Tumekutana marafiki wa aina yake

huu uzi ukipanic tuu utaonekana na wewe huna hela kweli kama si stress...,

Naimiss sana jf sikuhizi.
Panic inakujaje unajua?

Ni namna simulizi inavyodhalilisha wanaume.

Wanaume kugeuzwa walinzi wa majumba na wakileta tu fyoko wanatimuliwa in the spot!

Aina moja ya wanaume wasio na sauti kwa wake zao watatu, hakuna hata m1anayefurukuta!

Pamoja na kuvumilia yote hayo, lakini bado mjadala unaendelea bar namna ya kuwafukuza kabisa, hao wanaume wanalo!
 
Yaani tunachangia kabisa huu uzi wakati ni changamsha genge. Lahaulaaaa hivi vifurushi vya offer vinatutoa akili sana siku hizi
 
Kwema wandugu, sijui hata nisemeje, hichi kitaa ninapoishi Tupo majike matatu na wote ni marafiki mbaya zaidi wote ni wachaga. Tumepewa majina kama vile jino kwa jino, simba jike nk.

Mmoja wa hao rafiki yangu anaitwa sauti ya simba na baadhi ya watu, ni mwanamke mwenye nyumba mbili mjini hapa na biashara zake ndogo ndogo tu mtaa mzima wanamuogopa hata mimi mwenyewe nikiwa nae namuogopa japo ni rafiki yangu sana, sababu ya kuogopewa ni mtata balaa hadi wanaume wa kitaa wote wanamuogopa ijapo mbele ya mpenzi wake ni sawa sisimizi kwa tembo Yan Hana la Kusema. (badae ntasema kwanini)...
Bila ya shaka akili zenu ziko matakoni
 
Najitolea kupiga kambi ya wiki mbili mfululizo nione hao wanawake wenyewe mana nijuavyo wanawake wenye akili huonekana kwa maandiko yao isije kuwa n wale twende kwenye gari hapo tunamaliza unarud kuzuga na chupa yako Heineken
 
Kuna dalili zote ya mtoa mada kumiliki Kiuno kizito kama injini ya skania
 
Back
Top Bottom