Tumenunua TV, hatuna chakula, nyumba haina umeme

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,480
5,788
Tumenunua mindege mingi, mingine mikubwa na mingine ya kadiri na mingine midogo.

Manunuzi haya hayana tija kwa taifa letu, yanatutia umasikini zaidi. Watumiaji wa ndege hawazidi 2% hata viwanja vyenyewe hatuna vya kutosha.

Mikoa ya kaskazini hakupitiki, madaraja na barabara zimekatika. Watanzania hatuhitaji ndege, tunahitaji kuboreshewa miundombinu. Tunahitaji lishe bora, elimu safi kama inayotolewa kwenye shule mnakopeleka watoto wenu. Tunahitaji maji safi na salama na pia tunahitaji huduma bora za afya.

Magufuli amezunguka vijiji vingi kuanzia Songwe, Rukwa, Katavi, Lindi, Mtwara etc hamna sehemu hata moja ambapo wananchi walimwambia tunahitaji ndege.

Sasa kama yeye ni Rais wa WANYONGE, si asikilize kilio chetu badala ya kufanya mambo anayoshauriwa na Kagame?

Magufuli tunakuombea mema ndio maana tunakukosoa licha ya kwamba hupendi kukosolewa.

Dreamliner ya kwanza ipo tuuuuu imelala ndani haijapaa kwenda kokote licha ya kwamba mlituhadaa kwamba itaanza kwenda India na China.

Hiyo haiingizi pesa yoyote bado mnaleta dreamliner nyingine. Hizi assets zinaharibika, mbaya zaidi zinaharibika huku haziingizi kitu.

Jana umesema tumepata USD 14mil. Tunaomba CAG report ambayo ameikagua ATCL. Tunajua ATCL ni miongoni mwa asasi ambazo hutaki zikaguliwe kwa kuficha aibu.

Sasa tunaomba uache kutuhadaa kuwa ATCL inajiendesha kwa faida.
Pascal Mayalla, usikasirike, najua wasukuma mmeshikamana ili kuteteana hata kwenye ujinga.
 
Mkuu inabidi ubadilishe mtazamo wako, kwenye business tunaangalia faida. Kama biashara haina faida mfanyabiashara ataachana nayo, na kama ina faida mfanyabiashara ataongeza mtaji pamoja na kuitanua biashara kwa mapana zaidi.

Na ndio maendeleo yanavyokuja, baada ya muda tutakuwa tumefika mbali sana kutokana na hatua moja baada ya hatua nyingine.

Kama ukiwa huna, na kuamini kwamba huna, basi utaendelea kuwa huna.
-Tushukuru Mungu tumenunua Tv
-Umeme UPO wa kutosha kuwasha Tv tofauti na awamu zilizopita (hata mgao wa umeme imekuwa historia"
just open your mind umeme upo mkuu
-Chakula KIPO mkuu, hatujasikia njaa muda mrefu, tumshukuru Mungu kwa kutulinda na janga la njaa
-Nyumba IPO Mungu ametubariki, nyumba ina amani na utulivu unapatikana nyumbani
 
Unataka nchi yote tuwaze sawa? Vipofu kamwe hawawezi kuongozwa, watadumbukia shimoni.
 
M ni msukuma na niko imara..na wala sitetei ujinga..kama kweli atcl inapata faida..waache CAG afanye kazi yake.

Unaota ndoto.
 
M ni msukuma na niko imara..na wala sitetei ujinga..kama kweli atcl inapata faida..waache CAG afanye kazi yake.
Mnataka CAG akague ndege au shirika la ATCL?! Ninavyoelewa hizi ndege wao wamekodishwa na serikali, hata wakikagua wanakagua business side ya shirika hawatagusa ndege, kwasababu sio zao.
 
1572209910887.jpeg
 
Propaganda za maccm zingesaidiwa na strong propaganda za upinzani kwa mtindo wa kukosoa ili kuziboresha....

tatizo propaganda za upinzani zinakuja kwa mtindo wa taarabu, uzushi na majungu.

Bora propaganda kuliko propangada za maCCM maana ni hatari kwa ustawi wa taifa lenu
 
Watu hawafikirii miaka 20 ijayo. Unajua kuna watu wanafikiria hand to mouth . Wakati sisi tunafikiria miaka 50 ijayo. Ndo maana tunakuwa miongoni mwa wavivu duniani kwa kuwa watu wanataka tufikirie hand to mouth . Magufuli chapa kazi. Barabara zinajengwa kila kona ya nchi, reli zinajengwa na zingine kufufuliwa zilikufa. Miradi ya umeme inajengwa mipya.

Tumesahau mgao wa umeme. Watumiaji wameongezeka ila vyanzo vilevile hatuoni yote haya. Wakati mwingine tuwasamehe na tuendelee kuchapa kazi. Tukisikiliza kelele tutapoteza focus.

Kuna wakati huwa nafikiria kama kuna haja ya demokrasia coz naona tunazidi kupoteza muda kujadiliana mambo ya kijinga tunashindwa kufanya maendeleo
Mkuu inabidi ubadilishe mtazamo wako, kwenye business tunaangalia faida. Kama biashara haina faida mfanyabiashara ataachana nayo, na kama ina faida mfanyabiashara ataongeza mtaji pamoja na kuitanua biashara kwa mapana zaidi.

Na ndio maendeleo yanavyokuja, baada ya muda tutakuwa tumefika mbali sana kutokana na hatua moja baada ya hatua nyingine.

Kama ukiwa huna, na kuamini kwamba huna, basi utaendelea kuwa huna.
-Tushukuru Mungu tumenunua Tv
-Umeme UPO wa kutosha kuwasha Tv tofauti na awamu zilizopita (hata mgao wa umeme imekuwa historia"
just open your mind umeme upo mkuu
-Chakula KIPO mkuu, hatujasikia njaa muda mrefu, tumshukuru Mungu kwa kutulinda na janga la njaa
-Nyumba IPO Mungu ametubariki, nyumba ina amani na utulivu unapatikana nyumbani
 
Kama hiyo tv inakuingizia pesa ambazo zitakifanya upate mahitaji yote hayo kwa maisha yako yote shida iko wapi?
The are just worse liability. Napika data I'll zionekane Zina maana
 
Back
Top Bottom