Tumfundishe siasa Humphrey Polepole: Watumishi nchini, mpuuzeni huyu kijana na CCM yake

polepole ni shider sana! amelewa na kujiona ni kila kitu ktk nchi hii..

halafu huyo ni msemaji tu, hana authority ya kutoa amri yoyote, labda kama katumwa afanye hivyo.
 
polepole ni shider sana! amelewa na kujiona ni kila kitu ktk nchi hii..

halafu huyo ni msemaji tu, hana authority ya kutoa amri yoyote, labda kama katumwa afanye hivyo.
Ukiona kifaranga kipo juu ya meza tambua mama kifaranga yupo chini ya meza
 
Huyu pole pole ni mgonjwa wa Akili hayuko sawa Hii anatufunulia yaliofichwa katika utawala huu kua mambo yote tunayofanyiwa watumishi wa umma ikiwa ni pamoja na kutoongezewa mishahara ni chuki ya ccm
Hakuna mtu nisiyemuamini kama polepole, uliuponda na kuupinga ukuu wa wilaya wakati wa katiba mpya, lakini alipoteuliwa tu akawa akanyamaza
 
Mkuu;
Hii elimu ungeanza kwanza kumpa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani, Sumaye ambaye alituambia kuwa tukitaka mambo yetu yanyoke lazima kwanza tujiunge CCM.

Inawezekana Polepole amepata hoja zake kutoka kwa Sumaye!

Kwa kukuelisha zaidi nadhani unashindwa kuelewa kuwa chama tawala ndicho kimeiweka serikali madarakani kupitia kura za wananchi wengi.

Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Uwezekano wa kumfukuza Rais na serikali yake ni mkubwa ndani ya chama kuliko bunge pale anaposhindwa kutekeleza ilani ya chama kama ambavyo chama kilipewa ridhaa na watanzania wengi.

Mfanyakazi wa serikali lazima atekeleze sera za chama tawala hata kama hazipendi. Kutokutekeleza sera za chama tawala ni sababu tosha ya kufukuzwa kazi kwa sababu atakuwa amevunja mkataba wake.

Kwa mfano, Serikali ikija na sera ya matibabu bure katika hospitali za serikali halafu kukatokea daktari wa hospitali hizo na kuanza kutoza pesa, huyo daktari atakuwa anavunja sheria na anaweza kufukuzwa kazini.

Kumbuka sera hutungiwa sheria na kanuni ili zitumike kisheria.

Kumbuka wakuu wa wafanyakazi serikalini ni wateuliwa wa Rais,
Kuwa mwanaCCM na kutekeleza sera za CCM kwa mfanyakazi wa serikali ni mambo mawili tofauti, umeanzisha hoja nyingine ukidanganya kuwa unajibu hoja ya Yerico!
 
Hivi kuna uwezekano umri uka reverse? Tangu lini Chakubanga amekuwa Kijana,, YN rekebisha tittle yako
 
Polepole anafikiri CCM ikifa na serikali imekufa. Hajui kuwa CCM ikifa ndio nchi kwa maana ya serikali itafanya vizuri zaidi. kwa ujumla chama cha siasa hujibanza tu ndani ya serikali. Serikali ina uwezo wa kujiendesha yenyewe bila hata ya chama cha siasa kama CCM. Serikali ni mahakimu, walimu, madaktari, wahadhiri/maprofesa, majeshi na wataalamu mbalimbali ambao huajiriwa na serikali na siyo Chama. Kwa hiyo polepole na chama chake hata wakitoweka serikali itakuwepo tu.
 
Yericko Nyerere mdogo wangu hebu liweke hili bandiko lako kwa mfumo wa PDF ili tu-print na kulibandika kila mahali watu wajisomee! Pole pole ni nyoko sana!
 
Attachments

  • Siasa ni itikad(1).pdf
    210.2 KB · Views: 36
anazeeka vibaya jamani mvumilieni tu..
kuwa young-old man sio mchezo mjue!
 
Sijui wanawafanya nini huko jamani, hivi mbona mtu akiingia CCM anakuwa kitu cha ajabu!!
 
Mkuu;
Hii elimu ungeanza kwanza kumpa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani, Sumaye ambaye alituambia kuwa tukitaka mambo yetu yanyoke lazima kwanza tujiunge CCM.

Inawezekana Polepole amepata hoja zake kutoka kwa Sumaye!

Kwa kukuelisha zaidi nadhani unashindwa kuelewa kuwa chama tawala ndicho kimeiweka serikali madarakani kupitia kura za wananchi wengi.

Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Uwezekano wa kumfukuza Rais na serikali yake ni mkubwa ndani ya chama kuliko bunge pale anaposhindwa kutekeleza ilani ya chama kama ambavyo chama kilipewa ridhaa na watanzania wengi.

Mfanyakazi wa serikali lazima atekeleze sera za chama tawala hata kama hazipendi. Kutokutekeleza sera za chama tawala ni sababu tosha ya kufukuzwa kazi kwa sababu atakuwa amevunja mkataba wake.

Kwa mfano, Serikali ikija na sera ya matibabu bure katika hospitali za serikali halafu kukatokea daktari wa hospitali hizo na kuanza kutoza pesa, huyo daktari atakuwa anavunja sheria na anaweza kufukuzwa kazini.

Kumbuka sera hutungiwa sheria na kanuni ili zitumike kisheria.

Kumbuka wakuu wa wafanyakazi serikalini ni wateuliwa wa Rais,

Trump hajakosea.. alikuwa anamaanisha majitu kama wewe..
 
Back
Top Bottom