Tumempeleka Rais Magufuli Mahakamani kwa malengo maalum

Ado Shaibu

Verified Member
Jul 3, 2010
99
225
Tunamshtaki Rais Magufuli Mahakamani kwa Malengo Maalum.

Tangu mwaka jana nilipokata shauri kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupitia kwa Mwanasheria wangu Wakili Fatma Karume kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi, kumekuwepo na mjadala kuhusu maeneo kadha wa kadha ya shauri hilo.

Sehemu yenye mjadala zaidi ni uamuzi wetu wa kumjumuisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kama sehemu ya Wajibu Maombi (Respondents). Imezoeleka, kiutamaduni kuwa "Rais hashtakiwi". Tumeaminishwa na tukaamini hivyo. Ndio maana hakuna mtu, kwa kumbukumbu zangu, tangu uhuru aliyemshtaki Rais Mahakamani hapa nchini.

Mjadala wenyewe umeongezwa na kitendo cha Rais Mwenyewe, siku ya sheria nchini kugusia suala la yeye kustakiwa. Rais aliweka bayana mshangao wake kwa watu tunaomshataki wakati ipo ibara ya 46 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inayompa kinga.

Ni muhimu kufahamu kwa nini tunamshtaki Rais? Tunajifurahisha tuu ama tunayo malengo?
Mbali na sababu mbalimbali, tumelazimika kumfanya Rais kuwa Respondent kwa sababu yeye ndiye aliyemteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiyekidhi sifa za kikatiba za kuwa na sifa za kuwa wakili na mtumishi wa umma kwa miaka 15. Kwa kumbukumbu zilizopo Dk. Kilangi amepata uwakili mwaka 2011 hivyo hakidhi sifa hizo zilizowekwa na Katiba.

Swali linakuja kwa nini tuendelee kumshtaki Rais wakati anayo kinga? Sisi tumesoma ibara ya 46 ya Katiba (nimeiambatanisha). Hatujaona popote kwenye ibara hiyo kuwa Rais ana kinga ya kutoguswa moja kwa moja. Tulichoona;

1. Kwenye masuala ya jinai kinga ya Rais ni absolute. Hagusiki kabisa Mahakamani

2. Kwenye masuala ya madai anayoyafanya kama Raia, kinga yake ina mipaka. Anaweza kushtakiwa lakini sharti apewe notisi kwanza.

3. Kwa makosa anayoyafanya kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama hili la kumteua Mwanasheria Mkuu asiye na sifa, hatujaona kikwazo cha kikatiba.

Hivyo basi, suala hili kuletwa mbele ya Mahakama, linaipa Mahakama nafasi ya kutoa tafsiri juu ya kinga ya Rais. Mahakama itatueleza kama kinga ya Rais ni ya kutoguswa moja kwa moja ama ina mipaka. Hii ni fursa kwa Mahakama kuimarisha jurisprudence ya eneo la kinga ya Rais specifically na uwajibishwaji wa Rais kwa ujumla.
Mahakama isingeweza kutoa ufafanuzi wake yenyewe bila kupelekewa suala hilo.

Sisi tumejitolea kulipeleka jambo hilo ili Mahakama itekeleze wajibu wake wa kutafsiri sheria.

Tunaliachia jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Kiongozi Feleshi, Masoud na Luvanda linaloendesha kesi hii lifanye kazi yake.

Ado Shaibu, Katibu Mwenezi, ACT Wazalendo.
20190210_231455.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,967
2,000
Hivyo basi, suala hili kuletwa mbele ya Mahakama, linaipa Mahakama nafasi ya kutoa tafsiri juu ya kinga ya Rais
Well and fine! You are absolutely right! My worry, Tuna Judges wa ku handle kesi kama hiyo? Kuna Judge kwenye high court wa kuwa na guts za kutoa hukumu ya HAKI dhidi ya Rais? Hawa majaji wa "UPE"?
Ukisoma Judgements za akina Lugakingira, Katiti, Mwalusanya na wengine wachache sana ambao sijawataja, these had guts to dispense justice, hawa wa leo hakuna anayeweza kusoma, kwenda library, personal intuition (judicial intuition) akatoa maamuzi yenye high power mental faculty reasoning within the confines of law! Akina Wilbard Mashauri?? Mashauri, yuko High Court??? Shame! Shame on Judiciary, Aibu Ibrahim Juma, CJ!

Nisamee kwa comment yangu inaweza isipendeze, lakini ngoja niiseme!
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,955
2,000
Well and fine! You are absolutely right! My worry, Tuna Judges wa ku handle kesi kama hiyo? Kuna Judge kwenye high court wa kuwa na guts za kutoa hukumu ya HAKI dhidi ya Rais? Hawa majaji wa "UPE"?
Ukisoma Judgements za akina Lugakingira, Katiti, Mwalusanya na wengine wachache sana ambao sijawataja, hawa wa leo hakuna anayeweza kusoma, kwenda library, personal intuition (judicial intuition) akatoa maamuzi yenye high power mental faculty reasoning within the confines of law! Akina Wilbard Mashauri?? Mashauri, yuko High Court??? Shame! Shame on Judiciary, Aibu Ibrahim Juma, CJ!

Nisamee kwa comment yangu inaweza isipendeze, lakini ngoja niiseme!
Hakuna haja ya kuomba msamaha Mkuu Retired kwani umeongea KWELI..KWELI TUPU..
Hatuna Majaji hivi sasa ambao wanaweza kufanya kazi zao independently..
Jaji Mkuu ndio anashinda kwenye viunga vya magogoni..kawa kaa bwege vile.
 
Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
1,283
2,000
Tunamshtaki Rais Magufuli Mahakamani kwa Malengo Maalum.

Tangu mwaka jana nilipokata shauri kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupitia kwa Mwanasheria wangu Wakili Fatma Karume kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi, kumekuwepo na mjadala kuhusu maeneo kadha wa kadha ya shauri hilo.

Sehemu yenye mjadala zaidi ni uamuzi wetu wa kumjumuisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kama sehemu ya Wajibu Maombi (Respondents). Imezoeleka, kiutamaduni kuwa "Rais hashtakiwi". Tumeaminishwa na tukaamini hivyo. Ndio maana hakuna mtu, kwa kumbukumbu zangu, tangu uhuru aliyemshtaki Rais Mahakamani hapa nchini.

Mjadala wenyewe umeongezwa na kitendo cha Rais Mwenyewe, siku ya sheria nchini kugusia suala la yeye kustakiwa. Rais aliweka bayana mshangao wake kwa watu tunaomshataki wakati ipo ibara ya 46 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inayompa kinga.

Ni muhimu kufahamu kwa nini tunamshtaki Rais? Tunajifurahisha tuu ama tunayo malengo?
Mbali na sababu mbalimbali, tumelazimika kumfanya Rais kuwa Respondent kwa sababu yeye ndiye aliyemteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiyekidhi sifa za kikatiba za kuwa na sifa za kuwa wakili na mtumishi wa umma kwa miaka 15. Kwa kumbukumbu zilizopo Dk. Kilangi amepata uwakili mwaka 2011 hivyo hakidhi sifa hizo zilizowekwa na Katiba.

Swali linakuja kwa nini tuendelee kumshtaki Rais wakati anayo kinga? Sisi tumesoma ibara ya 46 ya Katiba (nimeiambatanisha). Hatujaona popote kwenye ibara hiyo kuwa Rais ana kinga ya kutoguswa moja kwa moja. Tulichoona;

1. Kwenye masuala ya jinai kinga ya Rais ni absolute. Hagusiki kabisa Mahakamani

2. Kwenye masuala ya madai anayoyafanya kama Raia, kinga yake ina mipaka. Anaweza kushtakiwa lakini sharti apewe notisi kwanza.

3. Kwa makosa anayoyafanya kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama hili la kumteua Mwanasheria Mkuu asiye na sifa, hatujaona kikwazo cha kikatiba.

Hivyo basi, suala hili kuletwa mbele ya Mahakama, linaipa Mahakama nafasi ya kutoa tafsiri juu ya kinga ya Rais. Mahakama itatueleza kama kinga ya Rais ni ya kutoguswa moja kwa moja ama ina mipaka. Hii ni fursa kwa Mahakama kuimarisha jurisprudence ya eneo la kinga ya Rais specifically na uwajibishwaji wa Rais kwa ujumla.
Mahakama isingeweza kutoa ufafanuzi wake yenyewe bila kupelekewa suala hilo.

Sisi tumejitolea kulipeleka jambo hilo ili Mahakama itekeleze wajibu wake wa kutafsiri sheria.

Tunaliachia jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Kiongozi Feleshi, Masoud na Luvanda linaloendesha kesi hii lifanye kazi yake.

Ado Shaibu, Katibu Mwenezi, ACT Wazalendo. View attachment 1019393

Sent using Jamii Forums mobile app
Shitaka Lako Ni Kupinga Uteuzi Wa Dr. D. Kilangi Kuwa AG au Shitaka Lako Ni Kinga Ya Rais Kutoshitakiwa Mahakamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
15,658

Dogo kama bosi wako Zitto alivyochemka na wewe utatokota.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
6,691
2,000
Ma pompopo,hivi nyie watu mnapata wp muda kubwabwaja hivi.
Unalipwa?
Unga mkono juhudi za serikali sio unapinga tu unapinga.
Iko siku utabanwa nya utapinga kisha unajinyea utapinga utatembea na mafi ukiambiwa umejinyea utapinga uko against kila kitu Negative.
 
Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,550

Hongera sana mkuu
 
habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,800
2,000
Ma pompopo,hivi nyie watu mnapata wp muda kubwabwaja hivi.
Unalipwa?
Unga mkono juhudi za serikali sio unapinga tu unapinga.
Iko siku utabanwa nya utapinga kisha unajinyea utapinga utatembea na mafi ukiambiwa umejinyea utapinga uko against kila kitu Negative.
We nae ushazeeka kasubir Muda wa izirael kukuchukua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
24,967
2,000
Majaji wengi wasukuma. Kumbuka kuna yule hakimu aliyekuwa amesitaafu lkn akapewa ujaji kwa ajiri ya kuongeza kiinua mgongo na pensheni. Sasa majaji wa namna hiyo watahukumu vipi unadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
This is new news! Lakini soon or later hao ambao hawan sifa watautema ujaji! Kama wamepewa ili kumfurahisha mmtu fulani, basi time will tell!
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,446
2,000
Ma pompopo,hivi nyie watu mnapata wp muda kubwabwaja hivi.
Unalipwa?
Unga mkono juhudi za serikali sio unapinga tu unapinga.
Iko siku utabanwa nya utapinga kisha unajinyea utapinga utatembea na mafi ukiambiwa umejinyea utapinga uko against kila kitu Negative.
Peleka ujinga wako kwa mkeo. Mtu mzima akili kisoda!

Sent using Sukhoi Su-57
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom