Tumeweza, tunaweza na tunaendelea kusonga mbele!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Hiyo ni kauli mbiu ya miaka 50 ya uhuru Tz. Sijajua kama kuna ukweli. We unaonaje?
 
wamethubutu kweli wameweza kweli na wanasonga mbele kweli=
kuiba mali ya umma kunahitaji uthubutu,na kuhifadhi katika benk za nje ambazo haziaminiki wakati wowote zinaweza kurudisha kwa wahusika nako kunahitaji uwezo na akili ya kiuenda wazimu,na kusonga mbele kuiendea lupango baada ya wenye mali kushtuka na kudai mali yao.
 
lakini pia inashangaza kumwona mtanzania akiisapoti kauli kama hiyo wakati ni wizi mtupu.
 
Tumethubutu, tumeweza, na tunasonga mbele kuliangamiza taifa.
NIlikuwepo Dodoma kwenye sherehe za kitaifa na gharama ni kubwa sana sana kuliko ungefiria.
Hayo maneno wanayo tumia tosha inaonesha ubungufu wa kujiamini
 
NIlikuwepo Dodoma kwenye sherehe za kitaifa na gharama ni kubwa sana sana kuliko ungefiria.
Hayo maneno wanayo tumia tosha inaonesha ubungufu wa kujiamini

Hivi kwanini hawakujenga hata kabarabara na Km 10 tu angalau kawe ukumbusho? Vipaumbele vyetu ni noma..
 
Back
Top Bottom