Tumezika utaifa?

Hume

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
340
106
Ngoja nianze kwa swali,
Msisitizo wa utaifa na kubebeshwa bendera ya Tanzania ni pindi Taifa Stars inapocheza tu?

Majuzi raisi Kikwete akiwa Uganda alifanya mazungumzo na wanafunzi kwenye chuo kikuu cha kimataifa cha kampala KIU.

Kilichonishangaza ni kuona hakuna bendera hata moja ya Tanzania iliyoonekana zaidi ya Tshirt za Kikwete na CCM, infact hali hiyo ilinishangaza sana na kunisikitisha, CCM mbele utaifa nyuma?

Mkutano wenyewe ungedhani tuko kwenye kampeni ya uraisi, Hivi kampeni hazijaisha?
Rais ameenda kuhudhuria Chogum, badala yake anakuwa mwakilishi wa CCM huko hadi lini hali hii?
 
Labda alikuwa anawakilisha CCM, kwani si mwenyekiti? I believe CCM are playing stupid politics which will cost nation as whole.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom