Tumevamiwa na askari polisi kwenye ukumbi wa semina ya kuwajengea uwezo Bawacha kanda ya Serengeti

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Tumevamiwa na askari polisi kwenye ukumbi wa semina ya kuwajengea uwezo Bawacha kanda ya Serengeti

1152550

1152551

1152571

1152855

1152857
 
Huwa wanajidanganya na kumdanganya Magufuli kuwa anakubalika mpaka cdm imekufa, wanapoona tofauti inabidi watumie mabomu kuficha ukweli. Jambo ambalo hawafahamu hiyo cdm imeshakubalika na haiwezi kufa kwa ushindani wa kisiasa, labda waifute, na hata wakiifuta haimaanishi wao ccm ndio watakubalika. Ile video ya jana huko Tunduma imewanyima raha sana.
 
Wasilojua ni kuwa kuna wanachama wengi wa ccm wanamiliki kadi kwa sababu za kimaslahi lakini ni wa Chadema kimoyo
 
Back
Top Bottom