tumerogwa na nani?


M

Mzee Mzima

Senior Member
Joined
Mar 31, 2008
Messages
159
Likes
1
Points
35
M

Mzee Mzima

Senior Member
Joined Mar 31, 2008
159 1 35
mh. kilufi anaongea bungeni na kuanza kwa kuwasifia mawaziri wa ujenzi na uchukuzi na serilali, " naipongeza serikali, na mawaziri kwa kazi nzuri sana, asieona kwa kweli labda ni kwa kuwa tuna msimamo tofauti, mh, spika kule mbarali hakuna barabara, waziri anatoa tu ahadi hakuna utekelezaji, tangu wakati wa mh mjengwa mpaka leo barabara haipitiki, naomba mawaziri mfanye kazi zenu kwa uhakika, wana mbarali hatutawaelewa barabara hizi zisipokamilika kama ahadi zenu mlizitoa"

my take:
tumelogwa, anasifia halafu anaponda hapohapo na kulalamika, tuna shida gani? huu ndio unafiki of highest order
 

Forum statistics

Threads 1,238,822
Members 476,196
Posts 29,332,404