia vgezo vinavyokubaliwa. Wazo hili kwa mara ya kwanza lilianzshwa na apple kwa ajili ya kuhamasisha watu waweze kutengeneza application za iphone. Windowss mobile imepoteza mvuto na hilo limemfanya microsoft naye aanzishe omarket kwa ajili ya kuhamasisha watengenzaji wa application kutengeneza application za windows mobile.
  Je hivi ni kweli kwamaba microsoft os zake za cm na computer si bora ukilinganisha na mac, android na nyngne.
  Jibu ni kwamba mac anajua kuteka soko kwa kucheza sana UGI yan user graphic interface amabayo android pia naye kaiga. Graphcs za android na mac ni safi na smooth sana kias ya kwamba mtumiaj anaenjoy kwa kuona uzuri wa zule smooth icones na na display. Lakini windows bado ni bora kwa mambo mengi ambayo mtumiaji hayaoni yana fanya kaz nyuma nyuma katika ku handle operating ya simu ana applications.
  Lakini kwa hali ilivyo sasa android ndo chaguo bora kwa kuwa huwez kosa application yoyote ya android mm nimeshangaa nimepata mpaka adobe photoshop ya simu kwa android yan application nyingi sna for android. Nokia naye kaitelekeza symbian sasa atahamia os yake mpya ya maemo ambayo iko kwenye n900. Symbian was merely a smart 4n os thou nokia alijitahd iboresha.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Sahihisho kidogo Nokia anahamia Windows Phone 7 sio meego pia hakuna vigezo kama unavyofikiri kwenye Android Market, ili mradi ulipe $25 yako unaweza kupublish Apps in a few minutes hii imeturahisishia developers hatanu haja ya kufuata kanunu za Steve ila vile vile imepelekea kuwe na a lot of crap kwenye Android Market pia ni vigumu sana kuuza Apps kwenye Android hili ni tatizo kubwa kwa pro Developers.
  Simu za Android pia zipo all over the place kwa sababu hawana stadards kali za quality na hawacontrol hardware, zipo nzuri na zipo za kutupa.
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 15,994
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
  wamarekan ni promo tu nokia is da best na symbian, ona n-gage ni tishio hata kwa sony psp unacheza game kama sio simu na kwa taarifa yako kuna emulator ya palm os kwa symbian waplay anything cha simu za palm kwenye nokia na sooon itatoka android emulator kwenye symbian tuone wataongea nini. Nokia ni noma
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Lol Nokia wameshaitupa Symbian wanahamia Windows wewe bado unasema ndo best?
  N-Gage was a joke nayo wameshaifunga, fananisha na Android Experia Play.
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 15,994
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
  la kawaida tu hilo cheki symbian v5 uone games zake symbian hd mb 200 per game quality kama psp, android yako ina emulators za gba, nintendo ds, psp, playstation, nes, snes kama nokia symbian? Symbian ni father of emulators kwa simu zooooteee wait hayo ma android yatoke emulator zake sasa
   
 6. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 15,994
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Lol Emulator zote zipo kaka usiwe na wasiwasi
  Top 10 best emulators for Android | Android | Pocket Gamer


  Itafute Nokia kama utaipa hii lol
  [​IMG]

  Au hii
  [​IMG]
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,664
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Android OS mwisho wa matatizo...
   
 9. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  duh.Nadhani itabidi nitoke kwenye s60v5 niende kwenye iOS au android.
   
 10. mazd

  mazd Senior Member

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Am one amoung NOKIA developer for upcoming MeeGo Devices NOKIA N9, am developing and testing my apps using first unsold MeeGo DEVICE Nokia N950 with LINUX OS based powered by Qt4-, We are still developing for symbian,Maemo and MeeGo-see lasted Nokia release in 3.2011-NOKIA c7-We are still alive by the way.
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yaani nasomaaaa hadi hapo sijaelewa chochote.. sijui wewe mwenzangu....
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,350
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Hii ni vita ya ushindani kati ya makampuni yanayotengeneza simu (hardware) na na program zake (operating software - OS) yote hii ni katika kutimiza haja ya mtumiaji (end user) apate kile anachokihitaji pia na wao soko lao liwe juu (sell more items)
   
 13. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,221
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mkuu ukisema Symbian ni father of emulators kwa simu zote unakuwa unakosea, kwa Iphone OS unakuwa hujaitendea haki kbsa, Hata Android tu Symbian haigusi hata kidogo..
  hizi ni baadhi ya emulators za IOS

  [​IMG]genesis4iphone - Sega Genesis (MegaDrive) and Sega CD emulator for the iPhone and iPod Touch! It is based on Notaz's heavily updated PicoDrive emulator. It even supports zipped roms!

  [​IMG] gpSPhone - Gameboy Advance emulator (GBA emulator) for the iPhone and iPod Touch.

  [​IMG]psx4iphone - Sony Playstation 1 emulator (PSX Emulator) for the iPhone and iPod Touch! It supports BIN,ISO,IMG, and even compressed Z/ZNX files from PocketISO!

  [​IMG]mame4iphone - port of the MAME emulator for the iPhone and iPod Touch!
  Based on MAME v0.37 Beta 5, it supports over 2000 ROMs! This MAME version supports many arcade machines from the 1970's to 2000.

  [​IMG]snes4iphone - Super Nintendo emulator (SNES emulator) for the iPhone and iPod Touch


  [​IMG]ScummVM - emulator like interpreter program which allows you to play many classic graphical point-and-click adventure games. All you need are the old data files. ScummVM replaces the executables that came with the original game, allowing you to run games on systems for which they were never designed!

  Mac Plus Emulator for iPhone.
   
 14. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 15,994
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
 15. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,221
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  chief maGame ya Android na IOS yapo juu ukilinganisha na ya Symbian s60v5, ukilinganisha kwa Graphics, size za hizo Games...mfano Asphalt 6 Adrenaline ya symbian ni 255MegaBites wakati ya Android ni 448Megabites, Iphone 546MegaBites, Fifa 2011 ya symbian 196MegaBites, Android 682MegaBites, Iphone 938MegaBites....angalia tofauti ya quality ya Fifa 11 ya Symbian na ya Iphone hapo chief..

  hebu angalia quality ya Fifa 2011 ya symbian s60v5 hii... [​IMG] [​IMG]
  alafu linganisha na hili la Iphone..
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  wadau naomba muangalie quality alafu muamue wenyewe kwasababu naona kama Chief haelewi vile!!


  hapa ni Dexter for Iphone..[​IMG]

  haya maGame ya Mission,,Modern Combat, Grand Theft Auto etc..

  [​IMG] [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  Symbian bado sana kwa Android na IOS.........:drama::drama:
   
 16. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 778
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  wakuu mimi ni symbian damu damu ila sahizi natafuta chaka la kukimbilia as long as Nokia wametuchinjia baharini kwamba hatuwezi ku hack tena kwa kutumia DEVELOPER cer. na .key hakuna FUN tena kwenye symbian its uselesss sword japo ni zuri. nokia wameamua ku achana na symbian so chief-mkwawa kubali kuwa androids is poa than Symbian but kuanzia July 24 this year!! dah nokia yangu weee i still have feeling for you!!
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,584
  Likes Received: 5,805
  Trophy Points: 280
  Android kwenye Samsung Galaxy Epic 4G, Nextbook3 8.4 (Android 2.1) and Acer Iconia A500 (Honeycomb 3.1).

  Honeycomb is too far ahead of the times though, I was trying to install my "The Economist" app naona bado wako kwenye 2.x , a pity considering this is a brand new app from an industry leader.
   
 18. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 4,959
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Nokia wamesema N9 haitakuwa released US wala UK, kwa kifupi hawataki kuwachanganya wateja kwa kuwa na OS mbili, kama unadevelop for fun hiyo haina tatizo lakini sidhani kama kuna business future kwenye Meego.
   
 19. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 15,994
  Likes Received: 5,024
  Trophy Points: 280
  mbona mi bado nahack kama kawaida na developer certificate? Tumia ile ya kichina ya kugenerete certificate through screenshot, ebwana kaka mbona magame unayoyapenda wazoom usiyoyapenda wayaonyesha kwa mbali?

  Symbian ina emulator ya android na palm os naweza play hizo game kwenye symbian yangu ehe na wewe mwenye android yako ambayo kila kitu cha kununua utaplay kipi cha symbian? Dah hela ya daladala yanpiga chenga kama so vya bure vya symbian nsingekua hapa. Mechoka kuona mapicha
   
 20. e

  erickmalz Senior Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Mbona lugha kwenye link ya kudownloadia ulotoa inachanganya,kama sielew hivi
   
Loading...