Tumeseme ukweli Nani anatetea wezi wa Madini yetu Tanzania?

Wako wa kunikamata ila wakunifunga Hakuna.

Nanukuu : Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu sasa tatizo liko wapi kwangu?

Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye boss huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign agreement without a security.

By Chenge
Hah!!!! Ndiyo kasema hivi?????
 
Yule Mwenyekiti wa ACT, Bi. Anna Mghwira aulizwe ana maoni gani juu ya boss wa Chenge kuunganishwa kwenye uchunguzi na ikiwezekana mashitaka?

Pia swali kama hilo atupiwe Jenerali Ulimwengu.

Chenge aangalie kama ka-ayota kake kanahimili kuitwa na kuhojiwa na Kamati kuu ya CCM. Kolimba hakubahatika kuonana na daktari wake kupima afya yake.

CCM wanazunguka mti wa X-mas.
Huku kitaa wanasema kuzunguka mbuyu.
 
Back
Top Bottom