Tumelishwa sumu ya kuwachukia waarabu, Wazungu wanatuua, wanatuibia, Mwadui,barick, Geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tumelishwa sumu ya kuwachukia waarabu, Wazungu wanatuua, wanatuibia, Mwadui,barick, Geita

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Aug 29, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wengi wa TZ tumelishwa sumu eti kuwaona waarabu ni watu hatari, kubwa zaidi tunaambiwa ni biashara ya utumwa imeanzishwa na wao.
  Lakini ukiangalia kwa undani utaona wazungu ndio waliotufanyia biashara hii. Vita baridi na udini kwa namna nyingine umeingizwa sumu hii ili kuwachukia waarabu.

  Lakinicha ajabu hao wazungu wanaotupenda wanaiba rasilimali zetu, dhahabu mikataba mibovu ndio tunajivunia, na huko libya nako waafrika tunamalizwa.
   
 2. u

  utantambua JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jipange tena mkuu, ama kawaulize hili swali NTC huko huko Libya
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kaka waarabu hawachukiwi na sisi, wala hatuna sababu za kuwachukia. Waarabu walitangulia huku walipokuja wazungu walishirikiana wakatuibia, wakatugawa na wakauziana utafikiri kuku wa kitinku Singida. Kilichotokea mbele sisi hatujui.kama walidhulumiana mgao auvipi sisi tulikuwa bidhaa zao.

  Baada ya kuiba mali nyingi za Africa wazungu waliingia kwenye uwekezaji mkubwa wa viwanda sayansi na teknolojia na siasa za dunia kwa jumla.waarabu walirudi kula halua na kusubiri majaaliwa ya mnyazi Mungu, kweli mnyaazi mungu hakuwatupa baada ya kukurukakara za hapa na pale za wazungu wakagundua mitambo na magari yanayotumia mafuta,hapo mwarabu akarudi tena kwenye chati.safari hii hata mzungu hakuwa na namna kama ni mpira wa miguu ni penalti ya dakika ya 90,mwarabu kama kwaida yake akainua miguu juu,yeye na halua na halua na yeye.

  mchina,mjapani,mhindi wakashtuka wakaanza kula na mzungu sahani moja,leo mzungu hana hamu kila anachofanya mzungu akigeuka nyuma mchina anakimbiza.
  mwarabu kalala anashindana na mzungu kujenga miji ya kisasa.dubai inashindana na new york,london na doha.huku akiuza magari used na kuchimba mafuta ardhini na kwenda kujenga miji(kumbuka mwalimu alikataa kwenye madini) waarabu ni watu wa kujisahau siku zote.

  Wazungu walituibia walitutesa ila leo tunatumia teknolojia yao kwenye matibabu,silaha,viwanda,nguo,magari na mitambo. Nitajie kitu kimoja cha mwarabu kinachosaidia dunia kwa miaka 100.

  Kaka mkono mtupu haulambwi kaka walituambia wahenga.gadafi na utajiri wake wa mafuta anakuja kutujengea msikiti kweli?watanzania walikuwa na shida ya misikiti? maji,umeme,pembejeo,viwanda hakuona kitu hapo kweli mpaka akimbilie msikiti?

  Waarabu wanajiloga wenyewe na kwa akili yao ilivyo wanastahili hayo wanayoyapata.huwezi kuomba pambano na mpinzani halafu wakati yeye anaingia kwenye mazoezi wewe unaenda bar kitakachotokea usimlaumu mtu.

  Haya ni mawazo yangu tu.
   
 4. jMali

  jMali JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 8,329
  Likes Received: 1,068
  Trophy Points: 280
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  lkn mzee. wazungu wanatuibia sana tz. kila kukicha mali zetu huko Ulaya. lkn ukiomuona mzungu unamuona mkombozi. mwarabu aliopo kwake na biashara yake ya Mafuta unamuona adui. mzungu anaeiba mali unamuona mkombozi. tuondokane na mtongo haya
   
 6. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  haha jama kanifurahisha sana lkn kuna mambo mengine nipo dhidi yako.kuhusu suala la sayansi na teknolojia waarabu ndio walikuwa waazilishi wahesabu.. wasome hawa watu al-khawarizmi,ibn batuta,al-harith.khalili,......walicho kifanya wazungu sio kuwapita kiteknolojia walitumia teknolijia ya waarabu kujiendeleza na huku wakiwaangusha waarabu bila ya wao kujua...waarabu walipo tawala spain na baadhi ya ufaransa waliharibiwa nawa
  azungu kwa kuvunja upendano baina ya wao.... mpaka leo ndio mana nchi za kiarabu zote hazipo pamoja.mwisho wa siku mzungu kafunga goli kwa kutumia mkono na refa hakuona
   
 7. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #7
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  angalia Dowans iliyokuwa ikipigiwa kelele ilikuwa chini ya nani na hii ya sasa tumekaa kimya ip[o chini ya nani
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Ninachofahamu mimi waarabu ni magaidi tu wao na dini yao ni ya kigaidi tu. PERIOD.
   
 9. t

  thatha JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wazungu ni mashoga tu. dini yao ni ya kubaka watoto kanisani
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Good morning.
  I am Abdelhak, from Algeria, but I live in the U.K. I favored to write in English because I have a bit of a broken Arabic. I always watched your lectures on Ikra TV and ever found your talk greatly influential, Baraka el-laho fik.
  I have a problem that's torturing me of which I would like to find a lucid decisive answer. I only just discovered something quite important about myself that Islam is totally against it, in fact, this what I'm after. Ever since my childhood, I ever suspected that something was going wrong with me. When my friends talked about girls as the target of love, I always felt embarrassed because I felt it towards the wrong object. Yes, I'm homosexual. The upside is that I'm masculine and I don't go for guys having a tendency to look like girls in their way of talking, thinking, behaving, etc. At least, this is the point that I see eye to eye with Islam. In reality, I always took a dim view of the matter but it seems that I was wrong.
  Love involving sex is very important and anyone has the right to please that natural innate need. It was just when I fell in unrequited love with a friend of mine and couldn't break free from it that I had started to look on the net for a solution over a long time, but seemingly, I jumped from the frying pan into the fire. I found out that I'm naturally gay and this couldn't be ignored, I'm condemned to live that experience times and again like heterosexuals do. Since then, I settled on knowing more things about myself and the gay community. However, the struggle was and is still on. I had to find out Islam's standpoint on that matter. The result was a stark disappointment as it was clearly banned and considered as a sin.
  One day, I ran into a criticism of the Quoranic verses about homosexuality, and instead that I see it with a positive eye, I found it rather a bomb that could explode at any time because this gave me just a temporary hope to be and to live the one I am actually, not the one I have to pretend to be. I read on the net that the judgement that forbids homosexuality, or rather homosexual relationships, is a &#8216;misinterpretation' of the verse and that it should be read between the lines as some liberal Muslim scholors see. Some British scholors claimed that Quoran didn't state clearly on which basis homosexuality is regarded as a sin. In that case, it is not a sin as long as the homosexual relationship is based on &#8216;MUTUAL LOVE' but not &#8216;LUST'. I'm so troubled and I beg you to tell me the truth about the life that I should lead. If it is really &#8216;taboo', I'll move away though it will be so deceptive and hard, but in the opposite case, I'll defend my happiness no matter what this would cost me even if I have to face up the whole world. My action stops at the truth and I'm not at all intending to do anything against Allah. I wish to get an answer the soonest possible and thank you so much to have read my letter.
  http://gaymuslims.org

  Source: Eye on &#8216;Gay Muslims'
   
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Waarabu ni wabaguzi sana,we mweusi jaribu kutaka kuoa mwarabu ndipo utakapo wajua
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  "Wengi wa WaTZ" ni wangapi? Asilimia ngapi? Umepata wapi hii habari? Kama huna takwimu hata anecdote tu nazo ukose?
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 14. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Anaye wamaliza faru na tembo wetu ni mzungu?
   
 15. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #15
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Nimecheka kweli! LoL! tangu lini Mzungu akatupenda?!!
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hii mada ingekuwa nzuri sana endapo isingemtaja mwarabu.
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Aug 29, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi kujua kwamba fulani ni mzuri au mbaya mpaka ufundishwe? Acha ujinga! Kama watu wengi hawawapendi Waarabu basi wana matatizo!
   
 18. peri

  peri JF-Expert Member

  #18
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni udini mkuu ndio unaotusumbua. Waarabu wanachukiwa kwa dini yao lakini wazungu mbali na uchafu na wizi wanao tufanyia wanpendwa na kukumbatiwa.
  "udini umetutia upofu"
   
 19. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #19
  Aug 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Mbona hata hapa kwetu inatokea hiyo?? Munakwenda kuchukua vijana wa kazi huko vijijini kwenu na kuwafanyia kama hivyo, munawalaza kwenye mazizi ya ngómbe na hata kuwalipa mishahara hamuwalipi. Ni sawa tu na hayo aliyofanya mkwe wa Gaddafi lakini nyani haoni ku...nd.le
   
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  Aug 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mwarabu = Isilamu, sasa nani anataka ISILAMU dini ya mwamedi?
   
Loading...