Haujui hayo masuala unamjua balozi wa Ethiopian Tanzania uliza alivyokuwa airwing watakuelezaKwa iyo brigedia mbuge huwa anakaa lindo....
Tafuta wajinga wenzio uwaambie huu ujinga maku wewe
Huyu jamaa afanye ziara ya kushtukiza Tanzania.
Ndugai kama nakiona kikipigwa mbata ya kwenye kipara kolabo na makonzi kama 6 hivi, mixa na mabanzi heavy duty yale ya haraka haraka kama 10 na hilo pande la mtu. Halafu kifuatiwe kupigwa na bonge la mtama mamamaqe.
Akitaka kuamka toka chini anakutana na banzi jingine anarudi alipotoka chini.
Mseveni hata akiwa amelala ana hakikisha aka47 iko kiunoniHATARI sana
Kwasasa hamuamini Mtu tena
,Fred wetu yeye yako bizeee na akina hamisaaKutoka ufredi vunjabei wa huko mpka kuwa mwanamapinduzi duh
Au kupangiwa zamu za kufagia. Kama alivyo wafanyia ally hapi kule musoma.Africa magharibi kule kuna wanajeshi bro, sio hawa wa kwetu kila siku unasikia kajinyonga kwa ajili ya mapenzi, au wanasubiri ukuu wa mkoa\wilaya/ukurugenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtasema yote,
Ila ukweli utabaki pale pale, ALPHA CONDE hasafishiki
Mwambie namsalimiaLt. Colonel Mamadou Doumbouya akisoma comments zenuView attachment 1925625
Kikosi maalum Cha makomando kinachoongozwa na KAMANDA MAMADOU DOUMBOUYA.
Hii ni saa chache baada ya mapinduziView attachment 1925634
Kwenye 40s
kapinduliwa kiboya sanaaaAna uraia pacha Guinea na Ufaransa.
Majajusi wa ufaransa walimtonya kuwa Konde ana mpango wa kumkamata.
Wakampa mpango wa kumpindua Konde.
Jumapili Doumbouya alimtaarifu rais kuwa kuna vikosi nje kidogo ya jiji vinataka kuasi.
Akamuomba rais aondoke na makomandoo kadhaa kwenda kutuliza uasi, rais akakubali.
Walienda huko nje ya jiji na kukaa masaa machache na kugeuza maana hapakuwa na uasi wowote.
Wakati wa kurudi alimpigia rais simu kwamba ameshatuliza uasi anaomba kuja ikulu kumpa ripoti kamili, rais akakubali.
Walipofika geti la ikulu waliruhusiwa kuingia maana rais alikuwa na taarifa nao.
Ghafla wakaanza kuwashambulia walinzi wa rais na kuwataka waweke silaha chini.
Wakamkamata Konde na kumwambia wewe sio rais tena.
Bado ameshikwa na butwaa mpaka leo.