Tumetoka kwa Dr Shika sasa tupo kwa Nabii Tito, Je tutafika?

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
7c1369f565996027c690d173eebb9470.jpg
. Kama ni kweli basi tutakaa sana wa tz
 
Mwingulu leo kapata sehemu.ya kiki saa tano asubuhi hata watu bado wamelala kakimbilia kwenye media mitandao fb kaita wahandishi wa habari kutafuta kiki lakini kwa ndungu yake wa karibu na mbunge mwenzake na ni majirani isitoshe wanaingiliana kabila lakini alikuwa BUBU hadi leo kupigwa risai kwa MhTUNDU LISSU shame on you

$wissme
 
hahhaha tukitoka hapo uchaguzi kinondoni na siha,miaka inasonga,wenzetu mara wametengeneza PC yao,mara wametengeneza reli ya trni ya umeme,mara hivyo satelite nk
 
Sisi tunahangaika na dawa za kukuza vibamia. Yaani wabongo tunawaza kumbato na kiki za kijinga.
 
Back
Top Bottom