Tumepima Afya ya akili na mchumba Wangu haya ndo majibu tuliyopewa so sad

Ungeniuliza mapema usingeharibu nauli yako. Kuna dalili ya uhakika kujua mwenzio si mzima wa akili.
Nayo ni ukiona anakupenda sana kuliko shughuli za maendeleo!!!
Love responsibly!
Live responsibly!
Mkuu hii kitu inawezekana kweli?
 
Habari zenu humu ndani.

Baada ya kunyanduana Kwa muda sasa tukapima kila kitu ikiwemo Afya ya akili lakini mwenzangu kichwa ya mwenzangu ina hitilafu.

Najipanga namna ya kumkwepa lakini kaniganda nifanyeje?
Afya ya akili inapimwaje, ama wanatumia vipimo gani?
 
Habari zenu humu ndani.

Baada ya kunyanduana Kwa muda sasa tukapima kila kitu ikiwemo Afya ya akili lakini mwenzangu kichwa ya mwenzangu ina hitilafu.

Najipanga namna ya kumkwepa lakini kaniganda nifanyeje?
Sio kwamba wewe dish linasearch chanel
 
Back
Top Bottom