Tumeongea kuhusu tozo hadi makoo yamekauka lakini hakuna aliyetusikiliza

ChibuEvara

New Member
Jul 13, 2021
0
20
Kila ukiitazama Tanzania na uongozi wake unagundua kabisa kwamba wazi; Nchi hii haina muda mrefu nayo itajisajili kuwa katika nchi zenye Vita za ndani kwa ndani, wao kwa wao Kama ilivyo kwa nchi zingine ndani ya afrika.

Zile tamaa zilizokuwa zinawakuta washikilia utumwa kipindi wakati wa kukomesha utumwa, Sasa tamaa hizo Ni za viongozi wa nchi ya Tanzania.

Kelele, ngoro na vilio vya wananchi vinavyowika kila kukicha juu ya makato na tozo za Serikali hizi mpya kwa wananchi hasa wa Hali ya chini, kwanza kwa viongozi zimekuwa Ni kelel za chura hazimzuii tembo kunywa maji.

Makato na tozo za Serikali kupitia mitandao ya kifedha ya simu na kupitia ununuaji wa umeme, yamekuwa makubwa mno na Ni unyonyaji wa nguvu za matumaini na Amani ya raia.

Wananchi tumepiga ngoro mpaka Koo zimekauka, lakini Hakuna msaada wowote ambao thmepewa Kwanzaa ndio wanaanzisha makato mengine na hii kwasababu wanaona hatuna lolote la kuwafanya.

Ila wakae wakitambua kuwa IPO siku kipofu ataona mwezi na Luka 9:60 itafanya kazi. Vita Nyingi zilizowahi Kutokea miongoni mwasababu zilizopelekea Kutokea Ni Kuanzishwa makato na tozo za unyoanyaji na ukandamizaji maendeleo ya wa afrika...

Tanzania my country , hope one day the Sun will stay between Moon and the sun...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom