ludewakwetu
New Member
- Apr 11, 2016
- 3
- 3
Tunatafuta umaarufu au tupo kutetea taifa?
Je dawa wa uonevu ni kujiziba midomo? Je nichuki binafsi zidi ya huyu mwanamama mbobezi katika sheria au tumeishiwa hoja? je haki za binadamu hazipo kumlinda huyu mama kwa kudharauliwa kila siku na wajiitao wawakilishi wa wanainchi?
UWT wapo kimya kwa juu ya udharirishaji afanyiwao huyu mama kwanini? Je wao ni bora kuliko wangine hadi watakayo wao ndio yafuatwe? Kauli zao zinaonyesha wametumwa kama kweli ndiyo wametumwa na nani wanainchi au la?
Kauli zao siku zote huziita ndimi mbili kwanini wanakosaga msimamo wa jambo wanaloliamini isipokuwa zidi ya huyu mama? Je wapo na mawazo mbadala au wanavizia matukio ndipo wapate hoja?
Tatizo ni kuonekana ktk runinga au nini kimejificha? Wanaharakati wanaona sahihi huyu mama kunyimwa haki ya uongozi mbona wapo kimya? Je hoja ilikuwa ni wanafuzi au ndio mwendelezo wa matukio wanayoyasubiliaga ili wapape sema? Kusara ni nini maana yake kwa watu hawa???