Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
Habari za Jumapili wana MMU na wengine wooote toka majukwaa mbalimbali...
Nipo hapa leo kwajili ya Kutafuta amani kwa sie tunaotokea kukwazana kwa somecomments,
Inafikia hatua mtu kujenga chuki na mtu humu ndani,kiasi kwamba kila wakikutana sehemu yoyote JF lazima watoleane maneno ya karaha,
Japo wengine wanasema JF stress free lakini si kweli,kuna siku zinazotokea watu na watu kupishana mpaka kutukanana au kuitana majina tofauti.
Chuki haijengi ndugu zangu, Ni makosa tu ya kuelewa au kuchukuliana kama fulani hafikiri vizuri,Sisi ni wamoja TUPENDANE,TUSHIRIKIANE,TUSIKILIZANE
Leo tuchukue nafasi hii kutakiana amani,ili tuendeleze amaniiii na upendo daima wanaJF.
Wengine si wepesi kusema samahani ,lakina hata ukimtafuta hasimu wako na kumtakia hali na salamu inatosha sanaaa.
Love u JF members, lara1 mambo shostitooo mamaa first lady

Last edited by a moderator: