Tumeyashinda mabepari, tumeyashinda mabeberu, tumewashinda vibaraka wao Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Robert Amstaderm

Hawa mabeberu ndiyo walitupatua nchi mwaka 1961... Na bado tunaendelea kupata misaada kutoka kwao... Walijenga reli ya kati, bandari ya Daslamu, Tanga, n.k....

Na bado tutaendelea kuwahitaji hawa watu....
 
TUMEYASHINDA MABEPARI,TUMEYASHINDA MABEBERU,TUMEWASHINDA VIBARAKA WAO TINDU LISSU,ZITTO KABWE NA ROBERT AMSTADERM.

Leo 09:30hrs 01/11/2020

Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi wa asilimia 84.5% umerudisha heshima kwa Wapigania Uhuru wote waliopambana kuleta Uhuru mwaka 1961,Ushindi wa CCM umerudisha heshima kwa Wazalendo wote popote walipo ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania,Ushindi wa CCM umerudisha heshima kwa Mkwawa Mkwavinjika Mwamuyinga wa Iringa,CCM imerudisha heshima kwa Mtemi Isike wa Tabora,CCM imerudisha heshima kwa Chief Rumanyika wa Karagwe,CCM imerudisha heshima kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Baba wa Taifa la Tanzania,

CCM imerudisha heshima kwa Kinjekitile Ngware,CCM imerudisha heshima kwa Chief Machemba wa Wayao,CCM imerudisha heshima kwa Chief Mangi Meli wa Moshi,CCM imerudisha heshima kwa Chief Mangi Sina wa Kibosho,CCM imerudisha heshima kwa Abushiri bin Salim na Bwana Heri wa Pwani,CCM imerudisha heshima kwa Chief King'alung'alu wa Morogoro,CCM imerudisha heshima kwa Chief Kisebengo na Chief Msumi waliomkamata Jasusi Henry Morton Stanley katika safu za Milima ya Uluguru,CCM imerudisha heshima kwa Hassan bin Omary Makunganya wa Kilwa,

Tumewashinda tena mabepari,tumewashinda tena Mabeberu,tumewashinda tena vibaraka wa Wazungu,Tindu Lissu,Zito Kabwela,na Robert Amstaderm,Chifu Mandara wa Kilimanjaro,Chifu Marealle wa Marangu,tumemshinda tena Karl Peter's mkono wa damu,tumemshinda tena juhlke,pfeil na Otto awa ndio wakoloni walioingia "bogus treaties" na machifu mfano wa Tindu Lissu na Zitto Kabwela,awa ndio waliomdanganya na kumpa maagizo mkalimani maarufu wa wakati huo Bwana Ramazan aende kwa Chifu Mangungo wa Msovero akamdanganye awape ardhi akina Karl Peter's, mkalimani huyo maarufu Bwana Ramazan ni mfano mzuri sana wa Mwanasheria maarufu Tindu Lissu,na Chifu Mangungo wa Msovero ni mfano mzuri sana wa kibaraka, Zitto Kabwe,

Hakuna Mtanzania yeyote anaeweza kuchagua mbunge kama Zitto Kabwe au Rais kama Tindu Lissu mzungu wa Ubelgiji mwenye damu mbili ya Kenya na Ubelgiji, ambao wanatumia hela za Ubunge kwenda Ulaya kushauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote,hakuna Mtanzania aneyeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.

Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimali za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchi, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea,Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo.

Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona,Hakuna Mtanzania anaeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.

Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu,Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwasababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.

Ndugu zangu Watanzania,awa mabepari,Mabeberu na vibaraka wao ni watu wabaya sana,hivi hamjiulizi kwa nini hatutengenezi hela sisi wenyewe Watanzania ilihali hela ni makaratasi tu yanayotengenezwa na Mabeberu kisha yanapewa thamani halafu tunapewa sisi,kwa nini ile hela mfano 10,000 isipakwe dhahabu yenye thamani ya shilingi 10,000 hawawezi kufanya hivyo maana wanajua sisi Waafrika dhahabu tunazo nyingi na kama tungetengeneza hela kwa kipimo cha kupaka dhahabu kwenye noti basi Waafrika tungekuwa bara tajiri sana kifedha,ila hawataki tufanye hivyo wametujaza ujinga tu kutengenezea makaratasi na kutuambia hii ni shilingi 10,000 wakati ni karatasi tu lisilo na thamani yoyote,Nizungumzie pia Viwanda,je mmesahau Mabeberu na structure adjustment walilazimisha tuviuze Viwanda vyetu kwa watu binafsi? Mmesahau mwanzilishi wa Chadema alivyokuwa kibaraka wa IMF wakamtuma aje afrika atulazimishe mishahara na huduma za afya tupewe kwa mikopo tuje tulipe baadae? Hapo hapo wakapiga vikwazo Watanzania tusiwe na viwanda,tuwategemee wao tu wazalishe bidhaa halafu waje watuuzie,

Viwanda vyetu vilianza kupigwa vita na Mabeberu kuanzia 1978 baada ya vita vya Uganda, kutokana na ukosefu wa vipuli, kwa sababu waingereza walipiga marufuku sisi kuuziwa vipuli kutokana na siasa ya Tanzania kuipigania Uhuru Rhodesia hivi sasa Zimbabwe, kwahiyo IMF Katika kutaka kutupa mkopo yakawekwa masharti magumu huku Tanzania, ikayakataa ndio baadhi ya wanunuzi wa mali ghafi zetu wakatupa mgongo ili hali tusiweze kuvirudisha viwanda katika uzalishaji miaka ya 1981 Tanzania ikajaribu tena kuomba mkopo,wakatupa mkopo wa masharti ya kinyonyaji,Mwalimu Julius Nyerere hakukubali masharti yao ndio viwanda vyetu vikawa havizalishi sana kutokana na kukosekana kwa vipuli na ndio maana walivyolazimisha tena tufungulie bidhaa za nje zije ndio ukawa mwisho wa vile viwanda sasa leo Dar shirt jipya linauzwa elfu 50,000 hadi 100,000 kweli huoni kuwa ni janga hili,kisa tu hatuna Viwanda vyetu vya kutengeneza mashirt,

Sasa sera ya CCM ni Tanzania ya Viwanda,Chama Cha Mapinduzi kinachoshikiria dola hakiwezi kufurahia tukiendelea kununua bidhaa za nje,wakati tunaweza kujenga Viwanda,Bwawa la Umeme la Julius Nyerere,Wilayani Rufiji tayari tunalo,lazima tujenge Viwanda tuzalishe bidhaa na tutengeneze ajira,hatuwezi kuona vijana ambao ndio nguvu ya taifa wawe mitaani bila kazi,CCM imeshinda tena kwa asilimia 84.5% ili kuleta Viwanda, kutengeneza bidhaa toka viwandani kwa ajili ya biashara na kutengeneza ajira toka Viwandani,

Akili za Mabepari na Mabeberu anakulazimisha uuze pamba yako senti hamsini kwa kilo anaenda kutengeneza shati anakuuzia elfu hamsini,ukimwambia mbona unanidhulumu hii Malighafi yangu unataka kuinunua kwa bei ndogo,anakujibu wewe ni mjinga,awa ndio mabepari na Mabeberu ambao Tindu Lissu na Zitto Kabwe wanawataka waje watutawale tena,Sasa CCM itajenga Viwanda bila kuweka rehani Madini yetu,Tundu Lissu alitaka ajenge Viwanda kwa kuibadilisha Madini yetu kuwapa wazungu nao watupe hela,CCM inasema hapana,hela ipo,CCM itajenga Viwanda vyetu,tutashona mashati yetu,ili tuwawezeshe Wakulima wanaozalisha Malighafi,Tumemchagua tena Ndugu John Pombe Magufuli kwa Ujenzi wa Viwanda na kujikomboa kiuchumi,Je Watanzania Milioni 60 kila mtu anashindwa kununua kilo 1 ya korosho kila Mwaka kwa shilingi 20,000 ili kuwabariki na kuwanyanyua Wakulima wetu wa Korosho!? Tuache dhana ya utegemezi wa Mabeberu kwani wao hawana urafiki wala undugu na sisi,kuwa Mzalendo nunua kilichotengenezwa Tanzania ili kuinua Uchumi wa Tanzania,

Nimalizie kwa nukuu ya Sankara iende kwa Tundu Lissu na Zitto Kabwe,"When you sell your comrades, your revolutionary organizations and your people to white suprimist even your buyer won't trust You, always remember that you are selling out the future of your children and the generation to come therefore stop selling your own,oneday you'll need them".Tanzania tulimng'oa mkoloni na tukasaidia bara zima la Afrika kumng'oa mkoloni,na Tanu na Asp ambazo zimekizaa Chama Cha Mapinduzi ina historia ya kusafirisha Mabeberu barani Africa,na hivi leo CCM imeenzi wazazi wake Tanu na Asp kwa kuwashinda tena mabepari,Mabeberu waliotaka kurudishwa tena na Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Ujinga umekuzidi.
 
Saddam Hussein, Moamar Ghadaffi - hawa wote wakiwa nchini kwao ambapo pia walikuwa na MIGUVU ya kutisha, WOTE waliishia KUJICHIMBIA CHINI SHIMONI wakiwa wamajificha. Mbabe wao, na kwa bahati mbaya sana sana, NGUVU ZA NCHI ZA NORTH ATLANTIC!

Ya Mugabe je?

Sometimes you might have to pursue a different trajectory when you fail to BEAT them. SUICIDE is not one of those options.
Tumia akili, kukaribisha mila na desturi za nje zisizo kua za kwetu zinaitwa demokrasia nibkujichimbia kaburi

Kigezo cha demokrasia ndicho kilicho iharibu Libya na leo hii wanajuta kisha yule aliyewahubiria neno demokrasia kakaa pembeni anawatazama wakizama kwenye bahari wakiwa wanakimbia aridhi yao kuwafuata wao huko ulaya

CCM na mapungufu yake kadhaa lakini ndiyo bado ni chama chenye watu wanaoweza kuongoza nchi kwa weredi mkubwa na kusababisha amani kwa wananchi

Tundu Lisu alitumwa na sasa amerudi kulipwa mshahara wa walicho mtuma huku wakimsuka tena kwa baadae kama watafanikiwa,wao wana pesa nyingi zisizo na kazi watamuweka na kumlea kwa malengo na hata wakimsaidia akachukua nchi siku moja kama alivyokua Ghadafi baada ya kuona nia yao mbaya aliwageuka na uchungu wa waafrika wenzie ukamuingia akawagomea kuchukua mali za waLibya wakapanga njama za neno demokrasia na wakamuu Ghadafi

Hiyo ndiyo mbinu inayotumika kwa Tundu Lisu na ninaamini WATAKWAMA.
 
Ujamaa na Kujitegemea ndani ya Uhuru, Umoja na sasa Haki ndo walioyaona WAASISI wa nchi yetu. Now, bado hatujitegemei na dalili za upuuzi za tawala MBOFUMBOFU bila checks n balances haambiwi KIZIWI atazame!

Yote haya toka enzi zile na sasa dunia hii ilipo. Wengine walijipanga tangu 1492 AD na yatokanayo. Kwetu sisi ukipata nafasi ya usafiri wa MV LIEMBA utabaini vijiji utakavyoviona kando ya ziwa viko vilevile tangu zama zilee. Muendelezo wa noble savagery, poverty? Iko dynamics za maingiliano ya kiutamaduni na ndani yake "inevitables" zimo.

Kwamba TAL ni KIBARAKA na sio vinginevyo basi tupe VIELELEZO na sio simulizi za kina WAMIREMBE.
Kama haujui uzito wa kosa la KIHAINI tafuta maana yake. TAL asingekanyaga TZ bila kukamatwa. High treason?

Mwishoni, nakuuliza wewe ni tangu lini MTAZAMO tofauti na "status quo" ukawa ni KOSA?
 
Ndugu yangu,

Nina maswali machache tu:
1. Hao mabeberu ni kina nani? Au tutawatambuaje kuwa hawa ni mabeberu?
2. Wanawatumia "upinzani" kufanya nini? Ili iweje?
3. Kwa nini serikali iruhusu mwenye uraia wa nchi nyingine agombee, tena urais, nchini kwetu?

1. Mabeberu ni wakoloni mamboleo - kwa maana ya kutawala kiuchumi.

2. Wanatumia upinzani kupitia kinachoitwa demokrasia ya vyama vingi kumbe ni kanuni ya "wagawe watawalike" (Divide and Rule principle).

3. Hekima ilitumika kuepusha vurugu zisizo na tija nchini na hata huyo kibaraka kaingia na kurudi alikotoka pasipo kughasiwa.
 
Nashukuru kwa kunijibu ndugu.

1. Hao wakoloni mambo leo ni kikundi cha watu? Ni sekta fulani? Au ni serikali za nchi fulani ambazo zinawawakilishi nchini mwetu, tunaowaita washirika wa maendeleo? Nina jaribu kupata mantiki ya matumizi ya jina hili la mabeberu ukilinganisha na majina kama nchi washirika au marafiki wa maendeleo. Mpaka sasa ninaona jina hili la 'mabeberu' huibuka ikiwa wawakilishi/wananchi wa nchi za Ulaya au Marekani wakitoa ushauri, wakishirikisha vyama vya upinzani, au wakitetea wanaharakati; ilihali hao hao huitwa "wadau wa maendeleo" au "washirika wa maendeleo" wakitoa misaada, mikopo au kupongeza serikali. Hapa ndipo ninapopata mkanganyiko.

2. Kwa hiyo unamaanisha kuwa utawala chini ya chama kimoja ndio bora kuliko vyama vingi? Tumeanza demokrasia ya vyama vingi Tanzania miaka ya '90, na kabla ya hapo tulikuwa na utawala wa chama kimoja. Kwa nini tulibadili Katiba kuruhusu demokrasia ya vyama vingi ikiwa chama kimoja kinatosha? Najaribu kuelewa wanatumiaje "wapinzani" kugawa nchi. Kivipi? Kwamba wapinzani wakiongea watu watagoma kutoa kodi? Kwamba miundo mbinu haitajengwa? Au watu wakitoa mawazo mbadala serikali haitaweza kuendesha nchi na hivyo "mabeberu watafaidika"?

3. Ni vizuri kama Serikali inatumia hekima ila kama kuna ushahidi kuwa Lissu ana uraia wa nchi nyingine, kwa nini huu ushahidi usiwekwe wazi? Unaposema kuwa hakughasiwa tangu aliporudi, mpaka alipoondoka una maanisha kuna namna nyingine alitakiwa afanyiwe? Maana inatakiwa iwe kawida kuwa mtanzania akirudi nchini kwake aendelee na shughuli zake bila kughasiwa kwa mujibu wa sheria. Ikiwa amevunja sheria basi afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa mujibu wa sheria. Nadhani pia hata kukamatwa nje ya Umoja House haikuwa kughasiwa.

Muhimu kujiuliza ni kuwa ikiwa kiatu kikivaliwa mguu mwingine, kitaenea kwa namna ile ile?
 
TUMEYASHINDA MABEPARI,TUMEYASHINDA MABEBERU,TUMEWASHINDA VIBARAKA WAO TINDU LISSU,ZITTO KABWE NA ROBERT AMSTADERM.

Leo 09:30hrs 01/11/2020

Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi wa asilimia 84.5% umerudisha heshima kwa Wapigania Uhuru wote waliopambana kuleta Uhuru mwaka 1961,Ushindi wa CCM umerudisha heshima kwa Wazalendo wote popote walipo ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania,Ushindi wa CCM umerudisha heshima kwa Mkwawa Mkwavinjika Mwamuyinga wa Iringa,CCM imerudisha heshima kwa Mtemi Isike wa Tabora,CCM imerudisha heshima kwa Chief Rumanyika wa Karagwe,CCM imerudisha heshima kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Baba wa Taifa la Tanzania,

CCM imerudisha heshima kwa Kinjekitile Ngware,CCM imerudisha heshima kwa Chief Machemba wa Wayao,CCM imerudisha heshima kwa Chief Mangi Meli wa Moshi,CCM imerudisha heshima kwa Chief Mangi Sina wa Kibosho,CCM imerudisha heshima kwa Abushiri bin Salim na Bwana Heri wa Pwani,CCM imerudisha heshima kwa Chief King'alung'alu wa Morogoro,CCM imerudisha heshima kwa Chief Kisebengo na Chief Msumi waliomkamata Jasusi Henry Morton Stanley katika safu za Milima ya Uluguru,CCM imerudisha heshima kwa Hassan bin Omary Makunganya wa Kilwa,

Tumewashinda tena mabepari,tumewashinda tena Mabeberu,tumewashinda tena vibaraka wa Wazungu,Tindu Lissu,Zito Kabwela,na Robert Amstaderm,Chifu Mandara wa Kilimanjaro,Chifu Marealle wa Marangu,tumemshinda tena Karl Peter's mkono wa damu,tumemshinda tena juhlke,pfeil na Otto awa ndio wakoloni walioingia "bogus treaties" na machifu mfano wa Tindu Lissu na Zitto Kabwela,awa ndio waliomdanganya na kumpa maagizo mkalimani maarufu wa wakati huo Bwana Ramazan aende kwa Chifu Mangungo wa Msovero akamdanganye awape ardhi akina Karl Peter's, mkalimani huyo maarufu Bwana Ramazan ni mfano mzuri sana wa Mwanasheria maarufu Tindu Lissu,na Chifu Mangungo wa Msovero ni mfano mzuri sana wa kibaraka, Zitto Kabwe,

Hakuna Mtanzania yeyote anaeweza kuchagua mbunge kama Zitto Kabwe au Rais kama Tindu Lissu mzungu wa Ubelgiji mwenye damu mbili ya Kenya na Ubelgiji, ambao wanatumia hela za Ubunge kwenda Ulaya kushauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote,hakuna Mtanzania aneyeweza kuchagua mbunge ambaye hadi leo anaamini Corona ipo na akili zake ni kufanya lockdown, nasema Watanzania hawako tayari kwa hilo kabisa.

Hakuna Mtanzania anayeweza kukipigia kura chama kilichojipambanua wazi kwamba kitaweka rehani rasilimali za nchi yetu kama mafuta, madini, gesi na mbuga ili kuweza kukopa fedha nje kwa ajili ya kuleta maendeleo hapa nchi, watu wanaogopa kuweka rehani nyumba zao sembuse mali za nchi, hii ni sera mbovu sana kuwahi kutokea,Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kukubali kukipigia chama kinachopanga kubinafsisha miradi ya kimkakati kama Bwawa la Umeme, SGR inayoendelea kujengwa na kuwapa watu binafsi ambao ni wao wenyewe, tumeshatoka huko na hatutaki kurudi tena kwenye ujinga huo.

Wananchi wanapenda viongozi wenye hofu ya Mungu sio wale viongozi wanaobeza kumtegemea Mungu kama Tundu Lissu alivyokuwa anajidai kutumia science ya kuiga kuthibiti Corona huku akikejeri wito wa maombi uliotolewa na Mheshimiwa Rais Magufuli, akidai Mungu yuko busy hawezi dili na upuuzi huo. Bado aliacha kuvaa barakoa pamoja na matusi yake yote na kukusanya watu bila kujali taratibu za kujikinga na Corona,Hakuna Mtanzania anaeweza kumchagua mbunge ambae anapinga na hana wazo la kuwajengea Wananchi Hospitali, Bandari, Meli, Barabara, Umeme, Maji, Kilimo, Shule bure, na mengine kama hayo, hakuna kabisa. Hivi wao wanaviita ni vitu na si maendeleo ya watu kwahiyo kwao havina maana wakati wananchi wanavitaka.

Kulikuwa kuna tofauti kubwa sana ya kuhubiri ilani, mgombea wa CCM alikuwa akifika sehemu anakuwa anayajua matatizo halisi ya eneo husika, kama ni maji, hospitali, uhitaji wa mji, mambo ya ardhi n.k na amekuwa akiyaongelea hayo matatizo halisi wakati Tundu Lissu ataanza kuongelea uhuru wakati wananchi wa eneo husika wanahitaji Hospital ama shule ama maji, ni ngumu kuchagulika ni ngumu sana. Tunawachagua wanaoyajua matatizo yetu halisi kabisa si matatizo yao kuyafanya ni ya kwetu,Mimi kutomchagua Lissu, Mbowe, Sugu, Msigwa ama Lema hakunisumbui chochote kwasababu kwanza hawana mahusiano mazuri na serikali, hawawezi kuongea na Rais kwa maana hiyo hawawezi lobby matatizo ya jimbo letu yatatuliwe, kwahiyo ntajisikia vizuri nikiwa na mbunge ambaye ana access na waziri husika na hata Rais inapobidi si mtu ambaye anapayuka na kubwabwaja bila mpango wowote, so napenda nipate mbunge mwenye mahusiano mazuri na viongozi wa serikali ili matatizo yetu yatatuliwe haraka.

Ndugu zangu Watanzania,awa mabepari,Mabeberu na vibaraka wao ni watu wabaya sana,hivi hamjiulizi kwa nini hatutengenezi hela sisi wenyewe Watanzania ilihali hela ni makaratasi tu yanayotengenezwa na Mabeberu kisha yanapewa thamani halafu tunapewa sisi,kwa nini ile hela mfano 10,000 isipakwe dhahabu yenye thamani ya shilingi 10,000 hawawezi kufanya hivyo maana wanajua sisi Waafrika dhahabu tunazo nyingi na kama tungetengeneza hela kwa kipimo cha kupaka dhahabu kwenye noti basi Waafrika tungekuwa bara tajiri sana kifedha,ila hawataki tufanye hivyo wametujaza ujinga tu kutengenezea makaratasi na kutuambia hii ni shilingi 10,000 wakati ni karatasi tu lisilo na thamani yoyote,Nizungumzie pia Viwanda,je mmesahau Mabeberu na structure adjustment walilazimisha tuviuze Viwanda vyetu kwa watu binafsi? Mmesahau mwanzilishi wa Chadema alivyokuwa kibaraka wa IMF wakamtuma aje afrika atulazimishe mishahara na huduma za afya tupewe kwa mikopo tuje tulipe baadae? Hapo hapo wakapiga vikwazo Watanzania tusiwe na viwanda,tuwategemee wao tu wazalishe bidhaa halafu waje watuuzie,

Viwanda vyetu vilianza kupigwa vita na Mabeberu kuanzia 1978 baada ya vita vya Uganda, kutokana na ukosefu wa vipuli, kwa sababu waingereza walipiga marufuku sisi kuuziwa vipuli kutokana na siasa ya Tanzania kuipigania Uhuru Rhodesia hivi sasa Zimbabwe, kwahiyo IMF Katika kutaka kutupa mkopo yakawekwa masharti magumu huku Tanzania, ikayakataa ndio baadhi ya wanunuzi wa mali ghafi zetu wakatupa mgongo ili hali tusiweze kuvirudisha viwanda katika uzalishaji miaka ya 1981 Tanzania ikajaribu tena kuomba mkopo,wakatupa mkopo wa masharti ya kinyonyaji,Mwalimu Julius Nyerere hakukubali masharti yao ndio viwanda vyetu vikawa havizalishi sana kutokana na kukosekana kwa vipuli na ndio maana walivyolazimisha tena tufungulie bidhaa za nje zije ndio ukawa mwisho wa vile viwanda sasa leo Dar shirt jipya linauzwa elfu 50,000 hadi 100,000 kweli huoni kuwa ni janga hili,kisa tu hatuna Viwanda vyetu vya kutengeneza mashirt,

Sasa sera ya CCM ni Tanzania ya Viwanda,Chama Cha Mapinduzi kinachoshikiria dola hakiwezi kufurahia tukiendelea kununua bidhaa za nje,wakati tunaweza kujenga Viwanda,Bwawa la Umeme la Julius Nyerere,Wilayani Rufiji tayari tunalo,lazima tujenge Viwanda tuzalishe bidhaa na tutengeneze ajira,hatuwezi kuona vijana ambao ndio nguvu ya taifa wawe mitaani bila kazi,CCM imeshinda tena kwa asilimia 84.5% ili kuleta Viwanda, kutengeneza bidhaa toka viwandani kwa ajili ya biashara na kutengeneza ajira toka Viwandani,

Akili za Mabepari na Mabeberu anakulazimisha uuze pamba yako senti hamsini kwa kilo anaenda kutengeneza shati anakuuzia elfu hamsini,ukimwambia mbona unanidhulumu hii Malighafi yangu unataka kuinunua kwa bei ndogo,anakujibu wewe ni mjinga,awa ndio mabepari na Mabeberu ambao Tindu Lissu na Zitto Kabwe wanawataka waje watutawale tena,Sasa CCM itajenga Viwanda bila kuweka rehani Madini yetu,Tundu Lissu alitaka ajenge Viwanda kwa kuibadilisha Madini yetu kuwapa wazungu nao watupe hela,CCM inasema hapana,hela ipo,CCM itajenga Viwanda vyetu,tutashona mashati yetu,ili tuwawezeshe Wakulima wanaozalisha Malighafi,Tumemchagua tena Ndugu John Pombe Magufuli kwa Ujenzi wa Viwanda na kujikomboa kiuchumi,Je Watanzania Milioni 60 kila mtu anashindwa kununua kilo 1 ya korosho kila Mwaka kwa shilingi 20,000 ili kuwabariki na kuwanyanyua Wakulima wetu wa Korosho!? Tuache dhana ya utegemezi wa Mabeberu kwani wao hawana urafiki wala undugu na sisi,kuwa Mzalendo nunua kilichotengenezwa Tanzania ili kuinua Uchumi wa Tanzania,

Nimalizie kwa nukuu ya Sankara iende kwa Tundu Lissu na Zitto Kabwe,"When you sell your comrades, your revolutionary organizations and your people to white suprimist even your buyer won't trust You, always remember that you are selling out the future of your children and the generation to come therefore stop selling your own,oneday you'll need them".Tanzania tulimng'oa mkoloni na tukasaidia bara zima la Afrika kumng'oa mkoloni,na Tanu na Asp ambazo zimekizaa Chama Cha Mapinduzi ina historia ya kusafirisha Mabeberu barani Africa,na hivi leo CCM imeenzi wazazi wake Tanu na Asp kwa kuwashinda tena mabepari,Mabeberu waliotaka kurudishwa tena na Tundu Lissu na Zitto Kabwe.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Ushindi mkubwa, mzuri sana na wa kishido kikuuu uliokosa mawakala wa vyama washindani, hakika ni ushindi mwema na wa aina yake aka kihistoria tangu Tanaganyika iwepo. Viva my democratic TZ
 
What a shame
1605082586048.png
 
Kushindwa Kwa mandamano kimewafanya wote waliokuwa Wana shadadia Hilo kuonekana wote ni majike

Matamanio yenu sasa mfanyiwe na hao mabwana zenu, then nyie mjiite mashujaa!!

Kumbe wote ninyi ni mabolingo tu na huyo aliyetumwa na Mabeberu, kila upumbavu mtakaouunda juu ya TANZANIA utashindwa kama anavyoshindwa shetani ndugu yenu anayetamani damu ya Watanzania!!
Shetani huja kwa sura mbalimbali za wanadamu. Tuliishamsikia MAMA s akitamba kuhusu umahili wa wauwaji wao.
 
Umejazwa kasumba umepumbazwa,mara mabeberu mara wadau wa maendeleo!Nilichoona labda unaweza kukariri kama mtoto ametumwa dukani,anaimba njiani,''unga robo na chenji irudi!''
 
Back
Top Bottom