Tumezaliwa baba mmoja ila hakuna upendo kati yetu. Baba anaumia, tufanyeje?

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
Tumekutana kwa baba hatupendani kila watu wanaishi kivyao. Sisi tuko wanne mama mmoja baba mmoja tunapendana wao wako wawili kwa mama yao ila inatokea tunachukiana tu ila baba anaumia sana kwa maisha tunayoishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekutana kwa baba hatupendani kila watu wanaishi kivyao.sisi tuko wanne mama mmoja baba mmoja tunapendana wao wako wawili kwa mama yao.ila inatokea tunachukiana tu ila baba anaumia sana kwa maisha tunayoishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkikua na kuanza kujitegemea hizo chuki za kimaskini zitaondoka.

Chuki zenu kwa kiasi kikubwa zinatokana na umaskini either wa mali au upendo.

Acha kukaa kihasara hasara
 
Mmekutana kwa baba yenu na mnashinda sebleni mtapendana vipi, hapo ukute chanzo cha ugomvi ni rimoti tu au msosi.... wewe uliyefikia kuanzisha uzi umekua saidia kufundisha wadogo zako.

Ni mama yupi aliyepo hapo au wote..?
 
Mungu aniepushe kuwa na Mwanamke zaidi ya mmoja, nikioa huyo mmoja basi ili niweze epuka mambo kama haya,ni familia nyingi tu hukutana na haya mambo. Jitaidi kama kuna vitu vya kufanya hapo home muwe mnashirikiana hapo kidogo itapunguza hiyo hali.
 
Tumekutana kwa baba hatupendani kila watu wanaishi kivyao. Sisi tuko wanne mama mmoja baba mmoja tunapendana wao wako wawili kwa mama yao ila inatokea tunachukiana tu ila baba anaumia sana kwa maisha tunayoishi

Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ambaye umetambua hilo ndio wakuanza kuonyesha upendo kwa ndugu zako anza sasa tena bila kuchoka kuwajulia hali kuwatembelea kuwasaidia km. unauwezo.kuwaalika kwako kuwapa zawadi za mara kwa mara wtt wao fanya hilo zoez ingalau kwa mwaka mmoja kisha rudi kutuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom