Tumeshindwa kupata Mtoto wa tatu. Tatizo ni nini la nani?

Bila kuongea Wala kupunguza Daktari alisema tuko vizuri Sana,labda Kama Kuna mambo ya giza.
Kama wote mpo fresh hayo ni mabadiliko ya kimazingira tu..embu fanyeni karafuu kuwa chai yenu ndani miezi kadhaa mpate huyo mtoto
 
Mkuu ili tatzo hata kwangu ninalo
Mm na mke wangu tuna mtoto mmoja ambaye ana umri wa miaka 6 sas , Ila mke wangu ameshindwa kushika mimba kwa zaidi ya mwaka sas na amekuwa akiangaika kutafuta suluhu yeye kam yeye
Nasema yeye mana binafc niko sawa coz kuna kamchepuko kangu ka chuoni kalipata mimba miezi miwili iliyopita , japo mke wangu hajui kuhusu Ilo suala thus why mm najiona nipo sawa

Nadhani hii hali huwa inawatokea wanawake so kam mmepimwa na kuonekana mpo sawa bac hamtakiwi kupanic
Cha kuwashauri ni kujaribu kutumia dawa za mitishamba ambazo ukiwatafuta wazee wanazijua..
 
Mungu awajalie mpate hata zaidi ya hao mliopanga. Mie naomba uzima na afya tu hata 10 nafyatua tu kwakweli.
 
Huyo mkeo ka ni bonge Sana kushika mimba itakuwa ngumu, pia atafte dawa za asili za kihaya pia Kuna majani flani hivi ya asili mwanamke anachemsha anakunywa mimba inashika nimeona shuhuda za wanawake wengi
 
Huyo mkeo ka ni bonge Sana kushika mimba itakuwa ngumu, pia atafte dawa za asili za kihaya pia Kuna majani flani hivi ya asili mwanamke anachemsha anakunywa mimba inashika nimeona shuhuda za wanawake wengi
Weka picha ya majani tuone .
 
Ya
Yawezekana nasi hatuna presha ila ki Binadamu kila mtu alikua ana matamanio yake.
Kuna watu wanataka mtoto mmoja tu
Wengine wawili
Wengine watatu
Wengine kumi
.............
Mtapata tu mtoto ondoeni wasiwasi pia mwombe Mungu hafu mjitahidi siku za hatari za mkewe ndo mfanye aisee, Mimi naamini mwaweza pata mapacha kabisa just mrelax wote aisee msikamie sana
 
Utamuweza BAK? Alikuwa anamkatisha tamaa jamaa tu kumuuliza mkewe kila mara vipi period imekuja? Na mke akijibu huku anasononeka ndiyo tangu jana usiku 🤣🤣🤣🤣🤣 Usemacho ni kweli kabisa kama wanaishi healthy life kula vizuri na huyu mrembo kishajifungua mara mbili na bado spring chicken 😜😜😜 basi hata akitaka kupata wajukuu akifikisha 50 YO 😜😜😜atawapata tu lakini waenjoy tendo badala ya kupeana pressure ya ujauzito.
Bado sana huyu. Kuna watu wanazaa wana 50 yrs old. Juzi mama mmoja ana 47 yrs old kajifungua mtoto.
 
Back
Top Bottom