Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

Hongera sana kwa uwezo wa kuvumilia vitimbi, matusi na udhalilishaji,
Huna haja ya kumsamehe na hujakosea popote, mtie adabu aliasichukulie wanawake poa na kuwa ni viumbe wa kunyanyaswa.
 
Hongera kwa kujitunza, dah karne hii kukutana na 30+ virgin nitakuacha tu kwa kweli. You are likely to pose more harm in the future, you seem naive..sorry for judging you!

Kaa chini na ex bf myamalize bwana. How does it feel kukumbuka ulimlipisha jamaa 10m aisee, hasira zikipungua utajisikia vibaya. Kwani hukumpenda pamoja na udhaifu wake, kwa nini leo mpishane kwenye corridor za court kwa ujinga huo..please, for his sake, soften your heart, be good to him!! Msamehe yaishe...
Ni mimi na wengine wachache tuliobakia mkuu.
 
Pamoja na maelezo yako yote lkn kuna mambo ya kuzingatia.

Mleta mada anaweza asiwe mkweli kwenye Maelezo yake kwakuwa ni ya upande mmoja.

Pili huyo mpenzi wake anawezakuwa namapenzi yakweli na alifanya vile kutikisa kiberiti.

Anatakiwa amsamehe na warudiane

Up to you ?
Why hasiwe mkweli ?
If someone say naenda na option 2 then ana boronga kule na kurudi back why on earth would one trust or support him ?

I for whatever reasons agreed with her, I hv seen it all and came across those types of guys who believe mwanamke ni just a substance !!

I enjoy love, and love making kwamba i can piga deki, fua nguo zake na serve bfast in bed just to prove otherwise....it is called romance...

Akisema no tunda its fine for me...lkn unaweza do the best mpaka yy akatoa bila hata kujua....lkn sio kumwambia eti aje afue nguo zako !!
 
Kuna ibada nilihudhuria, mchungaji alikuwa mama kutoka South Afirca, alisema kuwa maneno hayo niliyoweka kwenye sex immoral na kuongeza kuwa, unapofanya tendo la ndoa na mtu ambae si mume wako unakuwa umejifunga, sasa kama unabadilisha wanaume kila siku, unazidi kujifunga kila siku.

Ndiyo maana siku hizi wadada wanafunga na kuomba ili vifungo vifunguke wapate wachumba.
 
Kanisani kwenu wangapi wanafunga nakuomba ili waolewe na bado hawaolewi?
Actually none, infact half of them wameolewa na wengine wamechumbiwa. Na harusi ni kuanzia mwezi ujao.

(Yaani zinaongozana mpaka june)

Pole kwa kukariri.
 
Kuna ibada nilihudhuria, mchungaji alikuwa mama kutoka South Afirca, alisema kuwa maneno hayo niliyoweka kwenye sex immoral na kuongeza kuwa, unapofanya tendo la ndoa na mtu ambae si mume wako unakuwa umejifunga, sasa kama unabadilisha wanaume kila siku, unazidi kujifunga kila siku.

Ndiyo maana siku hizi wadada wanafunga na kuomba ili vifungo vifunguke wapate wachumba.
Ni hivi,

Lile ni tendo la ndoa, yaani ni special kwa wana ndoa.

Ni tendo ambalo linaonganisha zile nafsi mbili kuwa kitu kimoja
(mwili mmoja)

Na linapofanyika kwenye ndoa, ni kwamba kuna kuwa na protection kwenye ulimwengu wa roho na pia linakuwa ni Baraka.

Lakini linapofanyika nje ya ndoa au kabla ya ndoa, ule muumgamiko unakuwa ni haramu, na kitu haramu hakina baraka, hivyo mtu anakua anaiangamiza nafsi yake mwenyewe.

Mungu anatupenda sana, na hataki tupate shida. Ndio maana anatuonya sana kuhusiana na ushiriki wa hili tendo, watu wasiahiriki kabla ya ndoa.

Maana ule muunganiko unakua unawatesa, mtu anaweza asione yale mateso, lakini yakaja kumu affect baadae, na aaipoona kwake basi ile dhambi inaenda kuathiri watoto atakao kuja kuzaa.

Ndio pale mtu huzaa mtoto, anakuwa na tabia za ajabu ajabu tuu, mpaka wazazi wanajiuliza . Huyu hii tabia kaitoa wapi? Maana kwenye fAmilia hakuna

Kumbe ni matunda ya lile tendo na ule muunganiko mke au mume ambao aliufanya huko zamani.

Au unakuta mtumzima lakini maisha yake bado hajaseto, yupo yupo tuu.

Anaoa, anaacha. Au kuachika.

Just ilimradi tuu.

Au wadada, unakuta hawawezi kudumu kwenye uchumba au mahusiano, baada ya muda huvunjika etc.

Source inakua nguvu ya ile dhambi.

Vijana tujitunze!
 
Matatizo ujana ni tunda ambalo kila mtu anatako kuliangalia na kulionja. Ukifanikiwa mtihani huo basi wewe ni mshindi.
 
Matatizo ujana ni tunda ambalo kila mtu anatako kuliangalia na kulionja. Ukifanikiwa mtihani huo basi wewe ni mshindi.
Na njia ni moja yakuweza kushinda. Ni kukaa ndani ya Neno la Mungu, na Neno la Mungu ndani yangu basi.

Maana nje ya hapo, huwezi ushinda mwili na tamaa zake.
 
ww umeona kunakesi ya madai hapo kataja, mm sijasoma sheria ila kunavitu tuu unatakiwa uvielewe au ww umeona kunasehemu amesema alifungua kesi mbili ya jinai na ya madai. yeye kasema baada ya kutolewa hukumu ya eidha jamaa kulipa sh. 2 au kwenda jela miezi 6 na jamaa kalipa faini ndo kesi ya gharama zake za kuendesha kesi ya kwanza kaenda fungua na jamaa anatakiwa kulipa mil 10. ndo nmeuliza gharama zipi alitumia ktk criminal kesi. ficha ujinga wako
nadhani anatakiwa alipe iyo 10m for defamation.
 
Umeamua kumtesa huyo jamaa kwa kosa la kukupenda ila ni vyema ungemsamehe tuu maake huujui moyo wake ulidhurika kiasi gani kwa kukupenda..
Kama kukupenda kwake ndio kumepelekea mfikishane mahakamani hakika nakuambia unacheza na hisia za mwanaume na umeamua kumkomoa lakini amini hautabaki salama 'take it from me'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom