Tumeshindwa kwenda Mahakani, J3 twendeni #FreeMaxencemelo

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,405
2,000
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Watanzania tunakosa umoja, kila kundi linakaa kulalamika lenyewe. Hata kutokea mahakamani kwa wingi Ijumaa tumeshindwa... Ijumaa ilitakiwa iwe mafuriko ya watu mahakamani na hadi Sizonje apelekewe habari.

[HASHTAG]#Freemaxencemelo[/HASHTAG]

Nafikiri ni Kweli Mwenge ni uchawi na watanzania tumekuwa mazuzu.....it is Satan...
Viongozi wa dini wafanye maombi

Kuna masuala mengi yamepita kwa urahisi na ni ya kidhalimu.

-Mswada wa habari
-Mikopo ya wanafunzi
-FAO La Kujitoa
-Sheria ya mtandao
-Jamii forum Director (tumeshindwa kwenda mahakamani kwa wingi).

J3, Watanzania muhamasishane mwende mahakamani kwa wingi, OK? wangapi wanaafiki?

Viva JF

Aluta Continue
 
MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,405
2,000
Asanteni Mkwapa Kodi na Haki Sawa...Natumaini Wana JF na wasio Members watakuja kwa wingi

Maana wanafunzi walikosa mikopo tukanyamaza....uoga

FAO la KUJITOA - tukapoa japo tuna hasira

Sasa hii ndo nafasi pekee kujaa wengi sana ili Serikali ijue watu wana hasira

Nyie wanafunzi wa Vyuo Vikuu...njooni kwa wingi

Wazazi wa wanafunzi..mje

Wafanyakazi FAO la kujitoa mje kwa wingi

Wakulima kuzuiwa kuuza mazao nje ya nchi...mje kwa wingi

Kwa Pamoja tutaweza
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,253
2,000
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Watanzania tunakosa umoja, kila kundi linakaa kulalamika lenyewe. Hata kutokea mahakamani kwa wingi Ijumaa tumeshindwa... Ijumaa ilitakiwa iwe mafuriko ya watu mahakamani na hadi Sizonje apelekewe habari.

[HASHTAG]#Freemaxencemelo[/HASHTAG]

Nafikiri ni Kweli Mwenge ni uchawi na watanzania tumekuwa mazuzu.....it is Satan...
Viongozi wa dini wafanye maombi

Kuna masuala mengi yamepita kwa urahisi na ni ya kidhalimu.

-Mswada wa habari
-Mikopo ya wanafunzi
-FAO La Kujitoa
-Sheria ya mtandao
-Jamii forum Director (tumeshindwa kwenda mahakamani kwa wingi).

J3, Watanzania muhamasishane mwende mahakamani kwa wingi, OK? wangapi wanaafiki?

Viva JF

Aluta Continue
Sio watanzania hawa, wengi ni watu wa kujificha chimbani kwenye keypad za simu na kuandika kama kwamba ni mtu BOLD, hata wewe mleta uzi ni wale wale tu.
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
23,251
2,000
Haitasaidia, saana itaanzisha riot tuwaache mawakili wa jamii forum wafanye kazi yao.
 
Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,686
2,000
Jumatatu mmeshajuwa ni saa ngapi na process za kuingia zipoje pale??
 
Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,254
2,000
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Watanzania tunakosa umoja, kila kundi linakaa kulalamika lenyewe. Hata kutokea mahakamani kwa wingi Ijumaa tumeshindwa... Ijumaa ilitakiwa iwe mafuriko ya watu mahakamani na hadi Sizonje apelekewe habari.

[HASHTAG]#Freemaxencemelo[/HASHTAG]

Nafikiri ni Kweli Mwenge ni uchawi na watanzania tumekuwa mazuzu.....it is Satan...
Viongozi wa dini wafanye maombi

Kuna masuala mengi yamepita kwa urahisi na ni ya kidhalimu.

-Mswada wa habari
-Mikopo ya wanafunzi
-FAO La Kujitoa
-Sheria ya mtandao
-Jamii forum Director (tumeshindwa kwenda mahakamani kwa wingi).

J3, Watanzania muhamasishane mwende mahakamani kwa wingi, OK? wangapi wanaafiki?

Viva JF

Aluta Continue
Max ndio atatujua Jamii Forum Hodari tu kwenye Key Board. Toka basi kwenda kumsupport SUBUTUUUUU! Majina yenyewe Feki! Sasa wanaume wote wajitokeze siku ya Kesi ya Max!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom